Mwisho wa siku italiwa na mchea, maisha haya!

Joke[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanajifanyaga sana hawa

Yaaan unaweza sema anaongea Malaika wa Wema na ubaya


Hamna kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ulitumia kinga?
Unajua yai ndio lilikuwa linapevuka, hapo genye zipo juu balaa na anawashwa, jamani acheni kabisaaa,unaeza mpa tunda hata kichaa barabarani mradi tu ukunwe.
 
Tulia mtakatifu, tulia kabisa hapo ulipo[emoji23] maisha yafaa nini bila kula utamu mama!![emoji23][emoji23][emoji23]
Uaminifu sifa ya Yusufu ,kwanini nimkosee Mungu?
Nimkosee Mungu muumbaji wangu kwa raha kitambo tu!


Hakuna raha kama kuomba na maisha yafaa sana ukiwa na connection na Mungu ..vibe lake siwezi kulielezea ila ukitaka kulijua jaribu.



Aisee humu ndani kuna watu wangepewa vyeti kabisa vya uzinzi wawe certified[emoji119]
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nijaribu nini mtakatifu?[emoji23] Hivi Yusuf unampata wapi leo dunia hii, ningekuwa Yusuf ningemtandika yule mwanamke asinichezee mimi, mtu anakuletea utamu unamuachaje kizembe namna ile...ona Daudi alichofanya, kataka kula utam kaona amtangulize mwenzake ili ampunyue yule mama vizuri. Suleiman alifaidi mema ya nchi na bado tunamsoma kila siku, mimi ni nani eti nisijaribu kula mema ya nchi.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio sababu kwasasa napambana nimkatae shetan na visa vyakeee
Mungu akusaidie.

Neema ya Mungu bado ipo,huo upande uliouchagua ni mbaya.
Neema inatufundisha kuukata ubaya,jitahidi kuzingatia hilo.


Halafu unajisifu kabisa eti hakuna anayeweza kuchomoa aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukuta nikauona kwa wanawake wenye kumcha Mungu na Hofu ya Mungu kwelikweli.


Tuombeane Dear.
 
Huyohuyo Suleiman alikuja kugundua kama mambo yote ni ubatili na kujilisha upepo.

Msimtumie Suleiman kama reference ya kufanya dhambi... yeye alishatubu,
Ukifwata nyayo zake huwezi jua wewe utaishia wapi..kila mtu ana neema yake.

Unauliza Yusuph utampata wapi dunia ya leo??
Badala ya kuuliza utampata wapi ,chukua hatua Anza wewe kuwa Yusuph[emoji4]
Right is right even if no one is doing it.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…