Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Huyohuyo Suleiman alikuja kugundua kama mambo yote ni ubatili na kujilisha upepo.

Msimtumie Suleiman kama reference ya kufanya dhambi... yeye alishatubu,
Ukifwata nyayo zake huwezi jua wewe utaishia wapi..kila mtu ana neema yake.

Unauliza Yusuph utampata wapu dunia ya leo??
Badala ya kuuliza utampata wapi ,chukua hatua Anza wewe kuwa Yusuph[emoji4]
Right is right even if no one is doing it.

Sent using Jamii Forums mobile app
Teeeh, mtakatifu bwana. Hivi ujuwe baada ya Suleiman kula utamu ndio akagundua kuwa kumbe ulikuwa upepo, lakini alikula kwanza.[emoji23][emoji23]

Sema tu mimi sina bahati ya kukubalika, otherwise ningetembeza bakora kama wengine tu[emoji23][emoji23][emoji23].
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kwahiyo watu mnatafuta kuwa Matomaso,kwamba Suleiman alisema ni ubatili lakini hamumuamini ,hadi nyie wenyewe mjaribu mjionee!

Kuna mambo si ya kujaribu,
Hii jaribu jaribu ndiyo iliyowagharimu Adam na Eve wakasababisha ulimwengu mzima tubebe adhabu.

Kumbuka hata nyie mkijaribu Mungu anasema anawapatiliza wana maovu ya baba zao hata kizazi Cha tatu na Cha nne.

Unaweza usipate madhara wewe Leo lakini mtoto wa kitukuu chako akaja kuhangaika Kwa sababu yako .

[emoji23][emoji23][emoji23] niache bwana!

Duniani hatuishi milele, na kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe. Kama napatilizwa maovu ya wazazi wangu, ngoja namimi niwabebeshe wajukuu zangu maovu yangu...au unasemaje[emoji39][emoji39][emoji39]

By the way, kwanini hii habari tuzungumzie hapa? Ujuwe hiki ni kiwanda, wacha vijana wafurahie uumbaji eti!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua duniani hatuishi milele Ni kweli.
Na Mungu hajazuia watu wasipate raha.

Mungu ameweka kanuni na misingi yake ya kuifwata ili watu wapate hizo raha.
Shida ni kwamba watu hawataki kufwata hizo kanuni,matokeo yake wamejiwekea njia zao wanazozijua wao.

Ukisema ufanye ili watoto wako wakapatilizwe baadaye kwa sababu tu na wewe ulipatilizwa ya wazazi wako hiyo ni dhambi.
Usilipe ubaya kwa ubaya bali ushinde ubaya kwa wema..Ni maneno ya Mungu,siyo yangu.

Anne kwani wewe hujawahi kupata utamu? Manake kwa kauli zako hizi huenda huelewi hata tunajadili nini[emoji39][emoji39][emoji39][emoji23]
 
Back
Top Bottom