Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Kulala naye kiaje yaani??

Kuna kipindi nilipowatia mdogo,niliugua ilikuwa jeraha la mkono.
Nililala na baba hospital.

Kwa kusema hayo jibu ni"Ndiyo".

Sent using Jamii Forums mobile app
Have you ever fvcked? Naona hatuelewani, au wewe ni virgin, kama hujakata utepe basi tena! Siku ukipitishiwa mkwaju ndio tutaelewana
 
Hii kwangu haiapply. Na mpk tukutane ni moyo wangu ukukubali. Kama vioi nacancel tu moyo wangu umekukataa. Yaan hata uimbe bob marley souljer sijui mimi malaika. Tena usishangae nikakusemesha na sauti ya kibezi... Sifa za kinafki nazijua. Anayetaka uzandiki najua. Sifa hazinipotezagi. Tutaonana endapo tu moyo wangu umekuerewa kwa kwenda mbere[emoji23] na hiyo haimaanishi ndo utanikula hapana. Nina roho mbaya sana na mbunye yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ndiyo jema
 
Hapana kwa kweli. Kimasikhara hapana. Kwenye mahusiano ndiyo. To get me lazima uwe na long term plans. Nisivyopenda sifa za uongo? Hapana aisee. Na hata kama nnazo hujanipata. Lazima ikuchukue muda kunipata. Si kizembe hivi
Ipo siku utaliwa kizembe kbs
 
[emoji23][emoji23][emoji23]basi yaishe! Huenda wewe bado bikra, jitunze na mtunzie mumeo mtarajiwa...
Itakuwa si haki kama yataisha bila mimi kuelewa swali nililoulizwa.

Ni sawa na kwenye mtihani,swali likushinde,hadi muda unaisha hujaona namna ya kujibu swali.

Hebu fafanua ili nitoe majibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee nae hao unaowapata ni magume gume na madampa yasiyojielewa, wala hakna maajabu yeyote. Unaowapata ndo hao unadhani wote wako hivyo, kumbe wala sio hivyo.

Mke wa mtu anachat na hawara, tena anachat km Malaya wa kimboka ndo useme na kujifaragua wee mwamba wa kudufua chimbotela? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unaowapata hao ndo sampuli hiyo, wala usijitape unaweza ukagusa sehemu nyingne usiamini kitakachotokea. [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kumbe wewe siyo sampuli ile mbona umetia nanga hapa
 
Hii kwangu haiapply. Na mpk tukutane ni moyo wangu ukukubali. Kama vioi nacancel tu moyo wangu umekukataa. Yaan hata uimbe bob marley souljer sijui mimi malaika. Tena usishangae nikakusemesha na sauti ya kibezi... Sifa za kinafki nazijua. Anayetaka uzandiki najua. Sifa hazinipotezagi. Tutaonana endapo tu moyo wangu umekuerewa kwa kwenda mbere[emoji23] na hiyo haimaanishi ndo utanikula hapana. Nina roho mbaya sana na mbunye yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole kwa maumivu madam
 
Itakuwa si haki kama yataisha bila mimi kuelewa swali nililoulizwa.

Ni sawa na kwenye mtihani,swali likushinde,hadi muda unaisha hujaona namna ya kujibu swali.

Hebu fafanua ili nitoe majibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siko vizuri sana katika kutumia maneno makali, yaani neno kama lilivyo, ngumu sana kuliandika. Kama kwa tafsida hiyo imekuwa ngumu kunielewa, sijui utanielewa vipi sasa.

Najaribu tena, umeshawahi kufanya mapenzi?
 
Huwa moyo wangu unajua first impression yake simce day one[emoji23] huwa sihitaji nguvu wala. Na niko tayari kukipigania nachokipenda lakini eti siyo kwa uhuni huu... nikikupa nimekutunuku na siyo jitihada zako
Ndiyo maana sehemu nikasema wanaume wengi tunapenda kusema nimekula kimasihala kumbe alikuingiza kwenye 18 zake ukajiongeza bila kujua
 
Back
Top Bottom