Uwa sivipendi videmu vya hivi

Yaani Kama humtaki mtu usimuangaishe ,usipoteze muda wake,usile hela zake

Just tell openly "Bwana mi sikutaki"

Yaani unakula hela zake ,unamdanganya aisee utakuja lipa hizo kitu jasho la mtu haliendi bure labda Kama kakusaidia

Ila matapeli wako wa kila Aina[emoji849][emoji15]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
da hili ni bonge la funzo kati ya visa vingi vilivyowahi kufika hapa.sikutegemea kama majibu yatakua + baada ya kwenda kupima.muda mwingine ni kweli watu uponea chupu chupu hata pasipo kutumia mpira,na muda mwingine shetani pia anatupenda waja wake,yani unajikuta tu unavaa ndom
 
Acha ushamba basi Bob dah....
Yaani all that trouble kisa punani tu? [emoji3]
 
mkuu kuna danadana zako nyingi sana hapa hatujaziona hii story[emoji16][emoji16][emoji16]umeiandika kwa haraka sana.
 
mkuu kuna danadana zako nyingi sana hapa hatujaziona hii story[emoji16][emoji16][emoji16]umeiandika kwa haraka sana.
Sikutaka tu kuiwekea viambitishi awali na tamati mdau. Nikaoana twende na mzizi wa neno kama ulivyo!

Au nianze tumeingia jikoni tu hivi; nika.... hahahaha! Tulia Mkulungwa! Kula hiyo chukuchuku[emoji23]!
 
sio mbaya mkuu[emoji16][emoji16][emoji16] siku moja moja wacha tubebe kama inavyokuja
 
Kwa hiyo ukajiona mjanjaa!

Slogan!
"If you can't help them, atleast do not hurt them"
hakukua na haja yakumsaidia chochote kwasababu tayari alionekana kua na mshauzi.kwaio alichokifanya lugumya ni kutafuta mbinu za kivita.watu wa namna hii ikiwezekana unakula mbaka tigo ***** zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…