Ulishawahi kula tunda kimasihara?
umeonesha umasikini na njaa ya hali ya juu sana, gharama alizotumia Ni ndogo sana ambazo ulikuwa na uwezo wa kuzikataa na kujigharamia ww mwenyew. Wewe una njaa huna tofauti na wale wa kunywa bia za watu na kukimbia kwa kujifanya anaenda toilet.
Njaa[emoji706]
Uwa sivipendi videmu vya hivi

Yaani Kama humtaki mtu usimuangaishe ,usipoteze muda wake,usile hela zake

Just tell openly "Bwana mi sikutaki"

Yaani unakula hela zake ,unamdanganya aisee utakuja lipa hizo kitu jasho la mtu haliendi bure labda Kama kakusaidia

Ila matapeli wako wa kila Aina[emoji849][emoji15]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Demu: mm huwasitumii kondomu mafuta yake yananiwasha...

Hii statement sio nzuri kwa afya

Ilikua mwaka jana kunamdada alinipigia simu anakuja kunisalimia maana hatukuwa tumeonana km mwaka mmoja hv wala sikuwa na mahusiano nae yoyote zaidi ya kupeana dili za hapa na pale basi nikamwambia karibu, jioni akafika gheto story mbl tatu hasa za maisha na mahusiano yake katikat nikachomekea masikhara akajaa Huku na Huku sina Mpira ikabd nimplease kuwa naenda shop nichukue zana hiyo ya kivita ndo akaanza kusema mm sizipendi km nihivo bora niondoke

Nikapiga hesabu za probability nikaona huyu life style yake inanitia mashaka afu why kondomu inakua zogo?

Nikamjibu tu kiume samahani sana kiukweli na mm kondomu sizipendi ila itanilazimu kuitumia kabla hatujacheck afya so km unaona kondomu nikikwazo mama, nenda mpk siku tutakayo pima wawili na kuchukua majibu pamoja

Akasema nayy kupima anaogopa sana nikamwambia kwahiyo tunafanyaje? Akakubali kondomu itumike sio kupima ( nikaona hapa kuna jambo) basi nikakubali kuitumia with due diligence game ikapigwa vzr kabisa

Kesho yake jioni kaja mapema akasema analala kabisa ( alielewa sana kipindi hasa jinsi nilivyotimia kumkanda mwili wake kwa shanga zake zakiunoni na kuzitumia kuzipitisha ktk kitumbua chake she resisted to be mad but went crazy [emoji16][emoji16])

Mwendo ukawa niuleule kumenye tu ndomu kila tukitaka kupunga maruhani yaliyopagawa

Akaanza zile za niambie sasa lengo lako ninin au unataka tu uweunanikaza kukidhi haja zako? Mm ni innocent sana huwasiwezi kumwambia mtu jambo la kumuumiza of which nilikua nimepanga kumla tu kila mtu aendelee na maisha yake ila kwakujua saikolojia yake alikua na expectation kubwa ya kuanza kuishi namm ukizingatia umri tyr umeanza kumkataa by then she was 32-33 years old

Nikamjibu km gentleman kuwa siwezi kuweka malengo ukiwa hatujui status zetu za kiafya zikoje siku utakayokuwa tyr kupima then ndio nitakupa malengo. Bado akawa mbishi kupima ananiletea pigo za mbn tunaandaana vzr sipati michubuko ngoma inapitia wapi?

Nikagundua wasiwasi wake mkuu nikupima so kondomu zikahalalishwa rasmi hakuwahi kusema anazichukia tena

Akahamia gheto kabisa muda huo ninamahusiano yangu ya muda mrf mchumba nilielipa mahari Yuko mkoa mwingine wanyumbani kila kitu kipo vzr inasubiriwa ndoa tu! Nikaona huyu demu ataniharibia ila kwakuwa kiasili mm nimpole sana sio mchumba wangu wala huyu aliejileta gheto alieshtukia km kunamwenzake nikaplay role vzr kabisa kwahuyu aliehamia gheto kwa kumpa condition kwamba tunayo miez miwl ya yeye kujitathmn kuhusu kupima ikiisha miez miwl hakubaliani kupima automatically tunaachana wala asije kunilauma.

Miezi miwl ikapita hajafikia maamuzi ( kipind chote hicho sijauza mechi) kuna siku nadhn alifanya makusudi stoke ya kondomu iliisha afu akapiga kmy km kawausiku namwambia chukua ndomu huko anasema zimeisha daaaah ilikua sita usiku maduka mtaa tunaoishi yanafugwa saa tatu aisee nikidata lkn kwa sauti ya upole kabisa nikamwambia we won't play tonight, nadhani hakuamn akajua natania amn usiamn tulilala kufika mid night akaniamsha akisema "yaani angalia nilivoloa najikojolea naww uko hapa hapa? Nikamjibu tu short yamebaki masaa machache ifike asbh nitafuata kondomu nitakutimizia hitaji lako nikageuka kumpa mgongo!

Ikawa asbh siku mpya ikaanza kwakuzini kabla ya kwenda kutafuta mkate jioni yake akasema hakuwahi kuona mtu mwenye misimamo mikali km unskilled...

Muda wampito niliompa kuhusu kupima ukafika ijapokuwa ratiba zangu ningumu ila ilipotimia miezi miwili tu nikamchukua kwenda kupima hospital x ya serikali kabisa nikiwa ninaitupa karata yangu ya mwisho jinsi ya kumwacha bila kuumiza hisia zake

Muuguzi akauliza swali nyeti sana km tunatumia Mpira na haipo siku tumesex peku peku jibu likawa ni condum as usual per game

MAJIBU SHE WAS HIV POSITIVE+
AND I WAS HIV NEGATIVE-!

Binafsi sikuwa surprised maana mm afya naichunga sana maana wazaz wangu walipofikia hawana ngoma mm kaka mkubwa nautoa wapi nahisi nitawafedhehesha sana wazazi na sitokua mfn mzr kwa madogo


Kwann nilimkomalia tupime? Kipind tumepotezana alijichanganya machimbo ya madini mkoani iringa na mm kwa uelewa wangu mdogo machimboni ni risk sana hasa kwa mtoto wakike ukizingatia mkoa wenyewe iringa

Alipewa ARVS siku ileile mm nikauluzwa km sijawahi pekupeku nikamjibu sijawahi peku pia nilikua nazingatia matumuzi sahihi ya Mpira so far nitapima tena muda mwingine!

Tukarudi gheto nikamchukua jukumu la kutomnyanyapaa ila nikamsistiza tu kwahali yake afikirie kuimarisha uchumi wake zaidi asinitegemee mm ikitokea sipo atayumba( mwenye akili ataelewa nikichokua nakimaanisha)

Basi swali la malengo nini likaishia hapo baadae ya miezi km miwili akajiongeza kuwa km alipata ugonjwa huo itakua machimbo ngj arudi tena akapambane na life huko kabla hajaenda nikamsistiza asifanye kuusambaza makusudi ikibidi atumie kondomu km tulivotumua kuliko baadae akapata maambukizi mapya akasepa na rundo la ARVS ZAKE huko chunya this time (mliokohuko mjihadhari)

Mipango yangu na mtarajiwa wangu wa nyumbani inaenda vzr panapo majaliwa nafunga ndoa SEPTEMBER ELEVEN of this year nikiwa nimeipata baraka Zote kutoka kwa huyu sweet poison iliyofeli kuniua akisema "ukipata mtu wakuoa we oa mm ngj nikapambane mbele

My take kula kimasihara kungeniponza maana hii ilikua mwaka jana kipindi visa vya kimasihara vimepamba moto jukwaani hapa pia hata mbinu za kumvua chupi niliitumia za hapa with added factors nilizonazo, sahz ningekua nakula DOZI KIMASIHARA

MY NOTE ukimwi upo unaua km magonjwa mengine ila unamateso aisee km hujawahi kunywa vile vidonge nshukuru mungu huyu mdada siku zakwanza alikua anahangaika kumeza mimavidonge makubwa hata mtu aliechumba chapili ukitikisa kopo la dawa anajua unakunywa

NB tusiwanyanyapae waathirika japo nirisk sana kuna muda nawaza kuwa nao wanamioyo yakupenda na matamanio ila kwakuwa jamii inawatenga ukimtongoza anakubali ila ataogopa kumwambia anakirusi mwilini.
upande waakili unaniambia huenda hata huyu demu alikua anajua hali yake ndo maana alikua hataki kupima?
Ila nikiwaza upande mwingine nasema je bila mm kutaka kula tunda KIMASIHARA tungefikia Huku kote?

All in all mshahara wa dhambi ni mauti mungu anijalie kuifikia ndoa yangu na kuiheshimu maana kila anaesimama mbele yangu nahisi nae anao!

Ikitokea nimechepuka of which mm ni mwanaume niliekamilika inatokea lakn nitachukua all preventive measures

TUNDA KIMASIHARA LINGENILA


Wasalaaam

Unskilled is now SKILLED
da hili ni bonge la funzo kati ya visa vingi vilivyowahi kufika hapa.sikutegemea kama majibu yatakua + baada ya kwenda kupima.muda mwingine ni kweli watu uponea chupu chupu hata pasipo kutumia mpira,na muda mwingine shetani pia anatupenda waja wake,yani unajikuta tu unavaa ndom
 
cha kushangaza bado wana tutaperi yaani mkuu awa niwakuwanyoosha tu wakiingia 18 akija ghetto ni kuchukua cm na kumwambia atoe hela uliyo muhonga tena unampangia hela ndefu mfano umetoa elfu kumi unamwambia akupe elfu amsini hapo umesha mnyanganya smart yake lazima afate hela akileta unachukua hela unamwambia apande kitandani avue nguo apanue unamtia mpaka choka yake ndio unampa cm yake
Acha ushamba basi Bob dah....
Yaani all that trouble kisa punani tu? [emoji3]
 
Nilikuwa natoka Dodoma kwenda Dsm, kwenye siti nikawa na jirani yangu wa kike.

Huyu jirani alinikuta nimeshakaa upande wa dirishani lakini hakunisalimia, Yuko bize na simu yake tu. Na mimi sikuwa na hiana nikauchuna tu.

Tumefika sehemu moja hivi ambayo siiukumbuki, mdada akaanza kuinama inama kuashiria kama ana maumivu tumboni. Basi nikawa namuangalia tu anavyo hangaika. Nikisubiri simu yake impe msaada!

Hali ilivyozidi, roho ikaniuma nikamuuliza vipi dada, una tatizo gani! Aliniangalia tu akanyamaza! Afu akainama Tena. Mashauzi kishenzi. Ikabidi nimgonge tena mgongoni, dada pole! Nini tatizo? Kimya!

Nikamuuliza hilo tumbo ni la period? Akasema nini? Eti unasemaj? Akahamaki! Mi nikamwambia, hilo tumbo ni period? Akanikata jicho balaa!

Nikamwambia wew dada, Mimi ni Daktari nakuuliza hivo makusudi ili nikusaidie! Sasa wew unaleta mashauzi wakati unaumia! Akasema linauma tu, linauma!

Linaumaj! Linauma kwa chini! Nikamwambia pole akasema ahsante. Nikatoka nikaenda kwa konda, nikamwambia, aisee mdogo wangu anaumwa, tukifika Gairo naomba nimchukulie dawa fasta. Akasema poa.

Tumefika Gairo kweli nikachomoka nikamnunulia dawa na maji. Nikafika nikampa, akameza, Safari ikaendelea! Akasema ahsante Dr, nikamwambia poa.

Baadae nikaona kama dawa zimesaidia, maana kule kuinama kukawa kumepungua. Tumefika Kibaha, nikamuuliza. Hilo tumbo lako huwa linakusumbua Mara kwa Mara?

Akasema, ndiyo. Nikwambia basi, kama una muda Dar, ukisettle tuwasiliane, Kuna majani fulani yanaota kule ninakokaa, kwa Kiswahili siyajui nayafahamu kitaalum tu na kilugha! Ukitulia uje uchukue, yatakusaidia Sana. Chukua namba! Akachukua kweli.

Alivyofika tu, Dr.mi nimefika! Dr...sijui nini! Dr. Am happy! Asubuhi, hope umeamka salama. Dr.....! Tukachati chati! Siku ya tatu akanambia naomba location, nikamwambia. Nikachuma majani fulani ambayo hutumika kwa ajili ya kutibia nyongo, nikachemsha na kumwekea kwenye chupa!

Amefika tukakaa kaakidogo, nikampeleka jikoni tukaandae chochote. Huko ndo mambo yalikoanzia. Nilichogundua ilikuwa ni haki awe na mashauzi, maana alikuwa mtamu na anajua kusakata rhumba! Akawa ameliwa.

Alikuja kugundua mi si Dr ni mchumia tumbo tu, lakini mwenye roho ya huruma. Ameshaolewa!

Ahsante sana B!
mkuu kuna danadana zako nyingi sana hapa hatujaziona hii story[emoji16][emoji16][emoji16]umeiandika kwa haraka sana.
 
mkuu kuna danadana zako nyingi sana hapa hatujaziona hii story[emoji16][emoji16][emoji16]umeiandika kwa haraka sana.
Sikutaka tu kuiwekea viambitishi awali na tamati mdau. Nikaoana twende na mzizi wa neno kama ulivyo!

Au nianze tumeingia jikoni tu hivi; nika.... hahahaha! Tulia Mkulungwa! Kula hiyo chukuchuku[emoji23]!
 
Sikutaka tu kuiwekea viambitishi awali na tamati mdau. Nikaoana twende na mzizi wa neno kama ulivyo!

Au nianze tumeingia jikoni tu hivi; nika.... hahahaha! Tulia Mkulungwa! Kula hiyo chukuchuku[emoji23]!
sio mbaya mkuu[emoji16][emoji16][emoji16] siku moja moja wacha tubebe kama inavyokuja
 
Kwa hiyo ukajiona mjanjaa!

Slogan!
"If you can't help them, atleast do not hurt them"
hakukua na haja yakumsaidia chochote kwasababu tayari alionekana kua na mshauzi.kwaio alichokifanya lugumya ni kutafuta mbinu za kivita.watu wa namna hii ikiwezekana unakula mbaka tigo ***** zake
 
Back
Top Bottom