Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Ilibidi kesho yake ninunue kofia nikawa navaa muda wote ili hata tukikutana asiweze kunikumbuka, coz ule mji haukuwa mkubwa sana na uzuri sikumwambia naenda ofisi gani ikawa bahati yangu, maana angeweza hata kwenda pale getin anijazie watu. (Alikuwa anaoneka mtata kwa jinsi nlivomsoma)!!!!

Nilikaa mji ule siku mbili nikaondoka.

Ila binadamu tupunguze tamaa ukimwi upo jamani.
Wewe ndo ulianza tamaa dada,ungepunguza tamaa mkiwa safarini wala isingekua hvyo
 
kuna dem na dem ambae unamsaidia halafu kamani papuchu aje akupe yeye kwa hiyari yake.kuna mtoto mmoja nilishawai kumsaidia tu kwa nilichoweza kiasi cha kurisk vitu nilivyokua navyp geto lakini sikujali.

alikua mtoto flani aged kama 16yrs hivi.inavyoonekana alikua ametoka kwao(mkoani) kuja kutafuta kazi yoyote hapa mjini pasipo kumjua mtu yoyote(japo sina uhakika kama hakuwai kuishi dar kabla).

siku hio alifika kwenye nyumba ambayo kwa asilimia 99 tuliopanga ni vijana.alipofika akaanza kumuulizia mtu/jina la mtu ambae kwenye ile nyumba hatambuliki.basi mimi nkaenda zangu kazini ilikua shift ya mchana kwahio sikujua nini kiliendelea.

wakati narudi mida ya kama sa tano na nusu usiku namkuta yule dem amelala nje kajibanza kwenye kikolido flani na baadhi ya wapangaji ni wadada, walichomsaidia ni kumpa kanga tu yakujifunika(nadhani walihofia kulala na mtu ndani wasiomjua).mbu walikua wengi nkamuonea huruma.

nikamwambia twende ukalale chumbani kwangu alisitasita nkamlazimisha akakubali,na ni kweli yale mazingira alipolala yalikua magumu.tulipofika ndani nkawaza tulale wote nimle?
hapana huruma ilinijia kwa kuwaza kua huyu ana shida kwahio anaweza akaridhia kufanya chochote kwasababu tu hana namna,kwaio haitokua jambo jema kwa mtu unaejali ubinadamu.

kiukweli nilimwambia aende akaoge,akaenda akarudi nkampa chakula nilichokua nimepika akala.nikamwambia wewe sasa lala hapa mim naenda kulala chumba cha nyuma(kwa jamaa angu tunaefanya nae kazi).
basi na mimi nikala nikabadilisha nguo mbaka natoka mule ndani yule binti alikua ameshalala inaonekana alikua na usingizi sana.

kwa kuhofia kumsumbua ilinibidi nifunge mlango kwa nje,japo asubuhi yeye aliniambia ulidhani ntakuibia nikitoka(ilikua katika hali ya utani).
nashukuru kuna mdada mmoja anafanya kazi yakuuza chakula katika mgahawa wake akamchukua ili aanze kushinda nae na akampeleka awe analala kwa rafiki ake mtaa mwingine

sijajua mbaka sasa anaendeleaje kwasababu nilikuja kuhama mwezi mmoja baadae pale nilipokua kutokana na vibarua vyetu.
Bravo
 
M

Hii hata mm iliwahi kunikuta, Kuna mdada aliwahi nikuta mida ya jioni amechoka kuzunguka anatafuta kazi za ndani mida kama saa moja na nusu, bahati nzuri mm Kuna mtu alinipa oda kama takutana na binti anatafuta kazi basi nimpeleke kwake, huyu jamaa anaehitaji mfanyakazi alikua anaishi mbali kidogo kama km 20, basi huyo binti nikamuambia alale pale geto kesho yake tampeleka akaanze kazi ukizingatia nilipiga simu sehemu husika nayeye akisikia,nililala nae chumba kimoja huyo binti mi nililala chini nikatandika mkeka, usiku akili akili ikawa inanituma nimle huyu binti lakini ikaja Imani takua nimechuma dhambi mtu Ana shida nianze kumfanyia hivo, najua atanipa kwakua anashida, roho ilikataa kabisa kumla ukizingatia mle ndani nilikua nakunywa k vant,hata huwa siamini huo ujasili wa kumuacha ulitoka wapi, yule binti nilimpeleka sehemu ya kazi huwezi amini hakumaliza mwezi jamaa anajipigia simu amemkuta huyu Dada wa kazi anakunywa ARV na kuanza kunilaumu mm kua huyu Dada anaweza ambukiza watoto wake, alimfukuza kazi, mpaka Leo huwa siamini kulala na huyo binti bila kumla
 
Mimi nililala na demu siku 4. Siku ya kwanza ndo nilipata tabu kidogo ila baadae ikawa kama nalala na ndugu yangu tu. Mimi linapokuja suala la ngono huwa nipo selective sana, naweza pata hisia za kula ila akili inaniambia tulia wewe.
Nikiingia kwenye mahusiano mapya naweza kaa hata miezi 3 sijaongelea maswala ya kuomba show.😀😀😀
 
Mwaka jana tu nilikuwa naenda mkoa flani sikuwahi kufika kule. Pembeni yangu nilikaa na kaka akaniambia ni mwenyeji kule ninapoenda. Tukawa tunapiga story za hapa na pale tukazoeana. Njia nzima tukawa tukishuka kupata chakula analipia yeye, safari ilikuwa ndefu sana. Basi kufika njiani bus lilipata shida ikasababisha tufike tunakoenda saa4 usiku.

Yule kaka aliniambia ana familia akaenilekeza lodge ili nikalale pale kesho asubuh nielekee ofisi nilokuwa naenda. Akachukua no ya simu. Ila akasema tukifika atapeleka mzigo kwake then atakuja pale lodge ahakikishe kama nimefika salama, nikasema poa. Akanipa hela ya room.

Tukashuka akachukua boda fasta akasepa. Nami nikachukua boda ghafla nkawaza huyu kaka nikikaa vibaya atakuja kunila kimasihara. Basi nkamwambia boda nipeleke lodge nzuri nikalale. Boda akanipeleka lodge nyingine kabisa kufika nikaona jina sio lile alonielekeza yule kaka. Nkasema poa!!!! Nikachukua room.

Baada ya dk 20 yule kaka kapiga simu nipo nje upo room no ngapi? nkamwambia no.... akasema poa nakuja...nikazima simu nikalala. Asubuh kuwasha simu ziliingia text kama 10 za matusi mfululizo, sikumjubu wala!!!!!! daaah wanaume nyie basi tu.
Kati ya mambo yanayo fanya nisipende shibo na wanawake Ni haya Kama sio aibu basi fedhea .[emoji3][emoji3][emoji3] Ndio maana Mimi kumchekea mwanamke Hadi nione yeye mwenyewe kaonesha njia ya machinjioni Mimi Ni kumalizia tu bila kutumia nguvu.[emoji39][emoji39]

Wanaume tupunguze shobo . ..... Ona sasa vihela na muda wa mchizi umepotea kizembe tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
M

Hii hata mm iliwahi kunikuta, Kuna mdada aliwahi nikuta mida ya jioni amechoka kuzunguka anatafuta kazi za ndani mida kama saa moja na nusu, bahati nzuri mm Kuna mtu alinipa oda kama takutana na binti anatafuta kazi basi nimpeleke kwake, huyu jamaa anaehitaji mfanyakazi alikua anaishi mbali kidogo kama km 20, basi huyo binti nikamuambia alale pale geto kesho yake tampeleka akaanze kazi ukizingatia nilipiga simu sehemu husika nayeye akisikia,nililala nae chumba kimoja huyo binti mi nililala chini nikatandika mkeka, usiku akili akili ikawa inanituma nimle huyu binti lakini ikaja Imani takua nimechuma dhambi mtu Ana shida nianze kumfanyia hivo, najua atanipa kwakua anashida, roho ilikataa kabisa kumla ukizingatia mle ndani nilikua nakunywa k vant,hata huwa siamini huo ujasili wa kumuacha ulitoka wapi, yule binti nilimpeleka sehemu ya kazi huwezi amini hakumaliza mwezi jamaa anajipigia simu amemkuta huyu Dada wa kazi anakunywa ARV na kuanza kunilaumu mm kua huyu Dada anaweza ambukiza watoto wake, alimfukuza kazi, mpaka Leo huwa siamini kulala na huyo binti bila kumla
da mungu pia alikua mwema mana pamoja na roho ya huruma uliokua unayo juu yake lakini ile k vant mkuu ingekuharibia kazi kabisa.huruma imekufanya ubaki salama ninauhakika usingetumia ndom
 
Mimi nililala na demu siku 4. Siku ya kwanza ndo nilipata tabu kidogo ila baadae ikawa kama nalala na ndugu yangu tu. Mimi linapokuja suala la ngono huwa nipo selective sana, naweza pata hisia za kula ila akili inaniambia tulia wewe.
Nikiingia kwenye mahusiano mapya naweza kaa hata miezi 3 sijaongelea maswala ya kuomba show.[emoji3][emoji3][emoji3]
da unamoyo mkuu mim tukishaingia kwenye upande wa mahusiano kwanza nataka nihakikishe mamla uyo dem mapema kabla ajaanza ukichaa wao,ili atapoanza nakua tayari muda wowote kutemana nae
 
kuna dem na dem ambae unamsaidia halafu kamani papuchu aje akupe yeye kwa hiyari yake.kuna mtoto mmoja nilishawai kumsaidia tu kwa nilichoweza kiasi cha kurisk vitu nilivyokua navyp geto lakini sikujali.

alikua mtoto flani aged kama 16yrs hivi.inavyoonekana alikua ametoka kwao(mkoani) kuja kutafuta kazi yoyote hapa mjini pasipo kumjua mtu yoyote(japo sina uhakika kama hakuwai kuishi dar kabla).

siku hio alifika kwenye nyumba ambayo kwa asilimia 99 tuliopanga ni vijana.alipofika akaanza kumuulizia mtu/jina la mtu ambae kwenye ile nyumba hatambuliki.basi mimi nkaenda zangu kazini ilikua shift ya mchana kwahio sikujua nini kiliendelea.

wakati narudi mida ya kama sa tano na nusu usiku namkuta yule dem amelala nje kajibanza kwenye kikolido flani na baadhi ya wapangaji ni wadada, walichomsaidia ni kumpa kanga tu yakujifunika(nadhani walihofia kulala na mtu ndani wasiomjua).mbu walikua wengi nkamuonea huruma.

nikamwambia twende ukalale chumbani kwangu alisitasita nkamlazimisha akakubali,na ni kweli yale mazingira alipolala yalikua magumu.tulipofika ndani nkawaza tulale wote nimle?
hapana huruma ilinijia kwa kuwaza kua huyu ana shida kwahio anaweza akaridhia kufanya chochote kwasababu tu hana namna,kwaio haitokua jambo jema kwa mtu unaejali ubinadamu.

kiukweli nilimwambia aende akaoge,akaenda akarudi nkampa chakula nilichokua nimepika akala.nikamwambia wewe sasa lala hapa mim naenda kulala chumba cha nyuma(kwa jamaa angu tunaefanya nae kazi).
basi na mimi nikala nikabadilisha nguo mbaka natoka mule ndani yule binti alikua ameshalala inaonekana alikua na usingizi sana.

kwa kuhofia kumsumbua ilinibidi nifunge mlango kwa nje,japo asubuhi yeye aliniambia ulidhani ntakuibia nikitoka(ilikua katika hali ya utani).
nashukuru kuna mdada mmoja anafanya kazi yakuuza chakula katika mgahawa wake akamchukua ili aanze kushinda nae na akampeleka awe analala kwa rafiki ake mtaa mwingine

sijajua mbaka sasa anaendeleaje kwasababu nilikuja kuhama mwezi mmoja baadae pale nilipokua kutokana na vibarua vyetu.
Ubarikiwe kamanda!
 
Mwaka jana tu nilikuwa naenda mkoa flani sikuwahi kufika kule. Pembeni yangu nilikaa na kaka akaniambia ni mwenyeji kule ninapoenda. Tukawa tunapiga story za hapa na pale tukazoeana. Njia nzima tukawa tukishuka kupata chakula analipia yeye, safari ilikuwa ndefu sana. Basi kufika njiani bus lilipata shida ikasababisha tufike tunakoenda saa4 usiku.

Yule kaka aliniambia ana familia akaenilekeza lodge ili nikalale pale kesho asubuh nielekee ofisi nilokuwa naenda. Akachukua no ya simu. Ila akasema tukifika atapeleka mzigo kwake then atakuja pale lodge ahakikishe kama nimefika salama, nikasema poa. Akanipa hela ya room.

Tukashuka akachukua boda fasta akasepa. Nami nikachukua boda ghafla nkawaza huyu kaka nikikaa vibaya atakuja kunila kimasihara. Basi nkamwambia boda nipeleke lodge nzuri nikalale. Boda akanipeleka lodge nyingine kabisa kufika nikaona jina sio lile alonielekeza yule kaka. Nkasema poa!!!! Nikachukua room.

Baada ya dk 20 yule kaka kapiga simu nipo nje upo room no ngapi? nkamwambia no.... akasema poa nakuja...nikazima simu nikalala. Asubuh kuwasha simu ziliingia text kama 10 za matusi mfululizo, sikumjubu wala!!!!!! daaah wanaume nyie basi tu.
Baharia alipatkana kinoma
 
Jamani story za UKIMWI zioungue daah mbona mtafanya tushindwe hata kutongoza wadau... 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 me mwenyewe ndomu ni mtihani kwa kweliiii...kuchezaa mechi masaa 3 hakuna goli hata moja daah
 
Ulifanya unyama wa hali ya juu sana, mtu ameghalamia chakula njia nzima, amekupa mpaka hela ya chumba lakn bado ukaishia kumpiga chenga ya mwili..

Mm ndio maana sipendagi ujinga, nikiwa safarini nakula nyama zangu tu za kutosha na konyagi nalala zangu [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahahahah

Nakumbuka miaka 3 au 4 iliyopita nilikuwaga bat fulani hivi Tanga mjini nakula zangu masanga taratibu

Yaani ukiniona Nina mchanganyiko wa taswira za kiboss hivi halafu tembea yangu huwa ya kijeshi ya kibabe .

Nikipita karibu yako lazima kishindo changu ukisikie[emoji1787]

Sasa bhana Kuna jimama fulani nahisi linauza lile .
Likajisogeza karibu tukaanza piga stori nikalinunulia bia likapiga pale nikaliomba mzigo likakubali

Aisee hili maza sio kwamba Lina sura nzuri Sana Ila Lina MAVIIIIIIIIIIIII hayo daaah [emoji15][emoji849]simchezo nikasema huyu lazima Nim.tombe Ile kisawa sawa .

Hao tukaibuka gesti mashine imesimama Kama mnara wa babeli[emoji1]

Aisee[emoji15]Ile anavua mnara ukaanguka unajua Nini ana mabaka kwenye mapaja dizaini kaunguzwa na vijinga vya Moto tako limezungukwa na mabaka mabaka stimu ziliisha

Nkamwambia hembu vaa hizo nguo kwanza ..anauliza Nini Tena nikamkazia [emoji15]vaa nguo hizo nikampa msimbazi nikamwambia Asante kwaheri

Tuwe makini

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
da unamoyo mkuu mim tukishaingia kwenye upande wa mahusiano kwanza nataka nihakikishe mamla uyo dem mapema kabla ajaanza ukichaa wao,ili atapoanza nakua tayari muda wowote kutemana nae
Tunatofautiana mkuu, mimi sex ni kitu kidogo sana kwenye mahusiano. Huwa naenjoy zaidi zile moments za kuwa pamoja zaidi kwa sababu sex unaweza pata hata kwa malaya lakini kupata mtu ambaye kwa pamoja mtaunganisha hisia zenu si mtu ambaye unaweza kumpata popote.
 
Uwa sivipendi videmu vya hivi

Yaani Kama humtaki mtu usimuangaishe ,usipoteze muda wake,usile hela zake

Just tell openly "Bwana mi sikutaki"

Yaani unakula hela zake ,unamdanganya aisee utakuja lipa hizo kitu jasho la mtu haliendi bure labda Kama kakusaidia

Ila matapeli wako wa kila Aina[emoji849][emoji15]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Hapo ndipo mnapokwama kabisa..
Mtu hujamtongoza, hakuna makubaliano yoyote ya kwamba mnaenda kunyanduana ww kwa kiherehere chako na udomo zege wa kukariri mambo unaanza kutoa hela kumpa mwanamke na unaanza kumnunulia vitu ovyo mbaya zaidi hajakuomba unategemea atakupa tu papuchi..

Acheni kuishi kwa kukariri, kama ulimpata mwajuma kwa staili hyo usitegemee kumpata mwanaisha kwa njia hyohyo. Muwe mnasoma alama za nyakati
 
Mimi nililala na demu siku 4. Siku ya kwanza ndo nilipata tabu kidogo ila baadae ikawa kama nalala na ndugu yangu tu. Mimi linapokuja suala la ngono huwa nipo selective sana, naweza pata hisia za kula ila akili inaniambia tulia wewe.
Nikiingia kwenye mahusiano mapya naweza kaa hata miezi 3 sijaongelea maswala ya kuomba show.[emoji3][emoji3][emoji3]
Wahi hospital huo ni ugonjwa kaka tena mkubwa sanaa
 
😂 😂 😂 😂
Nadhani nikianza kula kimasihara ndo nitakuwa naenda hosptali bila kukosa, maana nakumbuka 2017 kuna pisi ilijilengesha nikasema wacha nijaribu kula kimasihara kweli ikawa hivyo, nilipata msongo mkali wa mawazo hadi nikahisi kuugua kabisa ndo nikakoma hiyo tabia.
Kutafuna mbususu kwa mimi ni hadi fikra na hisia vikubaliane, kinyume na hapo nitakuwa najitafutia msongo wa mawazo tu.
 
Jamani story za UKIMWI zioungue daah mbona mtafanya tushindwe hata kutongoza wadau... [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] me mwenyewe ndomu ni mtihani kwa kweliiii...kuchezaa mechi masaa 3 hakuna goli hata moja daah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utakufa siku sio zako, shauri yako oooooh.
 
Back
Top Bottom