Acha mikwara.
 
Hahahaaah mkuu mbona umekuwa mkali sana.
 
Mbna hilo la kwa mpalange ndo habari ya mjini kwa sasa, wasanii wanasujudia wazi wazi ktk tungo zao, hapa JF ndo mada pendwa, huoni au unafiki unakusumbuaa? Msieeeew
Sijawahi kufika kwa mpalange, nahisi inasinyaa ikigusa mbolea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…