Hiyo pisi uliivuna ama uliisamehe?
 
Irudiweeee au sio
 
Mpo kimya najua mpo kwenye harakati mkimaliza kula kimasikhara
Leteni visa humu wadau,
Funguka,funguka,funguka
Mpate kupona na kufuta madhambi yenu maana afichaye dhambi itamtafuna humu ndio kitubio!

Kwa baba paroko rikiboy!


Nadanganya wadau?
😁😁😁😁
 
Hiyo pisi uliivuna ama uliisamehe?

Alikuja mara ya kwanza nkamsaidia mara ya pili nkaisaidia ilitaka movie akaingia hadi ndani mara ya tatu kaja kuomba movie Ndio nkasema Hapana leo nakula, wakati wa kuchagua movie nkampeleka folder la movie za pilau akawa anajidai hataki kuangalia nkamuuliza kwani ujui Haya mambo shem anacheka cheka tu basi nkaanza mtomaso kama kawaida kauli zao zile “shem sio sawa hivi lakini” nkamuambia Najua Ndio mana tunafanyia kwangu atakae toa Siri ya humu ndani ni nani mana mimi sito Sema chochote, akalegea nkala viwili akapita hivi na mpaka leo hapa tunasalimiana fresh tu nasubiri lini niletewe tena maana kasema anataka movie zingine nkamuambia kariiiibuu [emoji16]
 
Mkuu wewe ni author?
 
Kuna Manzi mmoja maarufu sana Morogoro.Anauzaga maduka flan hivi ya nguo.

Day moja nikiwa misele ya hapa na pale nikaamua kupita duka moja kubwa languo hapo Moro mjini.
Mara paap nakuana na hiyo Piss kali sio poa wakulungwa.
Mwanaume nikavimba nikaanza kumshobokea kwa maswali ya hapa na pale nikiulizia bei za bidhaa zake huku mwanaume muda wote nimekenua nikichekacheka tuu.

Muda ulipo wadia nikaomba namba zake niki muaidi kuja kuchukua Pamba kali bei Around 200k.

Basi mwanaume nikaanza kuchart nae hapa napale kumpa moyo na ushauri mwingi ili nijisafishe nionekane mwema mpole na mtulivu.

Siku moja alitoka zake Dar kufunga mzigo basi mwanaume nikachart nae nikamuomba Sponsor ya masaa nikae na faragha popote pale atakapo kuwepo huko huko Dar manzi akanikubalia.

Muda umewadia nikamuita kiwanja flan hivi tukakaa pale nikawa napiga Story za hapa na Pale.

Muda ulivyo sogea akawa ashakula kiepe chake na Juisi ya Embe mi nikagonga utende mzito mwanaume nika pumua kwa sauti kwa ajili ya kujiandaa na show.

Sa yule Manzi akasema leo hawezi kwenda Moro anataka tuende kiwanja tukakeshe tunywe biaa.

Mmmh mwanaume sikuwa vibaya wala nini nika mkubalia bhanaa.

Nimefika kiwanja flan amaizing tuu bia pekeake 4000 mwanaume nikaona isiwe taabu nikaagiza Kvant kubwa na maji ye nika mwambia agiza chochote ye akawa nakunywa savana.

Mi kwa utundu wangu nikaanza kuisifia Kvant sifa kede kede.
Yule dem akaanza kama kuielewa Kvant.Mara mhudumu akaja na tena akasema nletee na Mimi Glass mwanaume nikasema aswaaaaaa.

Basi tukaendelea kushusha mlima wetu mdogo mdog kucheka kwa Wingii.

Kitu ambacho kilikuwa kina nishangaza yule manzi nikiwa pale hanywi Kvnt ila nikienda chooni basi anagida mafundo makubwa makubwa ya kutosha.
Mi nikastukia mchezo. Nikajifanya sioni nlichofanya nikazidisha Rout za chooni ili bidada afe na Likvnt langu.

Heee muda ulivyo songa dem anyanyuke aende chooni kwani alisimama tenaa...????

Aswaaa nikamshika nikampeleka chooni basii nika mkamata nikamuweka begani aswaa mwamba nika paanae Piss moja kali sanaa.

Nlikuwa na kausafiri kangu ka X Trail basi mwamba

Nikasepa kumalizia show uwanja wa Nyumbani kule kule Dar mitaa ya Ukonga wakati tukiwa kwenye Gari mtoto full kula koni mwanaume nimshkilia stealing ya Gari kwa makini nisipigwe pass.

Any way shoo ikaishia Geto kwa piss kali ya Moroo

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
chai
 
Sehemu Gani mbn kama chai
 

Asubuhi pombe ilivyoisha akasemaje?
 
Umemchukulia lodge na ukataka kumwacha mzee umelogwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…