Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa chief pisi inayojifanya ngumu ndio tamu ukifanikisha...Duuuuuh sema ww jamaa mvumilivu sanaaaaaa yaani mmi mizungusho yte ile haukukata tamaa.
Mimi binafsi, narudia tena, “MIMI BINAFSI SIPO TAYARI”Kwa hyo wewe upo tayari kuona mkeo ana kwichi kwichi kwingine?
Hili swali lipo direct, lakini jibu lake bdo linazungushwa tu
Ukiwa bar, unachanganganya K-vant na energy drink kama vile uko maabara ya shule ya sekondari "mpiga miti". Ila chanjo unaogopa!Kuna jini jipya limeingizwa mjini, limekataliwa Kila sehemu siye tumelikaribisha Denmark bans Johnson & Johnson's coronavirus vaccine, citing the risk of rare blood clots
Lete na ww mkuu unaomba za wenzio tu.Ukiwa bar, unachanganganya K-vant na energy drink kama vile uko maabara ya shule ya sekondari "mpiga miti". Ila chanjo unaogopa!
Hebu leta story ya kula kumasihara asee!
Moja ya jambo tunalojidanganya ni kuwa mwanamke kuliwa ni aibu. Ingekuwa aibu wasingekuwa wanazitafta pipe kwa wivu mkubwa.Mwanamke kuliwa aibu na pia unaeza kuta wanaoliwa hawapo humu[emoji23][emoji23]
Sent from my TA-1004 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]MPANGO WA KUMLA MCHUMBA WA JIRANI YANGU WAFANIKIWA MANEINER
Taifa la shetani, wajukuu na vitukuu vya lucifer, wenyeviti na makatibu wa ngono ulimwenguni, wajumbe wa mkutano mkuu wa zinaa taifa, waasherati mabibi na mabwana, amani iwe kwenu.
Shusha stori acha kuzugaKila nkifikiria kushusha nlivokula mke wa mtu kimasihara.....roho inaniambia vunga tuu mtu mbad izi pisi iz daaah!!
[emoji16][emoji16] umeteleza vizuri sanaYa Mhudumu wa Mpesa.
Ilikuwa mwishoni mwa mwez juni hapa Dar Es salaam, kuna sehem nikapita nikaona bango likionesha kibanda frem kuna huduma za fedha hizi ambazo Mzee wa Chemba kaamua kulundika makato huko ili tujenge barabara za lami hadi Matombo shambani (hii ndoto ikitimia basi tutakuwa mfano).
Sijaona Kula masikhara hapa...Kama ni mtihani unapata -0 yaani minus zeroNipo 77 nlichogundua wadada wa marketing sijui nn wanajiuza wote na wanamaisha magumu hatar. Wenye bidhaa wanatumia uzuri wao kuuza bodhaa zao.
Nliamua kufanya utafiti wa week nzima kila anayekuja mbele yangu sijui nauza hiki mara kile, lazima aombwe namba, wote wametoa namba.
Oya ,tunalala mpaka lini mr vata ??Kabla ya yote nataka ifahamike kuwa bandiko hili halina nia ya kukejeli wanawake tajwa hapo juu bali najaribu kuelezea uhalisia wa sehemu ya mapito yangu.
Fuatana nami[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Dah! Sijui me nakwama wapi asee! Juzi kati kuna demu wa jamaa kaja home kufata madocument ya jamaa ake, nikapania na me Nile kimasihara, huezi Amin alikaa for 3h lakin hata gia y kumuingia nilishindwa nikabaki najitukana kimoyo moyo tu,
Hivi nyie wadau mnafanyaje au mnatumia mbinu gan wazee??