Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Duuuuuh sema ww jamaa mvumilivu sanaaaaaa yaani mmi mizungusho yte ile haukukata tamaa.
Sasa chief pisi inayojifanya ngumu ndio tamu ukifanikisha...
Kuna hormone inaitwa dopamine ukifanikisha kitu kigumu inamwaga kwenye damu mwaaaah kisha unasikilizia hali fulani hivi ya furaaaha.....
Binafsi nimependa stages kalizonipitisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa bar, unachanganganya K-vant na energy drink kama vile uko maabara ya shule ya sekondari "mpiga miti". Ila chanjo unaogopa!

Hebu leta story ya kula kumasihara asee!
Lete na ww mkuu unaomba za wenzio tu.

Kuna masihara moja nimeanzisha ya mtu kasimama anasubiria daladala kituoni, daag imekuw serious sasa mm ndo naikwepa...
Ipo story yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AMKENI AMKENI, ile condom niliyohifadhi sehemu salama kwa muda mrefu sasa leo mchana ilitumika.
LALENI LALENI, haikuwa kimasihara sana mana nilishamuweka kwenye mipango japokuwa ilikuwa surprise kula tunda na mazoea nae yalianza jana jioni.
 
MPANGO WA KUMLA MCHUMBA WA JIRANI YANGU WAFANIKIWA MANEINER
Taifa la shetani, wajukuu na vitukuu vya lucifer, wenyeviti na makatibu wa ngono ulimwenguni, wajumbe wa mkutano mkuu wa zinaa taifa, waasherati mabibi na mabwana, amani iwe kwenu.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ya Mhudumu wa Mpesa.

Ilikuwa mwishoni mwa mwez juni hapa Dar Es salaam, kuna sehem nikapita nikaona bango likionesha kibanda frem kuna huduma za fedha hizi ambazo Mzee wa Chemba kaamua kulundika makato huko ili tujenge barabara za lami hadi Matombo shambani (hii ndoto ikitimia basi tutakuwa mfano).
[emoji16][emoji16] umeteleza vizuri sana
 
Nipo 77 nlichogundua wadada wa marketing sijui nn wanajiuza wote na wanamaisha magumu hatar. Wenye bidhaa wanatumia uzuri wao kuuza bodhaa zao.

Nliamua kufanya utafiti wa week nzima kila anayekuja mbele yangu sijui nauza hiki mara kile, lazima aombwe namba, wote wametoa namba.
Sijaona Kula masikhara hapa...Kama ni mtihani unapata -0 yaani minus zero
 
Dah! Sijui me nakwama wapi asee! Juzi kati kuna demu wa jamaa kaja home kufata madocument ya jamaa ake, nikapania na me Nile kimasihara, huezi Amin alikaa for 3h lakin hata gia y kumuingia nilishindwa nikabaki najitukana kimoyo moyo tu,
Hivi nyie wadau mnafanyaje au mnatumia mbinu gan wazee??

Uoga wako ndo umaskini wako man, mimi juzi tu hapa Japo ni usela mavi sikatai ila kuna jirani wangu ana pisi kali kweli inafanya kazi bank ilikua likizo sasa mara kwa mara anakuja kuomba movie mara aombe micro wave akaitumie nkaona Haya mazoea sio ya kawaida

Acha uoga jimwage ila ukishayamwaga hakikisha unakula mzigo akiondoka hujamla atakudharau sana.
 
Back
Top Bottom