Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Kabla ya yote nataka ifahamike kuwa bandiko hili halina nia ya kukejeli wanawake tajwa hapo juu bali najaribu kuelezea uhalisia wa sehemu ya mapito yangu.
Fuatana nami[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Kama mkataba wa kazi yangu ulivyonitaka niwe tayari kufanya kazi mahali popote ndani ya Tanzania na ndivyo ilivyotokea nikajikuta nipo bandarini kusubiria boti ya kuelekea zanzibar kufanya kazi huko kwa muda wa miezi sita. Ilikua ni mara yangu ya kwanza kwenda zanzibar na pia mara ya kwanza kutoka nje ya kituo kikuu cha kazi yangu hapa dar es salaam na kupangiwa kituo kingine tangu nipate mkataba wa miaka mitatu kwenye kampuni hii iliyokua na makao makuu yake ndani ya bandari ya dar es salaam. Sehemu zetu za kazi ambazo mtu angepaswa kwenda kama angehamishwa kutoka hapa makao makuu ni mtwara, tanga, unguja, pemba, mafia na bagamoyo.

Safari ilianza saa 11 jioni, nikiwa na begi langu nikaingia kwenye boti na kwenda kukaa kwenye daraja la tiketi yangu ambalo ni silver class. Sehemu niliyokaa kando yangu kulikua na msichana wa kati ya miaka 22+ ambapo yeye alitangulia kuingia kabla yangu na nilimkuta yuko bize na simu yake ya tochi, nikamsalimia na hatukua na maongezi tena kati yetu kwa muda huo. Baada ya safari kuanza na kila kitu kutulia nami nikaona nitoe simu yangu japo niperuzi. Simu yangu ilikua ni iphone 5s kwa wakati huo na ilikua siku nzuri haswa. Sasa bwana, baada ya kuitoa ile simu nikaona yule msichana amemakinika kidogo kuikazia macho, na baada ya muda akaanza kunisemesha na kuuliza ile ni simu gani, nilipomjibu akafungua mkoba wake akatoa simu kama ile ikiwa mpya kabisa akasema alitumiwa na ndugu yake kutoka canada na ametoka kuichukua lakini hawezi kuitumia na hata alipojaribu kuweka line hakuona majina. Basi nikamfanyia setting pale ikiwa ni pamoja na kumtengenezea apple id ili aweze kutumia na baada ya hapo tukawa kama watu tuliofahamiana kitambo, nikapata mpaka namba. Katika kufahamiana nikagundua kuwa yule msichana kwao mombasa lakini anaishi unguja, na akaniambia kama mipango itaenda sawa anatarajia kwenda kuishi canada miezi mitatu mpaka sita ijayo.

Baada ya kushuka pale bandarini (znz) kila mmoja (kati yetu) akashika njia yake huku tukipeana ahadi za kuwasiliana, lakini haikua hivyo kwani yule bint aliamua kunipotezea. Ni mara moja tu alipokea simu yangu baada ya kuachana pale bandarini tena ni pale nilipompigia ili kumuuliza kama amefika salama, baada hapo hakupokea tena simu wala kujibu sms. Kidume nilijaribu kwa njia zote kufanya ushawishi labda nitajibiwa lakini ikawa kinyume chake, nikakata tamaa lakini sikufuta namba. Nikapotezea kwa muda.

Baada ya wiki kama tatu hivi za kuwa busy weekend moja nikiwa mahali ninapoishi nimeshika simu yangu nikamkumbuka yule bint, nikasema wacha nijaribu leo nikatuma sms ya salamu, mara baada ya kutuma sms tu punde akanipigia. Ile kupokea bint ananiuliza mimi ni nani nikajisemea duh mpaka namba kafuta!, hata hivyo nikajitambulisha, ajabu bint akaanza kufurahi na kunilaumu kwa nini nilikua simtafuti nikashangaa!
Ktk kuendelea kuongea ndipo akaniambia mdogo wake amei restore ile simu yake (iphone) kwa bahati mbaya, na ameenda kwa fundi ameambiwa hawezi kuitumia mpaka aweke apple id iliyokuwepo awali lkn yeye anaikumbuka apple id pekee passwords amezisahau hivyo akataka kujua kama naweza kuzikumbuka, na kweli zilikua kichwani maana nilimuwekea passwords ninazotumia kwenye simu yangu.
Hata hivyo nikamwambia aje ninapoishi na hiyo simu kama anaweza, akaja.

Alivyokuja akanikuta napika sasa ili mimi nifanye kazi yake akaniambia jiko nimuachie yeye. Kazi kwangu haikua ngumu ila ikabidi nijicheleweshe ili nipikiwe kila kitu na pia nipate kuzoeana na yule bint. Akapika vikaiva na tukala pamoja, baada ya muda kdg ndipo nikampa simu yake ikiwa sawa. Yule bint aliiangalia simu mara moja tu na mara nikashtuka akiwa amenivaa mwilini huku akiwa amefurahi ajabu, akanikumbatia kwa nguvu huku napigwa mabusu hapo mzee sikulaza damu, japo nilipata usumbufu ule wa sitaki nataka lkn hatimae nilimla yule bint siku ile ile.
Rasmi sasa tukawa wapenzi baada ya lile game na ikafikia point mpaka nikawa naonewa wivu, ajabu ni kwamba hakuwahi kunionyesha kwao na hakutaka hata nipajue, sikujali. Baada ya miezi miwili ya uhusiano akaondoka kwenda mombasa na akasema anaenda kukamilisha taratibu za safari na alisafiri kweli. Kwa sasa yupo canada na hatuwasiliani baada ya kurudia zile tabia zake za kunata.

Baada ya mwezi kupita nikapata mwanamke mwingine, huyu kwao pemba ila alikua anafanya field pale bandarin unguja. Bint mweusi wa kipemba, mzur wa sura na asiekua na mambo mengi akameza ndoano yangu. Uhusiano ukaanza na ukashamiri, huyu nilimkuta bado bikra, nikampenda haswa huku nikijiwazia "huyu ndie mke".


Tulale kwanza....
Lafa weweeee [emoji23][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Wadau Songea wapi pamechangamka?

Niko hapa La CHALZ, naona kama si kiivo. Hawapiti hawa ndugu zetu. Nielekezeni kijiwe kizuri basi labda tupate Cha kusimulia kesho.
IMG_20210801_194620_640.jpg
 
Wadau Songea wapi pamechangamka?

Niko hapa La CHALZ, naona kama si kiivo. Hawapiti hawa ndugu zetu. Nielekezeni kijiwe kizuri basi labda tupate Cha kusimulia kesho.View attachment 1876680
La Chaz ya chatto au as kama ni ya Sinza Mori labda kama ndani ya ukuta wa mabati uliozungushiwa biashara na ukarabati vyaendelea kwa pamoja
 
Uoga wako ndo umaskini wako man, mimi juzi tu hapa Japo ni usela mavi sikatai ila kuna jirani wangu ana pisi kali kweli inafanya kazi bank ilikua likizo sasa mara kwa mara anakuja kuomba movie mara aombe micro wave akaitumie nkaona Haya mazoea sio ya kawaida

Acha uoga jimwage ila ukishayamwaga hakikisha unakula mzigo akiondoka hujamla atakudharau sana.
Dah! Kweli yahitaji ujitoe akili sana
 
Mkuu mie nimekujibia. Ivi hii Prep nimeshaisikia kwa mbali Kama ni kificho saanaa kuwa unameza afu ndo una enda kula mzigo bila kuambukizwa.unakuwa free kwa HIV+ infection.
Iyo pep nishawahi pewa pale udsm Kuna binti nilimla pale pembeni ya block A afu classmates zake no roommates zangu.
Baadaye dogo akaniambia kuwa bro yaani unaona pale umefika eti. Akanitonya kuwa huyo demu huwa anawambiaga yaani bila ya kupata dozi halali.
Sema kilichokuwa kinanisaidia zile tachi mpaka huku down mlenda so nazimisha Sana.
Mpaka zile kitchen ama dining room pale block F la Master nnikisoma zangu mpaka usiku nikichoka naita mbususu nakula naenda kulala zangu.
Uwanja wa basket walokole wanasali mbususu imenikalia juu.
Ila jamani life la bibo hostel I enjoyed a lot mpaka huwa nawaza nikapiga postgraduate.
Duu Ila maisha bana ni mbususu basi.ukiwa na hela afu ukanyimwa mbususu Nina Iman utaukataa utajiri we ako
Dah yani watu wanasali we upo na mbususu[emoji23]
 
Juzi kati nilisafiri kutoka huku mkoani nilipo kwenda Dar kuhudhuris sherehe ya kuagwa (send off party) ya mpwa wangu! Nilikuwa na begi ambalo halikutosha kukaa ndani ya basi hivyo ikabidi niliweke ndani ya buti! Safari ilikuwa shwari, isiyo na misukosuko njiani hadi tunatia nanga ktk kituo chao hapo Shekilango!

Baada ya kuteremka, nilipigwa na butwa na kupata hasira kali kukuta begi langu limeloweshwa na pombe! Ktk buti hilo kumbe walipakia katoni za pombe juu ya begi langu. Nadhani chupa zilivunjika njiani. Nguo zangu za kubadilisha jioni hiyo na za kuvaa kesho yake kwenye sherehe zote zililowa pombe na kutoa harufu ya pombe! Hakika nilikasirika mno! Wahudumu wa kampuni hii walikuwa waastarabu sana, waliniomba msamaha na kuahidi kunifidia kwa uharibifu huo.

Nilienda zangu hotelini huku nikiwa nimenuna haswa nikifikirikia nitatokaje usiku huo kwenda kwenye miadi niliyokuwa nayo! Baada ya kufika hotelini na kujiandikisha, muhudumu mmoja wa kike matata sana, alibeba begi langu na kunisindikiza chumbani. Baada ya kufika chumbani na kunionyesha kila kitu ndipo nilipomueleza masaibu yangu. Aliniitia mdada mwingine kwenye kitengo cha ufuaji (laundry) aje anisaidie. Huyu dada wa ufuaji ana vigezo vyote ya mwanamke, mzuri na mwenye umbo zuri. Nilimtamani! Alinihakikishia kuwa kabla ya yeye kutoka saa mbili usiku nguo ambazo nilikuwa nahitaji kuzivaa usiku huo zitakuwa tayari na ataniletea kabla ya kuondoka na zile za kuvaa kesho pamoja na begi zitakuwa tayari kesho! Nilifurahi sana nikatoa kwa pochi nykundu mbili nikampa kama bakshishi! Alifurahi mno!

Saa mbili kasoro dakika tano, wakati najiandaa kutazama taarifa ya habari kwa runinga, mlango wa chumba changu ukagongwa! Nikaenda fungua nikamkuta binti akiwa kabeba nguo zangu nikamkaribisha aingie ndani! Nikazipokea nguo zangu na kuzining'iniza kabatini kisha nikamrudia mdada aliyekuwa kasimama akisubiri kuniaga. Nilichokifanya nikamuendea nikampa mkono na kumvutia kwangu akaja mzima! Alileta upinzani kidogo lakini baada ya kumchezea na alilegea na nikajilia kimoja kisha akawahi nyumbania kwake. Asubuhi wakati anakuja kazini alipitia chumbani tukapata morning glory. Ni binti mzuri sana, single mother toka unyaturuni!
Ivi kwann wanyatulu wengi wanazaa mapema sana
 
Back
Top Bottom