Jesuitdon
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 3,153
- 2,673
Huruma ndo pepo kenge ww kimbiaHii nilifanya ila shida inakuja ni demu flan hana kero yoyote... Haombi pesa, hanifatilii, halalamiki na wala hanizuii kufanya lolote.... Ukipiga chini kilio mpka homaa... Nikisema niwe napiga na kusepa inanijia huruma flan hivi...
Sasa nashndwa tecnic nimchomoe kwa mdau maana jamaa hampend dogo ila yupo kwa ajili ya mkuchu tu ila dogo anasema kamzoea anashndwa kutoka
Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app