We mzee hahahaha
 

Ha haaaaa we jamaaa fala sana..........
 
Jiandae kubambikiwa mimba/kulea mtoto asiye wako
 
[emoji848][emoji848]
New kin'gasiti in town
 
Acha umarioo fanya kazi kijana mjini usipende vya watu
 
Mkuu humu tutapiga maneno mengi ila wewe fanya unacho ona ni sahihi kwa upande wako muhimu usipate hasara basi

ila kumbuka tu usimuamini malaya/huruma kitu kibaya sana
Unadhan namuamini basi... Mi nina target zangu tu ila maarifa nakosa tu... Na iyo target ili kufanikiwa lazima nimteke kihisia

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…