Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Juzi nimekula mtoto wa diploma ya nursing kizembezembe tu! Eti kimemfumania mtu wake amelala na Mwanamke Mwingine ndo kinakuja kwangu eti nikishauri kifanye nini?? Nimekipikia msosi kimekula kisha usiku mida ya saa 2 nikakiambia kiende Home kwake [emoji16]kinadai kitaenda Kesho maana Bado kina stress [emoji91]nimekitafuta usiku kucha mpaka saa 2 asubuhi [emoji2957] kitu kizuri ni kuwa leo nimewakutanisha na mtu wake nimewasuluhisha na wamerudiana...
Remember:
It’s your duty to please that booty [emoji15]
We mzee hahahaha
 
Yaani muda wote mnawaza ukimwi tu mnataka mkae duniani miaka mingapi msiwatishie watu maisha acha wale raha utakwepa ukimwi unakufa na covid au unakuwa na mawazo ya kukosa raha za dunia unapata magongwa ya moyo wanakuwekea betri anakuudhi mkeo unapata mshituko betri inaisha chaji wanakupeleka hospital unakuta umeme wa kuichaji betri umekatika tanesco wanafanya matengenezo njia kubwa ukiwa hospital unatumiwa msg na mtoto mzuri anaisoma mkeo anakupiga mkwara kuwa wewe kicheche kwa mstuko betri inamalizika kachaji kalikobaki kinachobaki unakufa ukiwa na miaka 42 tu basi tunapoati R I P kwa kutafuta kiki tuonekane wema kwakuwa tulikuwa karibu na marehemu muda wote mpaka anakufa na tumekuwa kinara wa kuwa wa kwanza kujua kifo chako kwa kuogopa ukwimwi tu, kuna magonjwa kibao tishio leo mnazunhgumzia kaukimwi tu ili watu wasipige kimasihara waongeze au hamjui za kimasihara zilivyo tamu aise acheni hizi

Nawaamnia kabisa ukipiga ya kimashara moja unaongeza siku mbili za kuishi sasa wewe kuwa mzembe uone watu wanavyokuwa na siku zakutosha we ufe na covid tu kwa uoga wako wa ukimwi

Nimemaliza!

Ha haaaaa we jamaaa fala sana..........
 
Msimamo ninao mkuu ila ni dogo ambae anatia huruma na anaonesha anachokifanta hakijui.... Mi simpi chochote zaid ya kupiga na kusepa
Jamaa ake ye ndio hata kupiga hapigi but wamezoeana demu anashndwa piga chini jamaa...

Plan ilikuwa kupiga na kusepa but huruma tu

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
Jiandae kubambikiwa mimba/kulea mtoto asiye wako
 
Niaje wadau.

Nimeambiwa na demu wangu kuwa niwe mvumilivu na niongeze upendo ili amsahau mchepuko wake ambae yupo nae na anampenda kuliko mimi ila jamaa hampend demu but demu anasema anashndwa kabisa kumuacha......

Sasa wadau nisaidieni jins ya kumtreat huyu manzi nimteke mazima aje kwangu... Mwanzo nilikuwa nataka kupiga na kusepa sasa nimejikuta naganda baada ya dogo kuniambia kuna pesa anaiskilizia tufanye busines.... Ni mchepuko tu lakini na ni mwanachuo.

Upendo wake kwa jamaa haiusuani kabisa na kupigwa vizuur wala kuhongwa... Anadai ni mazoea tu ananiomba nikubali kuwa mume mdogo...

Mi nimekubali kwa kuwa sio ndoa na sina mpango wowote... Ila sasa nisipomteka manzi.. iyo pesa ataidaka jamaa...

Ushauri wadau mbona za kumteka huyu mrembo.

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
[emoji848][emoji848]
New kin'gasiti in town
 
hivi kati ya mnao pitia hizi coments na mawazo ya watu HAKULA ALIYE LIWA KWELI NA YUMO HUMU JF????

nenda pm mka renew
JamiiForums-1819723997.jpg
 
Niaje wadau.

Nimeambiwa na demu wangu kuwa niwe mvumilivu na niongeze upendo ili amsahau mchepuko wake ambae yupo nae na anampenda kuliko mimi ila jamaa hampend demu but demu anasema anashndwa kabisa kumuacha......

Sasa wadau nisaidieni jins ya kumtreat huyu manzi nimteke mazima aje kwangu... Mwanzo nilikuwa nataka kupiga na kusepa sasa nimejikuta naganda baada ya dogo kuniambia kuna pesa anaiskilizia tufanye busines.... Ni mchepuko tu lakini na ni mwanachuo.

Upendo wake kwa jamaa haiusuani kabisa na kupigwa vizuur wala kuhongwa... Anadai ni mazoea tu ananiomba nikubali kuwa mume mdogo...

Mi nimekubali kwa kuwa sio ndoa na sina mpango wowote... Ila sasa nisipomteka manzi.. iyo pesa ataidaka jamaa...

Ushauri wadau mbona za kumteka huyu mrembo.

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
Acha umarioo fanya kazi kijana mjini usipende vya watu
 
Mkuu humu tutapiga maneno mengi ila wewe fanya unacho ona ni sahihi kwa upande wako muhimu usipate hasara basi

ila kumbuka tu usimuamini malaya/huruma kitu kibaya sana
Unadhan namuamini basi... Mi nina target zangu tu ila maarifa nakosa tu... Na iyo target ili kufanikiwa lazima nimteke kihisia

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom