Reference zako ndio tatizo...sio wote waislam na wakristo huku mzee umekariri
huyu jamaa amekariri anadhani wote humu tunafuata dini za mashariki ya kati,
Kama Mimi niliacha kuzifuta nilipoanza kujitambua tu Tena nikiwa kinda wa miaka 10's tu nilianza kuwa motivation speaker wa watu kujitambua Kama Watu kamili wasiokua brain washed na hayo mambo ya utumwa!
 
Jamaa aliyekula chizi aje amalizie basi tunasubili mwendelezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
akimalizia nitag boss
mkuu nioo umalizie
 
Kesho nitalela kisa changu nilivyo kula kimasihara singo maza
Kesho imefika mwaka fulani ilikuwa mwezi wa sita mahindi ni marefu nilitembelea ndugu na jamaa katika kijiji fulani huko chuga. Basi muda wa jioni nikiwa nataka kuondoka kwandugu mmoja kwenda kwa ndugu niliyefikia kwake. Kukawa na shemeji wa huyu ndugu dada wa mke wake ana nizuia nisiondoke kwa kigezo bado mapema. Basi tumekaa pale mpaka saa moja. Nimeondoka aka nisindikiza kulikuwa na baridi hivyo akanifunika na kanga yake nikazungusha mkono nika mkumbatia kiuno huku tuna tembea taratibu ,tumefika mahali pakuagana arudi akanigeukia na mimi nikajiongeza nika mvuta nikaweka mikono mabegani, tukiwa tumetazamana nikampa ulimi akaupokea. Denda denda touch pik pik ikaja ikabidi tubadili mazingira tumesogea kidogo touch zikaanza pik pik ikipita ikatumulika tukasogea tena. Hapo sasa mambo yaka kolea denda shika matiti pandisha gauni, shusha chuu pameloa sokomeza ukuni akainua mguu mmoja juu tako kadhaa wazungu hao. Mechi zilikuja kurudiwa mara mbili kwa mipango. Sasa hivi kaolewa ila mawasiliano yako akinikumbuka.
 
Hii chai
 

Sure mkuu mwenyewe nshajibebeaga Msamvu Moro kwa situation kama hio
 
j
Jamaa angeenda Ulaya ndio angejua haya makanisa ni nini, anazingua... homie is brainwashed na hajui, DONKEY OF THE DAY.....
 
Hello.
Kitambo sijaonekana humu.
Leo sijui itakuwa Masikhara au vinginevyo?
Nikiwa Mkoa fulani nilipigiwa simu baada kupokea nikakutana na sauti ya mwanamke. Kauliza sio fulani nikamwambia wrong number mie naitwa Hardlife akasema samahani nikamwambia usijali naweza kusave namba yako akasema sawa. Wakati huo yeye yupo Dar.
Sasa nimerudi mjini na nina zaidi ya mwezi. Jana ndio nakumbuka kuna namba niliisave. Nilimpigia nikamwambia nipo mjini nikamuomba tuonane akasema sawa. Sasa najipanga kula mzigo kwakuwa nimemchek kupitia picha zake ni kisu hasa. Labda awe tofauti.
Nitaleta mrejesho.
 
Jihami mzee usiende kichwa kichwa tu! Hii dunia haiaminiki siku hizi, usishangae ukajikuta kwenye setup moja mbaya sana.

Usiogope ila metoa kama precautions tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…