MJINI CHAI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2010
- 2,202
- 1,228
kwa Mara ya kwanza nilipouona huu Uzi niliupuuza kwa kujua ni vijana wanaoanza Balehe na Aina Kama hiyo...........Lakini ninapoona Uzi huu unazidi kupampiwa zaidi nimeona niseme neno japo kidogo
Ngono nyingi zisizotarajiwa eitha kwa upande mmoja au pande zote huleta madhara na sononeko baadae kwa upande mmoja au pande zote........
Kuna Binti mmoja na genge lake la wuza ngono wameanzisha mbinu mpya ya kuwapata Wateja kwa kujifanya wao ni wageni ambao si wazoefu na Mji husika mfano Dar Es salaam sasa wanachofanya ni kuwawinda Mkaka yeyote wanaemuona ni windo Zuri ndipo huelezwa kwa kuombwa Msaada wa kuwa yeye ni Mgeni ametokea mfano Tanga na anakwenda Magomeni kwa Dada yake hivyo amejikuta yupo hapo Tazara na atakueleza amechoka sana kutembea kutoka Ubungo na atakueleza ana simu ambayo ina namba ya Dada yake ingawa simu yake haina salio.....
Ukimuangalia kwa jicho LA Kingono udenda utakutoka...... Hebu niishiae hapa kwa sasa ili nisiwachoshe nitaendelea baadae uone jinsi unavyotegwa.......