Ulishawahi kula tunda kimasihara?
UNAIVA, na vp kuhusu ule moto ulikosa waangalizi? kwa namna yeyote ile kazima uunguze msosi!
Kumbuka kuna rice cooker (sufuria flan hivi la umeme) yan ukiweka mchele na kila kitu bas we funika nenda katembee utakuta wali umeiva tena fresh tu.
 
We jamaa unatuchosha na magazeti yako, unatuharibia Uzi wetu kila mara na takataka zako hili siyo jukwaa la hizo, peleka JF doctors huko.
Visababishi vya magonjwa ya zinaa

Vitendo vya ngono kama nilivyoeleza hapo awali

Kuanza vitendo vya ngono mapema au wakati wa umri mdogo

Kuwa na wapenzi wengi

Kufanya mapenzi ambao sio salama

Maambukizi kupitia michibuko au sehemu zilizokatika kwenye ngozi kwa kugusana na majimaji ya aina yoyote yanayotoka kwa mtu mwenye ugonjwa wa zinaa kama damu, shahawa nk. Hii inaweza kutokea bila mtu kujua kwani mara nyingi dalili za magonjwa ya zinaa zinakuwa hazionekani kwa wanawake na hata baadhi ya wanaume.

Watu wengi huhisi kitendo cha kula denda (kissing) ni salama lakini si kama wanavyofikiria kwani baadhi ya magonjwa kama kaswende, herpes nk, yanaweza kuambukizwa kupitia njia hii. Kondomu husaidia kupunguza maambukizi ya magonjwa ya zinaa kama gono, Chlamydia lakini sio kinga muafaka dhidhi ya magonjwa ya zinaa kama kaswende, genital herpes, genital warts, na magonjwa ya upungufu wa kinga mwilini (AIDS).

Nitaanza kuzungumzia ugonjwa wa gono (gonorrhea) kwa leo na makala zitakazofuata nitakuwa nazungumzia ugonjwa mmoja baada ya mwengine

Kisonono (gonorrhea) ni nini?

Kisonono ni ugonjwa kati ya magonjwa ya zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Neisseria gonorrhoeae, bakteria ambao hukuwa na kuzaliana kwa haraka katika sehemu zenye unyevunyevu na joto mwilini kama kwenye shingo ya kizazi kwa wanawake (cervix), mirija ya kupitisha mkojo au shahawa (urethra), mdomoni na kwenye puru. Maambukizi mengi kwa wanawake hutokea kwenye shingo ya kizazi (cervix). Asilimia 75 ya ugonjwa wa gono hutokea kwa watu wenye umri wa miaka 15 – 29, wanawake walio katika umri wa miaka 15 -19 na wanaume walio katika umri wa miaka 20 – 24 wako kwenye hatari zaidi ya kupata ugonjwa huu.

Ugonjwa huu huambukizwa vipi?

Ugonjwa huu huambukizwa kupitia vitendo vya ngono kupitia uke, njia ya haja kubwa (anus), kupitia mdomoni (oral sex). Ugonjwa unaweza kujitokeza kwenye sehemu za kujamiana, kwenye mdomo na kwenye puru (rectum). Ugonjwa wa gono huonekana sana kwa vijana, watu wenye maisha duni kiuchumi, watu wanaoishi mijini, watu weusi na watumiaji madawa ya kulevya.

Dalili za ugonjwa wa kisonono

Dalili za ugonjwa wa kisonono huanza kujitokeza kuanzia siku ya 2 hadi ya 7 baada ya mtu kupata maambukizi na huweza kuchelewa kwa wanawake. Dalili ni kama zifuatazo

Kwa wanaume

Kuhisi kama kichomi wakati wa kukojoa (burning sensation)

Kutokwa na majimaji ya njano au meupe au ya kijani kutoka kwenye uume yanayoambatana na maumivu makali sana

Wakati mwengine maumivu au kuvimba kwa korodani (swollen testicles)

Maambukizi yakiwa kwenye puru (rectum) huambatana na maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa, kuwashwa sehemu za haja kubwa, na hata haja kubwa inaweza kutoka ikiambatana na damu, hii inatokea kwa wanaume na wanawake.

Kwa wanawake

Dalili kwa wanawake huwa si nyingi lakini wanawake wengi hawaonyeshi dalili zozote

Maumivu au kuhisi kama kichomi wakati wa kukojoa

Kuongezeka kwa kutoka majimaji kutoka kwenye tupu ya mwanamke ambayo ni ya njano au yamechanganyika na damu

Kutokwa na damu kupitia tupu ya mwanamke kabla ya hedhi kufika.

Kutokwa na damu baada ya kujamiana au baada ya tendo la ndoa

Kichefuchefu

Homa (fever)

Kutapika

Vipimo vya ugonjwa wa kisonono

Swab for culture – Kipimo hiki hufanyika maabara kwa kupandikiza bakteria baada ya kufuta sehemu za siri kwa kutumia swab ili kuona kama kuna bakteria wanaosababisha gono.

Polymerase Chain Reaction (PCR) – Kipimo cha kuangalia vina saba (DNA) ya bakteria, ni ghali sana.

Tiba ya ugonjwa wa kisonono ni nini?

Tiba ya gono inahusisha na tiba ya ugonjwa wa Chlamydia kwani mara nyingi magonjwa haya huambatana kwa pamoja.Tiba hutegemea na umri wa mgonjwa na kama mtu ni mjamzito au la. Tiba ya gono ambayo sio sugu iliyo kwenye shingo ya kizazi (cervix), urethra na puru, dawa zinazotumika ni aina za cephalosporin dozi moja pamoja na dawa za aina ya macrolide antibiotics (mfano azithromycin) na za jamii ya penicillin (mfano doxycyclin) ili kutibu ugonjwa wa chlamydia. Mara nyingi kwa wale chini ya miaka 18 na wanawake wajawazito, hutibiwa kwa kuchomwa sindano.

Fuata ushauri wa daktari kabla ya kutumia dawa hizi kwani dawa nyingi zina madhara kwa wajawazito (mfano doxycyclin). Ushauri nasaha hutolewa kwa wapenzi wote wawili na ni vizuri wapenzi wote wawili kutibiwa hata kama mmoja hana dalili za ugonjwa huu.

Madhara ya ugonjwa wa kisonono

Kutoweza kuzaa kwa mwanamke (tasa) au kutoweza kutungisha mimba kwa mwanamume (infertility)

Huweza kuathiri moyo (heart valves), ubongo,ngozi nk ambayo ni hatari sana kwa mtu yoyote.

Madhara kwenye sehemu za maungio au jointi (joint inflammation)

Kwa wanawake wale ambao hawajatibiwa wanaweza kupata ugonjwa wa PID (Pelvic Inflammatory Disease) ambao huongeza asilimia ya mwanamke kuwa tasa.

Wale wanawake ambao ni wajawazito na wameambukizwa gono wako kwenye hatari ya mimba kutoka au kuzaa mapema kabla mimba haijatimiza umri wake (preterm labor).

Kwa wale wanaoambukizwa gono kipindi cha kukaribia kujifungua, wanaweza kuwaambukiza watoto wao na hivyo watoto kupata ugonjwa wa uti wa mgongo (meningitis), kuwa kipofu (blindness), homa ya mapafu (pneumonia) na ugonjwa wa mifupa (septic arthritis).

Kinga ya kisonono

Kutumia kondomu wakati wa kujamiana

Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu

Kuacha vitendo vya ngono kama matumizi ya vifaa vya ngono hasa kwa wanawake mfano vibrators nk.

Kwa wanawake wajawazito – Hakikisha unahudhuria kliniki mapema ili upate kuchunguzwa na kupatiwa tiba muafaka kama utagundulika na ugonjwa wa gono au ugonjwa mwengine wowote.

Wanawake wajawazito wanashauriwa kujifungulia hospitali ili kama mtoto ameathirika na gono apate matibabu ya haraka baada ya kuzaliwa kuepusha kuwa kipofu.

Epuka kufanya ngono na mtu aliyeambukizwa gono.

“Kumbuka ya kwamba hakuna kitu kama ngono salama kwani huwezi kujua kama wewe au mwenzako wakati wa kujamiana ameathirika au la, au una michibuko au umekatika kwenye ngozi au la kwani michibuko mengine inaweza isionekane au kugundulika kwa urahisi. Njia pekee na nzuri ni kuacha au kujikinga na vitendo vya ngono”. Mtu aliyepata gono awali anaweza kupata tena.
 
Wazungu wanatucheka kuwa akili zetu zimejikita katika kula tunda tu.
Dogo unajaribu kusema nini? umekielewa ulichoandika? Kwan umeitwa hapa? Kuna aliyekulazimisha usome na ucomment?.

Achana na huu Uzi wa mabaharia wa kufungia mwaka. Nenda jukwaa la dini huko
 
Mdau ushafeli

Mwanzo umesema jina kapuni halafu baadae umemtaja jina live kabisa tena mawili hujamfanyia fair

Edit comment yako kabla mod hawajaleta unoko humu maana Wana unoko Sana siku hizi

hilo jina bado ni kapuni si halisi
 
Pole sana dogo fukara, huna hela maskini bado unatukana nyuma ya keyboard
Pole sana mdogo wangu,
We nawe dishi limeyumba

Hivi kitu gani kinakuwasha maana umeshupalia mambo kana kwamba una share zako Hapa hahahaha

We mwenye unatukana watu nyuma ya keyboard unawaita mafukara wakati hujui status zao kiuchumi .

Usikute unakula kwa baba na mama au shemeji hapo halafu unaleta dharau za kijinga

Badala kushauri kwa utulivu ,kimantiki unatanguliza kejeli badala kutufanya sisi tujisikie vibaya wewe ndio unaoneka mburulula,dunderhead , bullshit,jack ass and idiot [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Usiniqoute tafadhali [emoji41]
 
***** watu mnakosoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]wazee wa self tunataka picha halisi na siyo zisizo na evidence, hatupendagi kuupa kazi ubongo kutafakari sana..[emoji23][emoji23]
 
Usijaribu kusoma ukiwa kwenye daladala au ofisi ya watu wengi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Utaingia aibuuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila mungu ni fundi sana
 
Yamenishinda...ngoja na mm nieleze kisa cha kumla DEMU WA MSHKAJI WANGU KIMASIHARA TU

Mm na mshakj wangu tulikuwa tunafanya kazi mkoani 2012, na tulikuwa tumepanga nyumba moja..Sasa siku moja jamaa akaamua kumleta demu wake huku mkoani(demu wake alikuwa ni mwanafunzi wa mwaka wa pili UD)

Demu wake alikuwa pini moja matata sana..pini kwel kwel...alikaa kama siku 3 hivi akarudi zake chuo

Sasa baada ya mwezi yule rafiki yangu akapata uhamisho wa kwenda DAR..Dar hakuwa na sehemu ya kuishi...so akataka afikie kwa dada yake wkt akipanga mipango ya kutafuta nyumba ya kupanga

Sasa mm nikapata wazo...nikamshauri afikie kwangu kwani mm dar nna nyumba(ya uridhi) ambayo nilikuwa nimeifunga tu,hakai mtu na ipo karibu kabisa na kituo cha kazi alichohamishiwa,akakubali

Kufika na dar,yule demu akawa anatoka chuo anashinda sana na jamaa...wkt mwngne anaamkia pale kwenda chuo(wkt wote huo mm sina mazoea nae kbsa)

Sasa siku moja nipo zangu ghetto naona namba mpya inaingia kupokea ni yule manzi wa jamaa(kumbe no kapewa na mshakaji anichek)

Baada ya kupokea ananambia umeme umezingua tangu jana yake na mshkaji kampa no yangu anichek kwan yeye atakuwa bize kazin...so nimsaidie kumtafutia fundi...basi nikamtafutia fundi akaja akatatua tatizo siku ikaisha

Ikapita kama miezi 3 hvi nikapata likizo nikaenda Dar,nikafikia pale pale kwangu...so demu akawa siku akitoka chuo anakuja anatupikia analala anasepa zake(mazoea yakaanza)

Baada ya kama wiki 3 hv,jamaa akapata safari kikazi kwenda mkoani huko..so nikabak ghetto alone...sasa siku moja mida kama ya sa 9 nipo zangu nachek muvi ghafla manzi huyu hapa..nikamuuliza vp,mbona ghafla ghafla hata simu hakuna?akajibu amekuja tu kuchukua vitu vyake mara moja

Nikamzingua tu kuwa sijala toka asubuh,anikalangizie tule then asepe,akakubali..akaingia jikon..kapika kamaliza tukala,zikaanza stori stori sa 2 usiku hii hapa...akaomba akaoge then nimsindikize,nikamwambia poa

Baada ya kuoga akabadili nguo bhana(hapo ndo msala ulipoanza)alivaa kagauni flan hv amaizing sana,kafupi hv kakamtoa sexy balaa(mzee mzima tamaa zikanikamata)nikamsifia pale akacheka n

Sasa kwa vile ilikuwa mida ishaenda nikaona si mbaya nikampeleka(nna kausafiri kangu)kuingia kwenye gari alivyokaa kale kagaun kakapanda juu bhana,paja lote hili hapa

Nikawasha taa ya gar ya ndani(sikumbuk hata nilikuwa nataka kufanya nn bhana)ndo nikaliona paja vzr aisee...mtoto alikuwa sexy,mapaja malaini meupe hatar(ugonjwa wangu)

Nikameza mate pale nikamzingua tu kiutani,"shem siku nyngne usivae hv bhana,utasabaisha nipate ajali bure"akacheka sana

Sasa tupo njian na folen za dar zilivyo tukaanza kupiga stori za hapa na pale...akaniuliza mbona hajawahi kuniona na demu wala kusikia habari za demu wangu....nikamzngua tu mi sina demu...natafuta pisi kali kama yeye,pisi za kawaida siziwez,hazinip mzuka kabsa

Akaniambia,kwa hyo mm nimekupa mzuka? nikamjibu kiutani tu "vbya mno nataman hata nikuparamie hapa" huku nacheka

Demu akafurah...nikamfikisha mabibo hostel nikaamsha zangu...Kesho yake ilikuwa jumamosi,mida kama ya sa 4 hvi nipo zangu ghetto nasikia mlango unagongwa,kwenda kufungua pisi hii hapa,alafu imevaa kagauni(si kale ka jana)kingine ila kimemkaa vzr hatar

Akaingia ndan akaa kwenye kochi,namuuliza vp,akanijibu nimekuja UNIPARAMIE

Aiseee nilipiga ile manzi...piga sana..baada ya mechi demu ndo ananifungukia bhana...kumbe jamaa hamfikishi demu(hamridhish)tangia waanze mahusiano hajawahi kumkojoza bhana

Jamaa alikuja kuachana na yule dem,kashaoa sa hv,na demu kashaolewa huko...Ila mpk wanaachana jamaa hakuwahi kujua kuwa nilipita na manzi ake

So wazee mkiwa na madem zenu pigen kazi muwaridhishe...la sivyo mtasaidiwa na mabaharia..NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom