Ntaumalizia jana nilikunywa konyagi nililewa sana hang over mpka saiv[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Poa mkuu ila ukitaka hang over ya konyagii ikate we kunywa,maji ya moto moto tu. Na wakati wa kulala au saizi na msosi mwingi basi.

Uta ni tag
 
Leteni vitu jamani kama vipi uzi uhamishiwe jukwaa la wazee wa kazi ili tuwe huru
 
Vipi tena aiseee
 
Daah,mi nalitafuta kweli hilo tunda hv naweza kukipa jf?
 

Kumbe ile jinsia iliyopewa jukumu la kubeba tunda haipo mbali na hii thread of the year?? nimeona like ya Mama Debora kwenye comment yangu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…