granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
Duh, mzee 2004 ulikuwa 'langapi'?
Mkuu hawa Watoto walikuzwa kwa chips zege shida kweli...MTU anashangaa simu 2004????wakati miaka hyo watu wanamiliki vicm Vya kijanja kabisa achana na ile minara ya sabuni...Sijui Motorola Sijui...