Ulishawahi kula tunda kimasihara?
2004 hata mi nilikua na siemens C 35 kile kimlio chake nakikumbuka mpaka leo. hata nokia tochi zilliisha anza kutoka na kuja jamaa yangu alikuja toka misri akaja na nokia ya kamera nzuri balaa ilikua kama ina ma hips hivi
2000 Novemba nilikuwa na NOKIA 5110
 
Wakiacha kufuta comments niambieni nilete ya kwangu..
 
2004 hata mi nilikua na siemens C 35 kile kimlio chake nakikumbuka mpaka leo. hata nokia tochi zilliisha anza kutoka na kuja jamaa yangu alikuja toka misri akaja na nokia ya kamera nzuri balaa ilikua kama ina ma hips hivi
Mkuu msamehe bado kijana mdogo huyu
 
Siku moja katikapitaa pita yangu si nilikutana na binti mmoja mkali hata Nashindwa kumfafanua ili muweze kumjua ukali wake. Nahisi msela wake ni wa humu humu jf .huyu jamaa toka achukue kigari chake cha mkopo anajiona sana. Nikamwomba ni mpige mbili tatu Nikiwa najua ni mgumu na kumwonyeshea jamaa hapo hapo kwa msela kuna kivuli na kiubishi nimalizie mchongo nje kwake. Niliinua mkono nikashika kitu Nika peleka mdomoni sikuwa nimekosea ni tunda limeiva tena ni embe.nikaondoka zangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pumbavu thana..
 
Back
Top Bottom