hii sio kimasihara mkuu.
 
wewe ni ke au me?? para ya kwanza imenivuruga
 
Sasa hapo ndio umeeleza au huo ni utangulizi (Dibaji)?
 
Nilikua nyuma ya jukwaa pale kwenye nyama ya mbuzi karibu na hile sinema ya royal tour mkuu umeondoka mm bado nipo uku MU [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahahaha nimeshasepa kaka, kama bado upo MU nikija ntakutafuta kaka ,hapo kwenye banda la nyama huko palikuwa na warembo fulan hivi wamevaa kama form six nyeupe hivi .

Uliwaona wale wadada wanaoshindana kunengua[emoji28][emoji28][emoji28]
 
hii ilishatumwa humu.una cope n paste?
 
The Prophet ﷺ said:

‎“From the most wicked people in the sight of Allah on the Day of Judgment is a man who has sexual intercourse with a woman and then exposes her secret (meaning: tells people what they have done)”

Sahih Muslim 1437
 
Baada ya kusoma sana visa vya RICK BOY ngoja niwape changu cha masikhara miaka hyo Bibo hostel hapo.

Manzi mmoja tulitoka nae kitaa, fatilia sana toka tupo 4m4 wapiiii hataki kuelewa, tukamaliza six, nilikuwa nasoma mikoa yenye baridi kali huko yeye yupo Town kiba***a nikirudi likizo jaribu hapa na kule lakini wapi...hataki kuelewa.

Zikatoka selection kujiunga elimu ya juu nikawa hapo town ye akachaguliwa mtakatifu kwa bahati mbaya akashindwa kwenda kutokana na ada. Ikabidi avute mwaka..ilipofika wakati wa kuomba akanitafuta bwana alikuwa ananiamini kwenye mambo mengi na mengi nilikuwa nafahamu kwakweli na namsaidia ila kuniachia ndio alikuwa anaweka ngumu.

Nikamwambia panda bibo...nikufanyie application..soma sana cut off za tcu...akaja nikapanga machaguo..bwanabwana selection zinatoka kachaguliwa town hapohapo akawa yupo nayeye bibo...ingawa tupo campus tofauti..

Bado tupia story za hapa na pale bado anachomoa...bwana wee siku nipo room naumwa nshakunywa na metakeflin napigiwa anataka nimtoe dinner...lalala tunatoka bwana mitaa fulani pale bar xhini karibu na brbr nagusia chumba hakuna ubishi wale wadada walishanizoea pale...kuingia ndani kumbe bwana aliakuwa amejipanga..pamoja na kuumwa nilipiga..lakini kila nikipiga mwili unazidi juwa wa baridi mpaka akastuka ninini mbona miguu ya baridi na feni inapuliza kinyama. Kuja kumwambia nna metakeflini na nimekuja kwakuwa umenisumbua..alicheka sanaaa ikabidi ipangwee tena game nikiwa mzima wa afya salama salimini.
 
Ntawaletea ya mdada mmoja mnyambo sura ya kinyarwanda...akiwa mwaka wa tatu mi wa kwanza...aiseee
 
Huyo katoka kugombana na jamaa wake, hasira zake kaamua akupe kilaini
 
Ahahaha nimeshasepa kaka, kama bado upo MU nikija ntakutafuta kaka ,hapo kwenye banda la nyama huko palikuwa na warembo fulan hivi wamevaa kama form six nyeupe hivi .

Uliwaona wale wadada wanaoshindana kunengua[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] niliwaona Mzee nikawamezea mate nipo mzee Mpaka wa 7 hivi ndo ntakuwa nmemalizana napo uku MU
 
Katika makuzi ya maisha ya mapemzi hakuna formula. Nikiwa hapohapo kwenye hostel hizohizo wakati huo karibia shule yetu nzima ya advance na darasa zima la six limemwagwa kukawa kama vile bado tupo kiadvance..tembelea sana block A kwa wadada ambao tulipiga nao advance.

Mambo ya birthday nini kwa wadada walioingia dar kwa sababu shule ndio imewaleta Town.. ikawa kwa wingi sana. Kila wakati nipo kwenye room ya hao wadadaniliosoma nao na kuna mdada wa kinyambo wanaishi nae humo ingawa aliwazidi mwaka.

Nasema hakuna formula kwakuwa mi nilikuwa zangu cool sana lakini kila nikiongea mdada wawwatu wa mwaka wa tatu ananiambia mi mcheshi sana.

Ghafla tu pepo likaniambia mwambie nataka nikutoe out leo usiku..kitu kikatick akasema ngoja mida ya saa mbili..

Hela nnayolipia mpaka leo ilikuwa inasoma kwenye akaunt..mida ikafika somesha mnyambo twende nje kwenye chips samaki..achana na RB. kaelekea kibra.

Tukafika zetu palepale, agiza zangu ugali samaki mkubwa na maji kubwa, akaagiza zake chips tumekaa zetu ghorofani kwenye makuti. Nikagusia tu siwezi kukaa nje kwanza mie njuka we nwaka wa tatu mi naenda kuchukua room tuhamie ndani...ajabu hakubisha kachukue lakini mie sijajiandaa sifanyi chochote nataka kurudi mapema. Sikumkatalia...OK.

Hamishia kila kitu ndani, tunafika story za hapa na pale gusa hapa gusa pale katulia tuli...fungua code moja baada ya nyngne katulia tu...cheki time saa nne nilipiga mpaka asubuhi..ile tunatoka asubuhi sana..uso nna macho na mwaka wa kwanza wenzangu nipo na mdada wa mwaka wa tatu portable shape ya kinyarwanda..wakaanza kuniita jina la jack Bauer wakati huo 24hrs ndio series Motooo.

Nikamrudia siku nyngne kwa appointment nikaachama na mchezo huo kabla wale wenye room hawajastuka mana nilikuwa naonekana innocent man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…