Kimasihara nyingine huwa tunaliwa wanaume bila ya kujua. Kunga dada mmoja na office mate, alivyohamia nilimpiga sound kimya kimya akabana licha ya kuwa tukikutana ofisini tunakumbatia na kumshika nitakavyo hasa tukiwa wawili. Hivi karibuni alianza kuwa ananisifia sana mbele za watu wa ofisin kwake mara napenda kifua chako, ohoo umependeza. Wiki moja alikuwa nje ya mkoa kikazi nashangaa ananipigia simu saa 12 asubuhi na kuniomba nimtumie email fulani wakati muda wa ofisini ni saa 2. Last week nilimwambia nimtoe lunch ila sitaki mtu ajue akaja kimya kimya parking tukasepa, siku hiyo ndio akafunguka kuwa alikuwa na genye ya kufa mtu akanipigia simu ila alikosa cha kuongea, kaahidi kunitunuku tukiwa safari ya mkoa furani very soon. Wakati tunarudi kufika parking tunamkuta bosi wake anaongea na simu ambaye pia namla kimya kimya. Pona yangu aliogopa kushuka akasema nimuache kwenye gari hadi bosi wake aondoke.
 
As expected na mna bahati mngekutwa na wale chokoraa wanaozengea(ga) hiyo sehemu hamngetoka salama[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Futa jina la dispensary (for privacy).
 
Hayupo Kaka uku saiv kuna msemo watu wakifulia wanaenda Kwa Baba Kayoko Kula ngenge [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee Mzee ukija tena tuchekiane bhna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poa chief
 
Hii sio kimasihara
 
Umemaliza asee, sema huyo namba 3 nimecheka sana [emoji28][emoji28]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtakuja kufa kizembe *****
 
bila ndom mzee mzima ukala mbele na tigo, bila kujua status yake kaka?? 😱
😱😱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…