Mzee natambua ugonjwa unaoua sana ni malaria ila ukimwi unatesa sana pia kwa muda mrefu watu wanajificha nyuma ya ARV. Angalia watu wazima wengi wanakula ARV lakini ndani kwa ndani cha moto wanakipata. Nachomaanisha ukimwi unaua kwa kutaabisha sana mtu pamoja na familia yake
 
Jamani nipeni mbinu za kula kimasikhara lose ball. Kuna kademu hapa hotel nilifikia kikazi naona kama kamesafirishwa na bwana wake sasa siku nzima kapo kapo tuu na mie nataka nikakule ila sema mie domo zege, nisaidieni jamani.
 
Unaona unavyoteseka? Wakati unarudisha Kadi ya uanachama CHAPUTA Ulirusha maneno makali sana kwa viongozi wako. Tukataka hadi tukupe cheo Cha katibu mwenezi Taifa ila ukagoma tu..

Kiko wapi..
 
Nashauri tujitahidi kuwa na jamii yenye mpenzi mmoja kuliko upuuzi mnaojisifu wakati tunazika ndugu zetu wengi kwa ukimwi pia mnatesa familia zenu pindi mki athirika

Ukitombewa huyo mpenzi mmoja usitulilie huku msamehane maisha yaendelee… na atagongwa sana tu leo Chapa kesho Jackal kesho kutwa 2chainz.
 
Unaona unavyoteseka? Wakati unarudisha Kadi ya uanachama CHAPUTA Ulirusha maneno makali sana kwa viongozi wako. Tukataka hadi tukupe cheo Cha karibu mwenezi Taifa ila ukagoma tu..

Kiko wapi..
Aise nimenyeguka mpaka basi lakini naona de libolo halicboki kusimama.
Msaada wenu wakuu
 
Jamani nipeni mbinu za kula kimasikhara lose ball. Kuna kademu hapa hotel nilifikia kikazi naona kama kamesafirishwa na bwana wake sasa siku nzima kapo kapo tuu na mie nataka nikakule ila sema mie domo zege, nisaidieni jamani.
Tafuta hela
 
Ukitombewa huyo mpenzi mmoja usitulilie huku msamehane maisha yaendelee… na atagongwa sana tu leo Chapa kesho Jackal kesho kutwa 2chainz.
Ukifanya hivyo mkuu na unaijua yule ni mtu wangu utakuwa unakosea na hiki ndio nachokisema usigonge mtu ukijua kabisa ana mahusiano na mtu Fulani hiyo ni kukoseana heshima. Pia hii huchangia kueneza ukimwi tafuta wa kwako tulia kwani mbona inawezekekana tatizo liko wapi mpaka utake kulala na mwanamke huku unaijua ana mtu? Ukimwi hauna mchezo ndugu yangu tuheshimu mahusiano ya watu
 
Jamani nipeni mbinu za kula kimasikhara lose ball. Kuna kademu hapa hotel nilifikia kikazi naona kama kamesafirishwa na bwana wake sasa siku nzima kapo kapo tuu na mie nataka nikakule ila sema mie domo zege, nisaidieni jamani.
Pesa tu mzee [emoji1787]tenga fungu
 
Hahahaaa we bwana una maua yako hapa chato njoo uchukue
 
Wee hutakufa? Kila kifo kina sababu, ukimwi nao ni sababu moja wapo
Mi nitakufa pia ila siwezi kushabikia kitu kinachotesa ndugu na jamaa mtaani wakati naona Kuna uwezekano wa kukiepuka, pia mkuu ukimwi ni tishio unatesa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…