Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Shule gani ya bweni ina vyoo humohumo bwenini???

Labda hizo private zenu. Nimesoma Govt Shule ya bweni hakuna kitu kama hicho

Pumba.afu
Mbona shule kibao za serikali vyoo na bafu vipo humohumo mabwenini???
Au shule kubwa kubwa tu ndo meona hyo[emoji3][emoji3]??
Lyamungo
Umbwe
Moshi technical
Old Moshi
 
We jamaa umesoma shule gani??

Mbona shule nyingi tuu zinamabweni yenye vyoo ndani. Sio kwamba kila rooms inachoo but unakuta kwenye floor husika kuna Choo.
Kwa sisi ambao tulipita Mazengo enzi hizo ambapo siku hizi ndio St. John University pale Dom ilikuwa na vyoo na bafu ndani kila floor. Nje viliwekwa kwa kuwa maji yalikuwa yanatoka kwa shida
 
Back
Top Bottom