Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Sentence case: Nakumbuka 2015 nimemaliza kidato cha nne, mama yangu akaongea na mama mdogo nikakae kwake Dar huku nikisubiri matokeo. Basi baada ya wiki nikaja Dar, nikapokelewa vizuri tulikua tunaishi Tabata. Hapo nilikuwa na bf angu wa kijijin alikuwa kinyozi wa saluni ndio niliyeanza nae mambo ya mapenzi. Sasa huku kwa mama mdogo niliishi vizur maisha safi nikanenepa na kunawiri, kusema ukweli mm ni mrembo Sana (umbo la kibantu nywele, rangi na sura ya kiarabu) na inasemekana baba yangu ni mwarabu Ila mama alimsingizia mimba kwa step dad hivyo nilipozaliwa ilibid Bibi anichukue, kunilea na mama alirudi kwa step dad wakaendelea na maisha.

Maisha yaliendelea nikawa namsaidia mama mdogo kuuza genge lake na yeye anakaa dukani hivyo nilikua nameet watu mbalimbali na nilikuwa natongozwa sana lakini mama mdogo alikuwa ananisisitiza sana kuhusu kujilinda hivyo sikuingia kwenye mapenzi na yeyote. Baada ya mwezi hivi matokeo yakawa yametoka bahati mbaya sikufaulu nikawa tu home nasikilizia watanisaidia vipi.

Tumeingia mwezi wa pili shemeji yake mama mdogo alikuja kukaa na sisi pale kwani alikuwa anasomea uwakili. Tukawa famili ya watu sita (mm brina, mama mdogo na mume wake, huyo shemeji ( tumuite D) na watoto wawili).

Nakumbuka siku moja tulifunga mapema dukani nikawahi kurudi home nikapike kwani mama mdogo na mumewe walikuwa wanaenda kwenye harusi na watoto wasingeweza kubaki wenyewe kwani D alikua anachelewa kurudi huko chuo sabab wanasomaga hadi usiku.

Basi tumekula na watoto wakaenda kulala mm nikawa namsubiri D arudi ili nikalale, akaja saa4 nakumbuka ilikuwa Jumamosi nikamfungulia nikamuaga kuwa naenda kulala akasema subiria basi nimalize kula akaweka movie nikawa naangalia si usingizi ukanichikua nakuja kushtuka D yupo ananipapasa kifuani niliruka fasta maana nilikuwa na muda mrefu kweli sija do. Ghafla honi hiyo kina mama mdogo wamerudi huyo nikasepa chumbani kulala.

Kesho yake Jumapili nikamuita D nikaongea nae nikamwambia sijapenda ulichokifanya nilimind kweli akasema mara ooh mimi nakupenda fungua moyo wako nikubalie mm nikakataa. Tumeenda baada ya wiki naona D kila akirudi ananiletea zawadi mara anipe pesa mimi nikawa nazitunza tu kwenye mpesa yangu. Alijitahid kunispoil na kunibembeleza sana maana yeye alikuwa ana mshahara pale alikuja tu kuongeza masomo. Mimi nikawa namkazia nahofia mama mdg akijua itakuwa noma.

Ikawa imepita mwezi D ananisumbua tu na hachoki na mimi nilikuwa nasubiria kuenda chuo cha mapishi coz ilikua ianze mwezi wa 6.

Sasa kumbe baba mdgo alikuwa ameshaanza kuhisi D ananitaka akawa anatufatilia. Siku moja wakatoka out yeye baba na mama mdogo na watoto, D aliambiwa aende akagomesha akasema ana kazi za chuo, mm kama kawaida nikabaki dukani. Jioni saa 1 nikafunga nikarud ili nipike. D mara aje jikoni aanze kunibembeleza mara anivute na kunishika dah nikawa nawaza nimekula pesa zake nyingi kwa muda mfupi asa leo nimepatikana. Nilijaribu kujitoa lakin nikashindwa kutokana na D alinizidi nguvu plus nyege πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

D kanibeba huyo mpaka sebuleni tukawa tupo kwenye romance na ashk ashk hatari na nilikuwa natoa miguno kwa saut ya juu. Kumbe mama mdg aliwah kurud home kuja kupokea mizigo ya dukani kwani ilikuwa iletwe kesho na pesa hakua ameacha wala maagizo yoyote.

Duh alikuja speed na geti lilikua wazi tumerudishia tu mpaka ndani akatufumania katikati ya mechi πŸ™„πŸ™„πŸ™„ ilikua patashika nilipigwa makofi D akawa ananitetea mama mdogo akaanza kulia na kumlaumu kwamba ananiharibu wakati tayari yeye ni mme wa mtu nilibaki nimetoa macho sikujua kama D ameoa na sikutaka sana kumchunguza coz sikumpenda and it was unexpected sex.

Baada ya lisaa baba mdgo karudi ulikuwa ugomvi mkubwa na kelele nyingi hadi majirani walikuja ikabidi niingie ndani D akaondoka basi nikajifungia nikalala nikawa nawaza naenda wapi na nimefanya nini ilikuwa aibu nalia tu kwani mama mdogo alikua anampigia simu ndugu zangu mama Bibi akasema ameshindwa kukaa na mm hizo msg nilizokua natumiwa nililia.

Asubuhi ilipofika kila mtu aliondoka bila kunisemesha mm huyo nikapaki nguo zangu chache nikasepa hadi Mbagala kwa shoga angu nilikuwa nimemzoea pale dukani yeye alikuwa anauza pharmacy. Nikamuelezea kila kitu akamwambia usirudi huko kijijini, tulia nikutafutie kazi hata za ndani, nikakubali basi nikawa nasubiria.

Wiki mbili zilipita nikapata kazi ya housegirl huko Masaki. Kuna mama jirani wa shoga angu aliniunganisha. Mshahara ulikuwa 50 nikaenda huko. Aise, kuna watu wana maisha! Yani matajiri haswa, familia ya kichaga, baba, mama, na watoto watatu.

Huyo baba tumuite Baba P na mama P. Watoto wao watatu wote ni wakike. Baba P ni mfanyabiashara mkubwa Kariakoo na mke wake alikuwa ni mhasibu taasisi nzuri tu ya serikali.

Mimi huyo nikaanza kazi, mama P akawa anashangaa binti mrembo kama mm kwanini nafanya kazi za ndani. Mimi kimya na nilivyokua mpole, akaongea na yule mama aliyeniunganishia. Akawa ananihoji kuhusu mimi, akamwelezea tu natokea familia duni na nimefeli kidato cha nne, ndio maana.

Muda wote mm nilikuwa napenda sana kujistiri majuba kwa sana na nilikua sivai nguo za wazi au za kubana.

Niliendelea vizuri na kazi na nikazoeana na familia ile, lakin Baba P mara nyingi alikua akiniangalia kwa kuibia na kwa wasiwasi hata akirudi home mama P hayupo, alikua hakai anaondoka...

Nitaendelea baadaye kusimulia kuhusu Baba P mpaka maisha yangu yamekua bomba!
Hii mbinu ya matangazo huwa wanasema inalipa sana. Unaweza pata watu wengi tu kwa style hii. ID yako ya Kiume unatumia jina gani mpaka ukaamua kuanzisha ya kike?
 
Hii mbinu ya matangazo huwa wanasema inalipa sana. Unaweza pata watu wengi tu kwa style hii. ID yako ya Kiume unatumia jina gani mpaka ukaamua kuanzisha ya kike?
Sikia nikwambie sina shida ndgo ndgo wala kutaka attention ya watu nimeamua nishare story yang baada ya kusoma za wengine.
Wengi wanataka niendelee hvy ngoja niwape ubuyu
 
Sikia nikwambie sina shida ndgo ndgo wala kutaka attention ya watu nimeamua nishare story yang baada ya kusoma za wengine.
Wengi wanataka niendelee hvy ngoja niwape ubuyu

Endelea kipenzi brina_...tupo kina siye tunaosoma na ku enjoy iwe kweli au si kweli muhimu ina make sense...

Kuna mifano mingi tu ambayo HGs wamekulana na baba wenye nyumba, wapo waliozaa nao na wapo walioolewa mke wa pili n.k
 
Sentence case: Nakumbuka 2015 nimemaliza kidato cha nne, mama yangu akaongea na mama mdogo nikakae kwake Dar huku nikisubiri matokeo. Basi baada ya wiki nikaja Dar, nikapokelewa vizuri tulikua tunaishi Tabata. Hapo nilikuwa na bf angu wa kijijin alikuwa kinyozi wa saluni ndio niliyeanza nae mambo ya mapenzi. Sasa huku kwa mama mdogo niliishi vizur maisha safi nikanenepa na kunawiri, kusema ukweli mm ni mrembo Sana (umbo la kibantu nywele, rangi na sura ya kiarabu) na inasemekana baba yangu ni mwarabu Ila mama alimsingizia mimba kwa step dad hivyo nilipozaliwa ilibid Bibi anichukue, kunilea na mama alirudi kwa step dad wakaendelea na maisha.

Maisha yaliendelea nikawa namsaidia mama mdogo kuuza genge lake na yeye anakaa dukani hivyo nilikua nameet watu mbalimbali na nilikuwa natongozwa sana lakini mama mdogo alikuwa ananisisitiza sana kuhusu kujilinda hivyo sikuingia kwenye mapenzi na yeyote. Baada ya mwezi hivi matokeo yakawa yametoka bahati mbaya sikufaulu nikawa tu home nasikilizia watanisaidia vipi.

Tumeingia mwezi wa pili shemeji yake mama mdogo alikuja kukaa na sisi pale kwani alikuwa anasomea uwakili. Tukawa famili ya watu sita (mm brina, mama mdogo na mume wake, huyo shemeji ( tumuite D) na watoto wawili).

Nakumbuka siku moja tulifunga mapema dukani nikawahi kurudi home nikapike kwani mama mdogo na mumewe walikuwa wanaenda kwenye harusi na watoto wasingeweza kubaki wenyewe kwani D alikua anachelewa kurudi huko chuo sabab wanasomaga hadi usiku.

Basi tumekula na watoto wakaenda kulala mm nikawa namsubiri D arudi ili nikalale, akaja saa4 nakumbuka ilikuwa Jumamosi nikamfungulia nikamuaga kuwa naenda kulala akasema subiria basi nimalize kula akaweka movie nikawa naangalia si usingizi ukanichikua nakuja kushtuka D yupo ananipapasa kifuani niliruka fasta maana nilikuwa na muda mrefu kweli sija do. Ghafla honi hiyo kina mama mdogo wamerudi huyo nikasepa chumbani kulala.

Kesho yake Jumapili nikamuita D nikaongea nae nikamwambia sijapenda ulichokifanya nilimind kweli akasema mara ooh mimi nakupenda fungua moyo wako nikubalie mm nikakataa. Tumeenda baada ya wiki naona D kila akirudi ananiletea zawadi mara anipe pesa mimi nikawa nazitunza tu kwenye mpesa yangu. Alijitahid kunispoil na kunibembeleza sana maana yeye alikuwa ana mshahara pale alikuja tu kuongeza masomo. Mimi nikawa namkazia nahofia mama mdg akijua itakuwa noma.

Ikawa imepita mwezi D ananisumbua tu na hachoki na mimi nilikuwa nasubiria kuenda chuo cha mapishi coz ilikua ianze mwezi wa 6.

Sasa kumbe baba mdgo alikuwa ameshaanza kuhisi D ananitaka akawa anatufatilia. Siku moja wakatoka out yeye baba na mama mdogo na watoto, D aliambiwa aende akagomesha akasema ana kazi za chuo, mm kama kawaida nikabaki dukani. Jioni saa 1 nikafunga nikarud ili nipike. D mara aje jikoni aanze kunibembeleza mara anivute na kunishika dah nikawa nawaza nimekula pesa zake nyingi kwa muda mfupi asa leo nimepatikana. Nilijaribu kujitoa lakin nikashindwa kutokana na D alinizidi nguvu plus nyege πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

D kanibeba huyo mpaka sebuleni tukawa tupo kwenye romance na ashk ashk hatari na nilikuwa natoa miguno kwa saut ya juu. Kumbe mama mdg aliwah kurud home kuja kupokea mizigo ya dukani kwani ilikuwa iletwe kesho na pesa hakua ameacha wala maagizo yoyote.

Duh alikuja speed na geti lilikua wazi tumerudishia tu mpaka ndani akatufumania katikati ya mechi πŸ™„πŸ™„πŸ™„ ilikua patashika nilipigwa makofi D akawa ananitetea mama mdogo akaanza kulia na kumlaumu kwamba ananiharibu wakati tayari yeye ni mme wa mtu nilibaki nimetoa macho sikujua kama D ameoa na sikutaka sana kumchunguza coz sikumpenda and it was unexpected sex.

Baada ya lisaa baba mdgo karudi ulikuwa ugomvi mkubwa na kelele nyingi hadi majirani walikuja ikabidi niingie ndani D akaondoka basi nikajifungia nikalala nikawa nawaza naenda wapi na nimefanya nini ilikuwa aibu nalia tu kwani mama mdogo alikua anampigia simu ndugu zangu mama Bibi akasema ameshindwa kukaa na mm hizo msg nilizokua natumiwa nililia.

Asubuhi ilipofika kila mtu aliondoka bila kunisemesha mm huyo nikapaki nguo zangu chache nikasepa hadi Mbagala kwa shoga angu nilikuwa nimemzoea pale dukani yeye alikuwa anauza pharmacy. Nikamuelezea kila kitu akamwambia usirudi huko kijijini, tulia nikutafutie kazi hata za ndani, nikakubali basi nikawa nasubiria.

Wiki mbili zilipita nikapata kazi ya housegirl huko Masaki. Kuna mama jirani wa shoga angu aliniunganisha. Mshahara ulikuwa 50 nikaenda huko. Aise, kuna watu wana maisha! Yani matajiri haswa, familia ya kichaga, baba, mama, na watoto watatu.

Huyo baba tumuite Baba P na mama P. Watoto wao watatu wote ni wakike. Baba P ni mfanyabiashara mkubwa Kariakoo na mke wake alikuwa ni mhasibu taasisi nzuri tu ya serikali.

Mimi huyo nikaanza kazi, mama P akawa anashangaa binti mrembo kama mm kwanini nafanya kazi za ndani. Mimi kimya na nilivyokua mpole, akaongea na yule mama aliyeniunganishia. Akawa ananihoji kuhusu mimi, akamwelezea tu natokea familia duni na nimefeli kidato cha nne, ndio maana.

Muda wote mm nilikuwa napenda sana kujistiri majuba kwa sana na nilikua sivai nguo za wazi au za kubana.

Niliendelea vizuri na kazi na nikazoeana na familia ile, lakin Baba P mara nyingi alikua akiniangalia kwa kuibia na kwa wasiwasi hata akirudi home mama P hayupo, alikua hakai anaondoka...

Nitaendelea baadaye kusimulia kuhusu Baba P mpaka maisha yangu yamekua bomba!
Huyo D alivokukula siyo kimasihara, hiyo ilipangwa
 
Sikia nikwambie sina shida ndgo ndgo wala kutaka attention ya watu nimeamua nishare story yang baada ya kusoma za wengine.
Wengi wanataka niendelee hvy ngoja niwape ubuyu

Safi sana, endelea Mamaa brina_ ila usisahau ama kuruka kipengele cha mini kabaang!!
 
Basi baada ya mwezi nikiwa nafanya kazi pale kwa mama p nyumbani wakaanza kulazimisha nirud hasa Bibi yangu mimi nikampigia nikamuelezea kwamba sitaweza tena na mama mdogo kanitangaza kwa kila mtu borea nipambane tu huku huku nitafanikiwa akaniuliza vp kujiendeleza hata ufundi nikamwambia usijali kila kitu kitakua sawa bibi yangu alinipenda mno.

Kipind hikohiko D nae akaanza kunitafuta na mm nikawa nataka anipe update kule nini kinaendelea akasema ooh yenyewe hata bro alikua anakumendea tu ndio maana alikua anamlazimisha mama mdg urudi, mm nikamwambia kweli walipiga simu niende nikakataa wakaniuliza upo wapi nikawaambia nimepata kazi. Basi akawa ananipa hopes kibao ooh nipo tuonane bado nakupenda hata kama nimeoa nijajitahid kumuacha mke wangu taratibu ili tuwe pamoja nikamwambia sitaki na haitokaa itokee. Basi alinitumia laki 3 akaniambia itakusaidia huko ulipo na mm kipind hicho nikaamua nibadili line ili kuepuka usumbufu wa home na sakata lote Hilo.

Maisha yakaendelea nikazidi kupendeza nilikua nyumbani kwa mama p nabaki na hao watoto wadogo wawili maana walikua hawajaanza shule na huyo P yupo chekechea.

Nilikua nikipata pesa zangu natunza yani sikupenda kutumia pesa hovyo maana nilipanga nitafanya kazi kwa mda tu alafu nikapange chumba nitafute kazi nyingine tofauti na za ndani maana nilikua nachoka na fujo za watoto.

Siku moja jioni tunakula mama P alipata taarifa ya msiba wa Baba yake akawa analia ikabidi nimpigie Baba P akarudi home basi wakawa wanapanga ratiba ya kwenda huko moshi msibani. Kweli kesho yake jioni Baba p akanipa maagizo kuwa yeye na mkewe na watoto wadog 2 wataenda mm nitabaki na P Ila atawah kurud. Nikamuuliza suala la usalama maana sitaweza kukaa peke yangu wakasema watamuomba binti wa jirani awe anakuja kulala na Sisi.

Wakaenda msibani nakumbuka baada ya siku 2 Baba P aliwah kurud kutokana na biashara zake akakuta sijapika wala kufanya chochote nipo tu naangalia movie πŸ˜‚πŸ˜‚ niliogopa ikabid niende jikoni faster kuosha vyombo akaniambia jioni usipike nawaletea chips na mwambie binti wa fulan asije maana nimerud.

Nikafanya kama nilivyoagizwa basi usiku saa mbili akarud na chips tukala na P. Nikawa nipo naangalia movie akaja sebuleni anakula akasema usiwe unaangalia movie na mtoto atajifunza vibaya basi nikazima TV nikampeleka mtoto kulala. Nilikua sijaoga hvy nikavaa kanga nikaenda bafuni humohumo ndani Ile natoka nipo kwenye korido nikapishana na Baba P niliangalia chini kwa aibu maana nilikua sijafunika kichwa nikakimbia chumbani sikutoka tena nikalala.

Asubuhi nasikia mlango unagongwa kutoka ni Baba P ananiuliza mbna umechelewa kuamka na mtoto anatakiwa shule nikaomba samahan bas nikaenda kumuandaa yeye akampeleka kwani gari lilikua tayari limepita.

Nikaanza kudeki vyumbani Ile nipo kwenye korido nadeki haraka narud nyuma nasimama hv huyo uso kwa uso tukagongana na Baba P nikateleza nikaanguka basi Baba P akanivuta hadi hijabu ilitoka nikabaki kichwa wazi yeye mwenyew akabaki amenikazia macho mm naangalia chini πŸ™„πŸ˜’ akaniuliza hv wewe ni kabila gani mbona nywele zako sio kama zetu nikanyamaza. Akaenda chumbani kwake akasema yupo haendi kazini hvy nimpikie chai.

Nikaendelea na usafi nikaandaa chai nikarud kuoga nikamaliza nikavaa dela langu huyo nikaenda kunywa chai Baba P akatoka akaniambia usiniogope wala kuwa na wasiwasi jitahid uwe huru akaniuliza baadh ya maswali nikamjibu vizur tu. Unajua kwann nilikua namuogopa moja ni mpole na ni handsome balaaa yani ana ule weupe wa kichaga na body moja hatar maana alikua anaenda sana gym kwa hivyo alikua ni matamanio ya mwanamke yeyote tu atakayekua nae pia mkewe alikua mrembo.

Siku hiyo niliendelea na ratiba zangu kama kawaida yeye alikua busy na laptop yake chumbani na mm nikawa sebuleni had P anarud. Usiku kwenye saa 3 baada ya kumaliza Kula na P kulala na mm nikahofia nikasema bora niende nikalale tu, Ile nafungua tu mlango akaniita sebuleni alikua anaulizia remont ya TV.

Duh kuangalia siioni naanza kutafuta had pembezoni mwa sofa huku natetemeka hatar akanishika mikono akaniuliza mbona unaniogopa hvy mm kimya akasogea karibu zaid uwiii nikafunga macho akaniuliza au unanipenda unaogopa mm kimya akataka kunibusu nikainamisha uso akanishika kiuno nikamwambia sitaki unifanyie hivi niache akasema usiogope mm navutiwa na wewe kwani we ni mrembo sana nikamwambia kama ni kweli niachie niruhusu niende nikupe remont akaniuliza ipo wapi nikamwambia niliisahau jikon akaniachia nikaenda kuichukua nikampa mm huyo chumbani nikajifungia.

Ila nikawa nawaza dah yan hata sina miezi mitatu nataka kuzua balaa lingine lakin nilikua na hamu kweli ya ku do sijui ndio foolish age au tamaa nikajikaza nikalala, asubuh nimeamka nikamuaanda P kama kawaida nimerud namkuta Baba P jikoni anapika chai nikamwambia samahan nilipika tu uji wa P sikujua kama unawah kwenda. Akasema hamna shida akaniuliza mbona jana ulikimbia au ulikasirika mm kimya akasogea karibu zaid πŸ™„πŸ™„ mm nikatoka hadi mlangoni bas akarud sebuleni akasema nitoe chai na nimkaangie yai.

Ile nipo napigiza yai nimesimama karibu na jiko sina hili wala lile Baba P kaja fasta kanishika kiuno amesimama nyuma yangu duh πŸ™„πŸ™„ nilikua nasikia naniii ikinigusa had kwenye makalio nikaanza kulia na kumuomba asifanye anachotaka nitamwambia mama P lakini hakusikia.

Akazima jiko mm nataka nimchomoke akanivuta mkono 🀣🀣 dah nikawa sina nguvu wala ujanja kilichoendelea hapo vuta nkuvute huyo tumefika had chumbani kwangu. Baba P ni fund hatar kitandan na hv nilivyokua nina mda nilijikuta tu nimelegea akafanya yake ila cha ajabu alikua anatoa miguno na ukelele hatar kumuuliza siwezi nikanyamaza.

Yani siku hiyo alikamia mechi zaid ya lisaa nikawa nipo hoi Ile tumemaliza nikaanza kulia akawa ananiomba msamaha ooh nisamehe nimeshindwa kujizuia nikamwambia hujali hata afya na je nikipata mimba akasema hamna shida ngoja nikakununulie P2 tu umeze na nitakuja na vipimo tucheki afya, mm kimya sikuongea akatoka mm nikaendelea kulala baada ya lisaa akarud akanipa hizo p2 na maji nikanywa lakin nilikua safe tu sema sikutaka kumwambia.

Akaniambia vipimo hivi tucheki afya na mm sikuwa na wasiwasi tukapima wote tupo salama basi akaniaga anaenda kwenye ofisi zake atarud badae na zawadi yangu.

Alirud usiku saa 3 akatoka bunda la pesa ilikua milioni 2 πŸ™„πŸ™„πŸ™„ nilitoa macho akaniambia za kwako nitunzie siri na nimekupenda ooh sijui ww mtamu akili yangu yote naona ipo kwako. Nikapokea zile pesa nikawaza je ningejituma kwa bed kama boyfriend wangu yule wa kijijin wa saloon alivyokua ananifundisha namna ya kusex maana had X alikua anaweka kwenye simu yake tunaangalia na kuiga, nikasema ngoja akitaka tena na mm nimpe ujuzi wangu.

Nikaenda chumbani nikaficha pesa zangu nikalala.
Asubuhi nimefanya Kaz zangu nimempeleka mtoto narud namkuta yupo na taulo sebuleni akanifata chumbani kilichoendelea hapo nilikua huru nikajituma nikampa yoteeeee had alikua anatoa choziiiiiiii. Akaniambia mama P anarud Leo hivyo tuwe makin mm nitakua nakuja mchana akiwa kazini na tusiwasiliame kwenye simu kabisa had nisajili line mpya tutakayowasiliana tu.

Jaman Baba P alikua fundi kitandan hivyo chochote alichoniambia nilikubali na kumsikiliza maana ndani ya siku moja tu nilimpenda mazimaa.

Itaendelea ilikuaje had nikatoboa maisha baada ya kukutana na Baba P ( alikua kijana tu miaka 35 sema aliwah kuoa)
Basi baada ya pale Baba P akaondoka kwenye kazi zake mm nikaendelea na ratiba zangu kawa kawaida. Jioni mama P alirud akiwa na mdada mwingine akasema tutasaidiana maana kazi ni nyingi pale. Duh nilifurah lakin nikawa nasikitika nampataje Baba P. Maisha yaliendelea nafanya kazi zangu vizur lakin siku moja ya jpli mama mdogo si akaja kwa mama P na yule mama aliyenitafutia kazi duh πŸ™„πŸ™„ nilihisi kuchanganyikiwa. Akaniuliza mbona umetoroka nyumbani au ndio umeamua maisha yako yaishie hv mm kimya akasema mama yako amesema urudi kwa bb na sitak lawama uje kuharibikiwa kisa mm. Nikawaambia subir boss arudi kanisani nimuage akasema sawa tutasubiria dah nilipata stress jaman. Baada ya lisaa kina mama p wakarudi mama mdog akaanza sasa kuongea mara huyu binti ni muhuni alitembea na shemej Yang mweny mke hajatulia sijui nataka arud kwa mama yake jaman niliona dunia chungu nilisemwaa 😭😭😭 maneno ya kuumiza nikasema borea tungeondoka kabla hawajarud bas nikabeba virago vyang huyo kwa mama mdogo.
Tulivyofika niligoma hata Kula akasema nijiandae asubuh nasafir kurud kwa bb ticket ishakatwa, nikasema sawa. Kweli kesho yake nilipelekwa stendi nikaanza safar. Lakin nikiwa kwenye bus nikawaza hv nikirud kwa bb si ndio aibu na mama atanipiga mno maana alikua mkali na sikuwahi kupendwa na mama zaidi ya bibi.
Tukaendelea na safar hao tumefika chalinze nikashuka nikamdanganya konda nimepata dhararu akasema hawarudishi nauli nikamwambia hamna shida. Baada ya kushuka nikapanda costa za kurud dar huyu nilishukia kimara nikatafuta gest nikaweka mizigo yangu palikua na mgahawa nikala nikarud chumbani nikalala. Nakuja kushtuka saa 2 usiku simu kama zote zinapigwa na message kwamba nimetoroka tena nikaona hapa wasinitanie nikaongea na bibi nikamwambia siwez kurud na wasijihangaishe na mm sitak tena shule natafuta kazi. Bibi akaniuliza utakaa wapi sasa mjukuu wangu angalia wanaume wasikudanganye ukaharibikiwa nikamwambia Kuna sehemu wanatafuta mdada ngoja tu niende kuliko kuja huko bibi akanielewa nakumbuka nilimtumia laki 1 nikamwambia nabidilisha no za simu nitakutafuta nikikaa sawa. Nimetoka Kula mama anapiga sikupokea mara mama p kapiga anaulizia mbona umetoroka tena had napigiwa simu kuulizwa kama upo huku nikakata simu nikaizima. Basi kesho yake nikaenda kwa wakala palepale kimara akanisajilia line ya tigo nikatoa na pesa zang mpesa, Ile line ya voda nikaitafuna. Usiku nikapata wazo nikskumbuka kipind nauza duka la mama mdg Kuna saloon ya kike pemben nilikuaga naenda kupiga umbea pale sasa Kuna dada alikua anasifia kwamba ukipangisha bunju vyumba ni vizur kwa bei ndogo tu, nikajisemea bora niende bunju huko hakuna atakayenijua. Basi safar ikaanza mpaka bunju kufika kule nikaenda gest moja hv nikalipia siku 2 nikala nikalala. Asubuh kumekucha nikaongea na dada muhudumu pale nikamwambia natafuta chumba maeneo ya huku basi akaniunganisha na dalali Yani siku hiyohiyo nilipelekwa kuangalia vyumba. Basi nikaonyeshwa nikachagua sehemu ndani ndani kidogo ilikua chumba sebule na choo chako alafu bei poa nikakubali. Kesho yake nikaonana na mwenye nyumba nikalipia miez 5 nikaenda kuchukua beg lang na shangaz kaja πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio nilificha ile pesa (Million 2) aliyonipa baba P. Basi nikaenda kununua godoro na pazia na ndoo ndgo jaba na vitu vidogovidogo. Nyumba niliyopata tulikua wapangaji 3 tu na ilikua chumba 1 sebule na choo kwa Kila mpangaji.
Maisha yakaanza sasa katika wale wapangaji wenzangu kulikua na wakaka wawili wanaishi pamoja walikua ni walimu. Na mdada mwingine alikua anaishi na mwanae mdogo na dada wa kazi. Basi siku hiyo nikajitambulisha kuwa nitakua naishi nao na uzuri Kila mtu alikua na mishe zake mm nilikua nashinda tu ndani bahat nikawa nimezoeana na yule mdada wa Kaz wa jirani.
Baada ya kama siku tatu nikaenda tegeta kununua baadh ya vitu vya ndani jiko dogo la gesi vyombo nikanunua kabat la nguo na kitanda nikalipia kirukuu huyo na mizigo hadi nilipopanga. Nimerud nikamkuta yule dada mwenye mtoto (tumuite asha) yupo nje anafua akanisaidia tukaingiza vitu ndani uzuri alikua mchangamfu na muongeaji. Basi akaniuliza uliza maswali nikamwambia baadh ila nilimficha mambo yang sikutaka ajue chochote kunihusu isipokua aliniuliza nafanya kazi gani nikamwambia natafuta kwa sasa sina Kaz ila nilikua nauza duka la mtu tukashindwana.
Akanihaidi ngoja nitakutafutia sehemu nikamwambia sawa akaniuliza Kaz gan unaweza nikamwambia yeyote alicheka na ana maneno mengi huyoo. Basi ilipita week mbili nipo tu nyumban nashinda na mtoto wa asha na dada wa Kaz na ktk hizo week 2 kama siku tano hv asha aliniomba nibaki na mwanae yule dada akawa ameenda kusalimia kwao akarudi.
Nikawa na mawazo napataje kazi na je pesa ikiisha na hv sina mtu wa kunisaidia. Nakumbuka kesho yake asubuh nilimpigia baba P kwenye saa 5 asubuh hv akapokea kusikia sauti yang akashangaa akaniuliza nipo wapi na kwanini na tabia chafu hivyo nikamuuliza zipi akasema mama P kamueleza Kila kitu. Mm nikamwambia kama unataka kujua ukweli tuonane nitakwambia Kila kitu akaniuliza upo wapi nikamwambia wewe sema nikufate wapi akawa ananganiniza niseme nilipo nikakataa nikamwambia tuonane kwanza utajua Kila kitu akasema sawa hamna shida jioni nitakuelekeza uje sehemu.
Basi ilipofika saa 10 jion akanipigia akanambia njoo makumbusho nikaenda ila nilichelewa sana kufika, nikampigia akanielekeza hotel aliyopo tukaonana. Nakumbuka tu nimefika alinihug nikaanza kulia akawa ananibembeleza. Basi akanambia nimechukua room twende nilikubali kusema kweli mda mfup tu lakin nilikua nimemiss hatar. Tumefika room tukala nikamuelezea Kila kitu sikumficha chochote basi akasema hata kama mm ningekua huyo D lazima ningeshawishika maana wewe mzuri na mamb kibao akanisifia tukafanya yetu mm huyo nikamchanganyaaaa baba P wa watuu sijui alikua anaongea kilughaaa hata sikumwelewa lakin mambo yalikua hot. Basi imefika saa 3 nikamwambia nabidi niwah kuondoka maana napokaa ni mbali akaniuliza wapi nikamwambia akasema twende nikupeleke huyo nikapanda kwenye Prado lake kwa mara ya kwanza. Tumeenda Hadi bunju nikamwambia nishushe hapa nichukue boda akasema hapana anataka kupajua napoishi tumeenda Hadi ndani kwangu alinishangaa akaniuliza umepata wapi ujasiri wa hivi na nani kakusaidia yote haya nikamwambia pesa ulizonipa ndio nimeamua nianze maisha akanisifia pale. Ilikua imefika saa5 nikamwambia inabidi uende nyumban akanihug tena duh tusianze tena mahaba nikawa namzuia akaniachia sasa namwambia ondoka akasema nitalala πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„ wewe nikasema haiwezekani akaniambia subir nakuja akatoka nje baada ya dakika 5 akarudi nikamuuliza mbona huondoki akasema amemuaga mke wake anafatilia mzigo umekwama πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„ nilishangaa basi ikabidi alale siku hiyo nilimpa haki yake haswaa tumeamka asubuh saa 3 tukaoga tukaenda sehemu tukanywa supu akaenda kutaka pesa akanipa laki 5 nilifurah hatar.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Basi tukaagana akaniambia atanitafuta na no nyingine mpya nisitafute kwanza kazi nisubiri atakuja tupange nafanya nini.
 
Back
Top Bottom