financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Baba P mzigo tangu usiku hadi sahivi unataka maji aite mma mtoto wa watu?ππMuwe na subira baba P nakula mzigo akitulia atamaliza story
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba P mzigo tangu usiku hadi sahivi unataka maji aite mma mtoto wa watu?ππMuwe na subira baba P nakula mzigo akitulia atamaliza story
Hatimaye nimepata nyege
Hii mbinu ya matangazo huwa wanasema inalipa sana. Unaweza pata watu wengi tu kwa style hii. ID yako ya Kiume unatumia jina gani mpaka ukaamua kuanzisha ya kike?Sentence case: Nakumbuka 2015 nimemaliza kidato cha nne, mama yangu akaongea na mama mdogo nikakae kwake Dar huku nikisubiri matokeo. Basi baada ya wiki nikaja Dar, nikapokelewa vizuri tulikua tunaishi Tabata. Hapo nilikuwa na bf angu wa kijijin alikuwa kinyozi wa saluni ndio niliyeanza nae mambo ya mapenzi. Sasa huku kwa mama mdogo niliishi vizur maisha safi nikanenepa na kunawiri, kusema ukweli mm ni mrembo Sana (umbo la kibantu nywele, rangi na sura ya kiarabu) na inasemekana baba yangu ni mwarabu Ila mama alimsingizia mimba kwa step dad hivyo nilipozaliwa ilibid Bibi anichukue, kunilea na mama alirudi kwa step dad wakaendelea na maisha.
Maisha yaliendelea nikawa namsaidia mama mdogo kuuza genge lake na yeye anakaa dukani hivyo nilikua nameet watu mbalimbali na nilikuwa natongozwa sana lakini mama mdogo alikuwa ananisisitiza sana kuhusu kujilinda hivyo sikuingia kwenye mapenzi na yeyote. Baada ya mwezi hivi matokeo yakawa yametoka bahati mbaya sikufaulu nikawa tu home nasikilizia watanisaidia vipi.
Tumeingia mwezi wa pili shemeji yake mama mdogo alikuja kukaa na sisi pale kwani alikuwa anasomea uwakili. Tukawa famili ya watu sita (mm brina, mama mdogo na mume wake, huyo shemeji ( tumuite D) na watoto wawili).
Nakumbuka siku moja tulifunga mapema dukani nikawahi kurudi home nikapike kwani mama mdogo na mumewe walikuwa wanaenda kwenye harusi na watoto wasingeweza kubaki wenyewe kwani D alikua anachelewa kurudi huko chuo sabab wanasomaga hadi usiku.
Basi tumekula na watoto wakaenda kulala mm nikawa namsubiri D arudi ili nikalale, akaja saa4 nakumbuka ilikuwa Jumamosi nikamfungulia nikamuaga kuwa naenda kulala akasema subiria basi nimalize kula akaweka movie nikawa naangalia si usingizi ukanichikua nakuja kushtuka D yupo ananipapasa kifuani niliruka fasta maana nilikuwa na muda mrefu kweli sija do. Ghafla honi hiyo kina mama mdogo wamerudi huyo nikasepa chumbani kulala.
Kesho yake Jumapili nikamuita D nikaongea nae nikamwambia sijapenda ulichokifanya nilimind kweli akasema mara ooh mimi nakupenda fungua moyo wako nikubalie mm nikakataa. Tumeenda baada ya wiki naona D kila akirudi ananiletea zawadi mara anipe pesa mimi nikawa nazitunza tu kwenye mpesa yangu. Alijitahid kunispoil na kunibembeleza sana maana yeye alikuwa ana mshahara pale alikuja tu kuongeza masomo. Mimi nikawa namkazia nahofia mama mdg akijua itakuwa noma.
Ikawa imepita mwezi D ananisumbua tu na hachoki na mimi nilikuwa nasubiria kuenda chuo cha mapishi coz ilikua ianze mwezi wa 6.
Sasa kumbe baba mdgo alikuwa ameshaanza kuhisi D ananitaka akawa anatufatilia. Siku moja wakatoka out yeye baba na mama mdogo na watoto, D aliambiwa aende akagomesha akasema ana kazi za chuo, mm kama kawaida nikabaki dukani. Jioni saa 1 nikafunga nikarud ili nipike. D mara aje jikoni aanze kunibembeleza mara anivute na kunishika dah nikawa nawaza nimekula pesa zake nyingi kwa muda mfupi asa leo nimepatikana. Nilijaribu kujitoa lakin nikashindwa kutokana na D alinizidi nguvu plus nyege πππ
D kanibeba huyo mpaka sebuleni tukawa tupo kwenye romance na ashk ashk hatari na nilikuwa natoa miguno kwa saut ya juu. Kumbe mama mdg aliwah kurud home kuja kupokea mizigo ya dukani kwani ilikuwa iletwe kesho na pesa hakua ameacha wala maagizo yoyote.
Duh alikuja speed na geti lilikua wazi tumerudishia tu mpaka ndani akatufumania katikati ya mechi πππ ilikua patashika nilipigwa makofi D akawa ananitetea mama mdogo akaanza kulia na kumlaumu kwamba ananiharibu wakati tayari yeye ni mme wa mtu nilibaki nimetoa macho sikujua kama D ameoa na sikutaka sana kumchunguza coz sikumpenda and it was unexpected sex.
Baada ya lisaa baba mdgo karudi ulikuwa ugomvi mkubwa na kelele nyingi hadi majirani walikuja ikabidi niingie ndani D akaondoka basi nikajifungia nikalala nikawa nawaza naenda wapi na nimefanya nini ilikuwa aibu nalia tu kwani mama mdogo alikua anampigia simu ndugu zangu mama Bibi akasema ameshindwa kukaa na mm hizo msg nilizokua natumiwa nililia.
Asubuhi ilipofika kila mtu aliondoka bila kunisemesha mm huyo nikapaki nguo zangu chache nikasepa hadi Mbagala kwa shoga angu nilikuwa nimemzoea pale dukani yeye alikuwa anauza pharmacy. Nikamuelezea kila kitu akamwambia usirudi huko kijijini, tulia nikutafutie kazi hata za ndani, nikakubali basi nikawa nasubiria.
Wiki mbili zilipita nikapata kazi ya housegirl huko Masaki. Kuna mama jirani wa shoga angu aliniunganisha. Mshahara ulikuwa 50 nikaenda huko. Aise, kuna watu wana maisha! Yani matajiri haswa, familia ya kichaga, baba, mama, na watoto watatu.
Huyo baba tumuite Baba P na mama P. Watoto wao watatu wote ni wakike. Baba P ni mfanyabiashara mkubwa Kariakoo na mke wake alikuwa ni mhasibu taasisi nzuri tu ya serikali.
Mimi huyo nikaanza kazi, mama P akawa anashangaa binti mrembo kama mm kwanini nafanya kazi za ndani. Mimi kimya na nilivyokua mpole, akaongea na yule mama aliyeniunganishia. Akawa ananihoji kuhusu mimi, akamwelezea tu natokea familia duni na nimefeli kidato cha nne, ndio maana.
Muda wote mm nilikuwa napenda sana kujistiri majuba kwa sana na nilikua sivai nguo za wazi au za kubana.
Niliendelea vizuri na kazi na nikazoeana na familia ile, lakin Baba P mara nyingi alikua akiniangalia kwa kuibia na kwa wasiwasi hata akirudi home mama P hayupo, alikua hakai anaondoka...
Nitaendelea baadaye kusimulia kuhusu Baba P mpaka maisha yangu yamekua bomba!
Inasikitisha sana aisee.Hii mbinu ya matangazo huwa wanasema inalipa sana. Unaweza pata watu wengi tu kwa style hii. ID yako ya Kiume unatumia jina gani mpaka ukaamua kuanzisha ya kike?
Sikia nikwambie sina shida ndgo ndgo wala kutaka attention ya watu nimeamua nishare story yang baada ya kusoma za wengine.Hii mbinu ya matangazo huwa wanasema inalipa sana. Unaweza pata watu wengi tu kwa style hii. ID yako ya Kiume unatumia jina gani mpaka ukaamua kuanzisha ya kike?
Sikia nikwambie sina shida ndgo ndgo wala kutaka attention ya watu nimeamua nishare story yang baada ya kusoma za wengine.
Wengi wanataka niendelee hvy ngoja niwape ubuyu
Na mna hook up Au mnapeana teaser tuuBandari ishauzwa tipende nini sasa tofauti na hizi mada?
ID yako ya kiume ni ipi? Hii mpya umeanzisha kwa makusudi haya. Ya zamani unajinasibu kama jinsia gani?Sikia nikwambie sina shida ndgo ndgo wala kutaka attention ya watu nimeamua nishare story yang baada ya kusoma za wengine.
Wengi wanataka niendelee hvy ngoja niwape ubuyu
Kwa hiyo unazo kubwa kubwaSikia nikwambie sina shida ndgo ndgo wala kutaka attention ya watu nimeamua nishare story yang baada ya kusoma za wengine.
Wengi wanataka niendelee hvy ngoja niwape ubuyu
Huyo D alivokukula siyo kimasihara, hiyo ilipangwaSentence case: Nakumbuka 2015 nimemaliza kidato cha nne, mama yangu akaongea na mama mdogo nikakae kwake Dar huku nikisubiri matokeo. Basi baada ya wiki nikaja Dar, nikapokelewa vizuri tulikua tunaishi Tabata. Hapo nilikuwa na bf angu wa kijijin alikuwa kinyozi wa saluni ndio niliyeanza nae mambo ya mapenzi. Sasa huku kwa mama mdogo niliishi vizur maisha safi nikanenepa na kunawiri, kusema ukweli mm ni mrembo Sana (umbo la kibantu nywele, rangi na sura ya kiarabu) na inasemekana baba yangu ni mwarabu Ila mama alimsingizia mimba kwa step dad hivyo nilipozaliwa ilibid Bibi anichukue, kunilea na mama alirudi kwa step dad wakaendelea na maisha.
Maisha yaliendelea nikawa namsaidia mama mdogo kuuza genge lake na yeye anakaa dukani hivyo nilikua nameet watu mbalimbali na nilikuwa natongozwa sana lakini mama mdogo alikuwa ananisisitiza sana kuhusu kujilinda hivyo sikuingia kwenye mapenzi na yeyote. Baada ya mwezi hivi matokeo yakawa yametoka bahati mbaya sikufaulu nikawa tu home nasikilizia watanisaidia vipi.
Tumeingia mwezi wa pili shemeji yake mama mdogo alikuja kukaa na sisi pale kwani alikuwa anasomea uwakili. Tukawa famili ya watu sita (mm brina, mama mdogo na mume wake, huyo shemeji ( tumuite D) na watoto wawili).
Nakumbuka siku moja tulifunga mapema dukani nikawahi kurudi home nikapike kwani mama mdogo na mumewe walikuwa wanaenda kwenye harusi na watoto wasingeweza kubaki wenyewe kwani D alikua anachelewa kurudi huko chuo sabab wanasomaga hadi usiku.
Basi tumekula na watoto wakaenda kulala mm nikawa namsubiri D arudi ili nikalale, akaja saa4 nakumbuka ilikuwa Jumamosi nikamfungulia nikamuaga kuwa naenda kulala akasema subiria basi nimalize kula akaweka movie nikawa naangalia si usingizi ukanichikua nakuja kushtuka D yupo ananipapasa kifuani niliruka fasta maana nilikuwa na muda mrefu kweli sija do. Ghafla honi hiyo kina mama mdogo wamerudi huyo nikasepa chumbani kulala.
Kesho yake Jumapili nikamuita D nikaongea nae nikamwambia sijapenda ulichokifanya nilimind kweli akasema mara ooh mimi nakupenda fungua moyo wako nikubalie mm nikakataa. Tumeenda baada ya wiki naona D kila akirudi ananiletea zawadi mara anipe pesa mimi nikawa nazitunza tu kwenye mpesa yangu. Alijitahid kunispoil na kunibembeleza sana maana yeye alikuwa ana mshahara pale alikuja tu kuongeza masomo. Mimi nikawa namkazia nahofia mama mdg akijua itakuwa noma.
Ikawa imepita mwezi D ananisumbua tu na hachoki na mimi nilikuwa nasubiria kuenda chuo cha mapishi coz ilikua ianze mwezi wa 6.
Sasa kumbe baba mdgo alikuwa ameshaanza kuhisi D ananitaka akawa anatufatilia. Siku moja wakatoka out yeye baba na mama mdogo na watoto, D aliambiwa aende akagomesha akasema ana kazi za chuo, mm kama kawaida nikabaki dukani. Jioni saa 1 nikafunga nikarud ili nipike. D mara aje jikoni aanze kunibembeleza mara anivute na kunishika dah nikawa nawaza nimekula pesa zake nyingi kwa muda mfupi asa leo nimepatikana. Nilijaribu kujitoa lakin nikashindwa kutokana na D alinizidi nguvu plus nyege πππ
D kanibeba huyo mpaka sebuleni tukawa tupo kwenye romance na ashk ashk hatari na nilikuwa natoa miguno kwa saut ya juu. Kumbe mama mdg aliwah kurud home kuja kupokea mizigo ya dukani kwani ilikuwa iletwe kesho na pesa hakua ameacha wala maagizo yoyote.
Duh alikuja speed na geti lilikua wazi tumerudishia tu mpaka ndani akatufumania katikati ya mechi πππ ilikua patashika nilipigwa makofi D akawa ananitetea mama mdogo akaanza kulia na kumlaumu kwamba ananiharibu wakati tayari yeye ni mme wa mtu nilibaki nimetoa macho sikujua kama D ameoa na sikutaka sana kumchunguza coz sikumpenda and it was unexpected sex.
Baada ya lisaa baba mdgo karudi ulikuwa ugomvi mkubwa na kelele nyingi hadi majirani walikuja ikabidi niingie ndani D akaondoka basi nikajifungia nikalala nikawa nawaza naenda wapi na nimefanya nini ilikuwa aibu nalia tu kwani mama mdogo alikua anampigia simu ndugu zangu mama Bibi akasema ameshindwa kukaa na mm hizo msg nilizokua natumiwa nililia.
Asubuhi ilipofika kila mtu aliondoka bila kunisemesha mm huyo nikapaki nguo zangu chache nikasepa hadi Mbagala kwa shoga angu nilikuwa nimemzoea pale dukani yeye alikuwa anauza pharmacy. Nikamuelezea kila kitu akamwambia usirudi huko kijijini, tulia nikutafutie kazi hata za ndani, nikakubali basi nikawa nasubiria.
Wiki mbili zilipita nikapata kazi ya housegirl huko Masaki. Kuna mama jirani wa shoga angu aliniunganisha. Mshahara ulikuwa 50 nikaenda huko. Aise, kuna watu wana maisha! Yani matajiri haswa, familia ya kichaga, baba, mama, na watoto watatu.
Huyo baba tumuite Baba P na mama P. Watoto wao watatu wote ni wakike. Baba P ni mfanyabiashara mkubwa Kariakoo na mke wake alikuwa ni mhasibu taasisi nzuri tu ya serikali.
Mimi huyo nikaanza kazi, mama P akawa anashangaa binti mrembo kama mm kwanini nafanya kazi za ndani. Mimi kimya na nilivyokua mpole, akaongea na yule mama aliyeniunganishia. Akawa ananihoji kuhusu mimi, akamwelezea tu natokea familia duni na nimefeli kidato cha nne, ndio maana.
Muda wote mm nilikuwa napenda sana kujistiri majuba kwa sana na nilikua sivai nguo za wazi au za kubana.
Niliendelea vizuri na kazi na nikazoeana na familia ile, lakin Baba P mara nyingi alikua akiniangalia kwa kuibia na kwa wasiwasi hata akirudi home mama P hayupo, alikua hakai anaondoka...
Nitaendelea baadaye kusimulia kuhusu Baba P mpaka maisha yangu yamekua bomba!
Sikia nikwambie sina shida ndgo ndgo wala kutaka attention ya watu nimeamua nishare story yang baada ya kusoma za wengine.
Wengi wanataka niendelee hvy ngoja niwape ubuyu
HahahaHuyo D alivokukula siyo kimasihara, hiyo ilipangwa
wewe bado ni mzuri au ushachuja bibieSikia nikwambie sina shida ndgo ndgo wala kutaka attention ya watu nimeamua nishare story yang baada ya kusoma za wengine.
Wengi wanataka niendelee hvy ngoja niwape ubuyu
Basi baada ya pale Baba P akaondoka kwenye kazi zake mm nikaendelea na ratiba zangu kawa kawaida. Jioni mama P alirud akiwa na mdada mwingine akasema tutasaidiana maana kazi ni nyingi pale. Duh nilifurah lakin nikawa nasikitika nampataje Baba P. Maisha yaliendelea nafanya kazi zangu vizur lakin siku moja ya jpli mama mdogo si akaja kwa mama P na yule mama aliyenitafutia kazi duh ππ nilihisi kuchanganyikiwa. Akaniuliza mbona umetoroka nyumbani au ndio umeamua maisha yako yaishie hv mm kimya akasema mama yako amesema urudi kwa bb na sitak lawama uje kuharibikiwa kisa mm. Nikawaambia subir boss arudi kanisani nimuage akasema sawa tutasubiria dah nilipata stress jaman. Baada ya lisaa kina mama p wakarudi mama mdog akaanza sasa kuongea mara huyu binti ni muhuni alitembea na shemej Yang mweny mke hajatulia sijui nataka arud kwa mama yake jaman niliona dunia chungu nilisemwaa πππ maneno ya kuumiza nikasema borea tungeondoka kabla hawajarud bas nikabeba virago vyang huyo kwa mama mdogo.Basi baada ya mwezi nikiwa nafanya kazi pale kwa mama p nyumbani wakaanza kulazimisha nirud hasa Bibi yangu mimi nikampigia nikamuelezea kwamba sitaweza tena na mama mdogo kanitangaza kwa kila mtu borea nipambane tu huku huku nitafanikiwa akaniuliza vp kujiendeleza hata ufundi nikamwambia usijali kila kitu kitakua sawa bibi yangu alinipenda mno.
Kipind hikohiko D nae akaanza kunitafuta na mm nikawa nataka anipe update kule nini kinaendelea akasema ooh yenyewe hata bro alikua anakumendea tu ndio maana alikua anamlazimisha mama mdg urudi, mm nikamwambia kweli walipiga simu niende nikakataa wakaniuliza upo wapi nikawaambia nimepata kazi. Basi akawa ananipa hopes kibao ooh nipo tuonane bado nakupenda hata kama nimeoa nijajitahid kumuacha mke wangu taratibu ili tuwe pamoja nikamwambia sitaki na haitokaa itokee. Basi alinitumia laki 3 akaniambia itakusaidia huko ulipo na mm kipind hicho nikaamua nibadili line ili kuepuka usumbufu wa home na sakata lote Hilo.
Maisha yakaendelea nikazidi kupendeza nilikua nyumbani kwa mama p nabaki na hao watoto wadogo wawili maana walikua hawajaanza shule na huyo P yupo chekechea.
Nilikua nikipata pesa zangu natunza yani sikupenda kutumia pesa hovyo maana nilipanga nitafanya kazi kwa mda tu alafu nikapange chumba nitafute kazi nyingine tofauti na za ndani maana nilikua nachoka na fujo za watoto.
Siku moja jioni tunakula mama P alipata taarifa ya msiba wa Baba yake akawa analia ikabidi nimpigie Baba P akarudi home basi wakawa wanapanga ratiba ya kwenda huko moshi msibani. Kweli kesho yake jioni Baba p akanipa maagizo kuwa yeye na mkewe na watoto wadog 2 wataenda mm nitabaki na P Ila atawah kurud. Nikamuuliza suala la usalama maana sitaweza kukaa peke yangu wakasema watamuomba binti wa jirani awe anakuja kulala na Sisi.
Wakaenda msibani nakumbuka baada ya siku 2 Baba P aliwah kurud kutokana na biashara zake akakuta sijapika wala kufanya chochote nipo tu naangalia movie ππ niliogopa ikabid niende jikoni faster kuosha vyombo akaniambia jioni usipike nawaletea chips na mwambie binti wa fulan asije maana nimerud.
Nikafanya kama nilivyoagizwa basi usiku saa mbili akarud na chips tukala na P. Nikawa nipo naangalia movie akaja sebuleni anakula akasema usiwe unaangalia movie na mtoto atajifunza vibaya basi nikazima TV nikampeleka mtoto kulala. Nilikua sijaoga hvy nikavaa kanga nikaenda bafuni humohumo ndani Ile natoka nipo kwenye korido nikapishana na Baba P niliangalia chini kwa aibu maana nilikua sijafunika kichwa nikakimbia chumbani sikutoka tena nikalala.
Asubuhi nasikia mlango unagongwa kutoka ni Baba P ananiuliza mbna umechelewa kuamka na mtoto anatakiwa shule nikaomba samahan bas nikaenda kumuandaa yeye akampeleka kwani gari lilikua tayari limepita.
Nikaanza kudeki vyumbani Ile nipo kwenye korido nadeki haraka narud nyuma nasimama hv huyo uso kwa uso tukagongana na Baba P nikateleza nikaanguka basi Baba P akanivuta hadi hijabu ilitoka nikabaki kichwa wazi yeye mwenyew akabaki amenikazia macho mm naangalia chini ππ akaniuliza hv wewe ni kabila gani mbona nywele zako sio kama zetu nikanyamaza. Akaenda chumbani kwake akasema yupo haendi kazini hvy nimpikie chai.
Nikaendelea na usafi nikaandaa chai nikarud kuoga nikamaliza nikavaa dela langu huyo nikaenda kunywa chai Baba P akatoka akaniambia usiniogope wala kuwa na wasiwasi jitahid uwe huru akaniuliza baadh ya maswali nikamjibu vizur tu. Unajua kwann nilikua namuogopa moja ni mpole na ni handsome balaaa yani ana ule weupe wa kichaga na body moja hatar maana alikua anaenda sana gym kwa hivyo alikua ni matamanio ya mwanamke yeyote tu atakayekua nae pia mkewe alikua mrembo.
Siku hiyo niliendelea na ratiba zangu kama kawaida yeye alikua busy na laptop yake chumbani na mm nikawa sebuleni had P anarud. Usiku kwenye saa 3 baada ya kumaliza Kula na P kulala na mm nikahofia nikasema bora niende nikalale tu, Ile nafungua tu mlango akaniita sebuleni alikua anaulizia remont ya TV.
Duh kuangalia siioni naanza kutafuta had pembezoni mwa sofa huku natetemeka hatar akanishika mikono akaniuliza mbona unaniogopa hvy mm kimya akasogea karibu zaid uwiii nikafunga macho akaniuliza au unanipenda unaogopa mm kimya akataka kunibusu nikainamisha uso akanishika kiuno nikamwambia sitaki unifanyie hivi niache akasema usiogope mm navutiwa na wewe kwani we ni mrembo sana nikamwambia kama ni kweli niachie niruhusu niende nikupe remont akaniuliza ipo wapi nikamwambia niliisahau jikon akaniachia nikaenda kuichukua nikampa mm huyo chumbani nikajifungia.
Ila nikawa nawaza dah yan hata sina miezi mitatu nataka kuzua balaa lingine lakin nilikua na hamu kweli ya ku do sijui ndio foolish age au tamaa nikajikaza nikalala, asubuh nimeamka nikamuaanda P kama kawaida nimerud namkuta Baba P jikoni anapika chai nikamwambia samahan nilipika tu uji wa P sikujua kama unawah kwenda. Akasema hamna shida akaniuliza mbona jana ulikimbia au ulikasirika mm kimya akasogea karibu zaid ππ mm nikatoka hadi mlangoni bas akarud sebuleni akasema nitoe chai na nimkaangie yai.
Ile nipo napigiza yai nimesimama karibu na jiko sina hili wala lile Baba P kaja fasta kanishika kiuno amesimama nyuma yangu duh ππ nilikua nasikia naniii ikinigusa had kwenye makalio nikaanza kulia na kumuomba asifanye anachotaka nitamwambia mama P lakini hakusikia.
Akazima jiko mm nataka nimchomoke akanivuta mkono π€£π€£ dah nikawa sina nguvu wala ujanja kilichoendelea hapo vuta nkuvute huyo tumefika had chumbani kwangu. Baba P ni fund hatar kitandan na hv nilivyokua nina mda nilijikuta tu nimelegea akafanya yake ila cha ajabu alikua anatoa miguno na ukelele hatar kumuuliza siwezi nikanyamaza.
Yani siku hiyo alikamia mechi zaid ya lisaa nikawa nipo hoi Ile tumemaliza nikaanza kulia akawa ananiomba msamaha ooh nisamehe nimeshindwa kujizuia nikamwambia hujali hata afya na je nikipata mimba akasema hamna shida ngoja nikakununulie P2 tu umeze na nitakuja na vipimo tucheki afya, mm kimya sikuongea akatoka mm nikaendelea kulala baada ya lisaa akarud akanipa hizo p2 na maji nikanywa lakin nilikua safe tu sema sikutaka kumwambia.
Akaniambia vipimo hivi tucheki afya na mm sikuwa na wasiwasi tukapima wote tupo salama basi akaniaga anaenda kwenye ofisi zake atarud badae na zawadi yangu.
Alirud usiku saa 3 akatoka bunda la pesa ilikua milioni 2 πππ nilitoa macho akaniambia za kwako nitunzie siri na nimekupenda ooh sijui ww mtamu akili yangu yote naona ipo kwako. Nikapokea zile pesa nikawaza je ningejituma kwa bed kama boyfriend wangu yule wa kijijin wa saloon alivyokua ananifundisha namna ya kusex maana had X alikua anaweka kwenye simu yake tunaangalia na kuiga, nikasema ngoja akitaka tena na mm nimpe ujuzi wangu.
Nikaenda chumbani nikaficha pesa zangu nikalala.
Asubuhi nimefanya Kaz zangu nimempeleka mtoto narud namkuta yupo na taulo sebuleni akanifata chumbani kilichoendelea hapo nilikua huru nikajituma nikampa yoteeeee had alikua anatoa choziiiiiiii. Akaniambia mama P anarud Leo hivyo tuwe makin mm nitakua nakuja mchana akiwa kazini na tusiwasiliame kwenye simu kabisa had nisajili line mpya tutakayowasiliana tu.
Jaman Baba P alikua fundi kitandan hivyo chochote alichoniambia nilikubali na kumsikiliza maana ndani ya siku moja tu nilimpenda mazimaa.
Itaendelea ilikuaje had nikatoboa maisha baada ya kukutana na Baba P ( alikua kijana tu miaka 35 sema aliwah kuoa)