Juzi nilikula kizembe sana toto la Kiha
Huyu manzi nilimpiga mistari miaka mitatu iliyopita. Akaonyesha dalili baadae ghafla akanipiga block. Bahati mbaya ni ofisi jirani ambayo kila siku lazima tuonane. Japo yeye alikuwa ananikwepa maana alikula kama 50k hivi. Mimi nikampotezea huku nikimuonyesha sijamind kabisa.
Mwezi huu akaanza kunitumia sms za usiku mwema na kazi njema. Mara juzi kanialika kwake. Nimeenda pale sina hili wala lile tunapiga stori tu tena kwa makusudi nikakaa naye mbali kabisa. Mpaka saa 4 usiku, mwisho nikamuaga, tukanyanyuka anitoe getini.
Mara ghafla akazima taa na kunikumbatia. Mwanaume wa kukataa fursa kama hii hayupo, nikaliunga.
Heeee si akaniambia twende chumbani. Kwa hiyo wazee mwanamke akikuringia usitie hasira.