Wakuu nina majonzi;
Crush wangu leo kavishwa pete ya uchumba na mwanaume wake.... nimehuzunika sana. Nifanyeje? Au nimpigie mpenzi wangu nimwombe ushauri?
Crush wako anaitwa nani sababu hata mm X wangu niliekua nampenda Sana kavishwa Pete nae Jina linaanza na M
 
Sema mm wa hivi sienjoiiiii
Yaaan aliyenizungusha na akaniblock halaf akaja kunitafuta mwenyewe ni HAPANA.
nakuwa nishakata mzuka nae
 
Mungu Mwema wakuu baada ya Kunywa PEP mwezi mzima nimepima hii mara ya Sita sasa ndani ya mwezi nipo NEGATIVE.

Nawashauri Washkaji zangu tule kimasihara Ila Ndomu NI muhimu Sana au Mafuta Kwa wingi aisee Katika Begi lako hivyo vitu usikose.. Mimi kama sio Mafuta Leo ningekuwa kwenye gridi Moja ya Mawasiliano ya Mkono

Nawashukuru Sana Wadau walionipa moyo bado natakiwa kujilinda Hadi miezi mitatu tena nipime.

NIPO HURU
 
Mafuta gani unatumia mkuu..?
 
Mafuta yanafanyeje hapo?
 
Mara 6 zote unapima unatafuta nini mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…