Kama kuna mtu anamuda wa kutosha aanzishe uzi kwa ajiri ya kuwafundisha watu namna ya kutongongoza hususani vijana wa kiume.
Kifupi vijana wa kiume wamegeuka vituko huko kwa wanawake yaani hawajui kabisa kutongoza.
Yaani hawa vijana wanaenda kuomba kazi Pepsi ila wanaongelea mambo ya coca cola [emoji23][emoji23][emoji23] yaani ni vituko.
Yaani unaenda kwa mwanamke badala ya kujiongelea wewe na shida zako unaanza kumuongelea vibaya mwanaume aliopo kwa sasa ...kwa taarifa yenu mwanamke anapenda na kuvutiwa na vitu vibaya vibaya kwa mwanaume yaani asikie yule mwanaume malaya ...yaani vitu vya kijinga jinga
Unavyo mkandia mwanaume mwenzio ndio unampandisha thamani kwa huyo mwanamke kama hamjui.
Vujana hamjui hata kuteka attention ya mwanamke kwa taarifa zenu hata mwanamke malaya ili umgonge nae anataka uwe na skills za kuteka attention yake.....yaani da ni huzuni mnatia buruma.
Nimeandika haya baada ya vijana kuendelea kumsumbua dada wa watu nilie vuja nae mawasiliano humu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa taarifa yenu hamuwezi mkamla yule anajielewa sana sio malaya kama mnavyo dhani.
Kwa utongazi mlio nao humu nauhakika yule manzi hamumuwezi hivyo endeleeni kupiga puri maana ndio demu mnaye muweza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]