Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Mwaka mmoja nilikuwa Shinyanga mjini,kwenye bar moja maarufu sana maeneo ya Kambarage,pembeni ya ile bar palikuwa na duka la Mwarabu,alikuwa akiuza chachacha,katambuga na mashuka ya kisukuma(walikuwa wanavaa wasukuma wa Maganzo na eneo la Shinyanga lote miaka ya nyuma),shanga za wanaume na wanawake wa kisukuma pamoja na sukari guru.

Yule Mwarabu alikuwa ana eneo la duka pia kwenye kijiji cha Maganzo,nje kidogo ya mji wa Mwadui...Kwa hiyo nilimfahamu sababu alikuwa maarufu na pale Maganzo hasa siku za mnada wa Maganzo.Wakati huo mimi na rafiki yangu ambaye ni marehemu sasa,alikuwa Kapten wa ndege za Mwadui(ntataja wajihi tu bila jina).Alikuwa shombeshombe,alizaliwa na Baba wa Kigiriki na Mama wa Kihehe huko Iringa,Mama yake alikuwa House girl tu wa Mgiriki,bahati nzuri akapendeza akiwa anafanya kazi kwa Mgiriki,basi mgiriki akazaa naye,kutunza ndoa yake akawa amemuondoa pale kwake,ila alimtunza mwanae(best yangu) mpaka akaja kuwa rubani.

Huyu Mwarabu wa Maganzo/Kambarage alituzoea sana,maana tulipokuwa tuna trip ya Mwadui tulienda pale Maganzo au Shinyanga mjini siku za weekend na Pigeot 504 yetu,tukapata mambo yetu na kurudi Mgodini kupitia njia ya Shy-bush,Utemini kutokea geti dogo.

Huyu Mwarabu alikuwa mkali sana,anafokea wateja ovyoovyo,hasa wasukuma wakiuliza bei ya vitu zaidi ya mara moja alikuwa anawafukuza "toka-toka" mpaka akapewa jina la "Toka-toka".Wakati huo makazi yetu ilikuwa Dsm na Mwadui.

Weekend moja tupo pale Kambarage,tunapata maji ya mende,tukiwa jirani na duka la mwarabu tokatoka.Tukiwa bado vijana tu wenye utimamu juu na chini.Yule Mwarabu alikuwa ana watoto wazuri sanaaa,lakini hawatoki nje.Ni mara chache sana kuwaona.Na hawa Waarabu walikuwa wanaoana wao kwa wao,wanapeana wake.Utakuta mwarabu wa Shinyanga anaoa Mwarabu wa Tinde,au wa Tinde anaenda kuoa Mwarabu wa Nzega,wa Nzega anaenda kuoa Mwarabu wa Mpanda kwa kina mbunge Kessy Mabodi.Kwa hiyo wanajuana mpaka waliopo Dsm.

Jioni ile yule tokatoka akapokea simu ya mezani toka Dsm kuwa mke wake kafiwa na baba yake Dsm,na mazishi watafanya kesho baada ya sala ya Alasiri.Huyu mkewe alimuoa kwenye familia moja hapo Ilala Dsm.Kwa hiyo alitakiwa kufika Dsm kesho yake na kwa usafiri wa wakati huo,angekaa njiani karibu siku 3 ili kufika Dsm.

Ukawa mtihani kwelikweli.Mara pale tukaona "Toka toka" anafunga maduka yake mapema na taarifa ni kuwa kafiwa na mkwewe Dsm,wakati huo msiba wa jirani ni kama msiba wa mji mzima.Na pale tulipokuwa tunakunywa na jamaa yangu(R.I.P) ikabidi pafungwe sbb ya ule msiba.Basi wakaweka turubai na sisi na bia zetu kichwani tukakaa pale kuomboleza.

Mjadala ikawa mke wa Toka-toka na mabinti zake na mwenyewe mzee waende msibani Dsm.Lakini kwa usafiri wa kipindi kile ambao ni treni kwa uhakika wasingewahi.Hivyo ikawa mtihani...Sasa sisi tulikuwa na trip yetu,kutoa almasi 'ghafi' Mwadui kuipeleka Iringa kiwanda cha Tun-Cut ikafanyiwe mambo,lakini mara nyingi tukibeba basi tunapitia na Dsm then tunaweza lala au kurudi Mwadui.

Kwa hiyo nikamwambia jamaa yangu tuwasaidie hawa watu,tuwape lifti,tuchukue wawili wenye umuhimu,wengine watapanda gari moshi kwenda kuhani msiba.Basi tukafikisha wazo lile kwa wananzengo pale,mzee Toka toka hakuamini,akasema sababu ya umuhimu,basi atangulie Mama na binti mmoja mkubwa(hapa ndio kosa la kiufundi lilipoanzia).

Bila kuchelewa tukawasha Pegeot 504 yetu tukwabeba kwenda na mgodini ili mapema asubuhi tuje nao Dsm,mle mgodini kulikuwa na "Rest House",tukawatafutia pale wakala na kunywa wakalala.Kuangalia "Mayfly" ya kesho ya abiria,tukakuta bado kuna nafasi moja,jamaa yangu alikuwa muungwana,akasema washa gari tukambebe na mzee.Kufika kule Mwarabu akasema itabidi aende binti wa pili,yeye atakuja na treni.Kwa hiyo akawa Mama na mabinti wawili wakubwa.Warembo wa kiarabu,wanavutia sana kwa wakati ule.

It was their first time to experience a flying moment.Basi tulitoka pale mpaka Nduli Iringa,wenye mali yao wakashusha,then tukaenda Dsm.Majira ya saa tano hivi tupo Dsm...Tukaenda nao mpaka msibani na mambo yakaisha.

Tukawaambia wasubirie ndani ya week kutakuwa na nafasi kurudi Shinyanga tutawabeba,basi wakati wa kurudi ilikuwa kama baada ya mwezi hivi toka msiba.Tulifika majira ya jioni,na kuanza safari na 504 kwenda Shy town ikawa uchovu.

So wakalala pale ili asubuhi waende nje ya geti wapande Rand lover warudi kwao.Sasa huu usiku ndio ukawa na balaa sana.Tumekaa pale tumekula,mama yao akaenda kulala,na jamaa yangu akaenda kupumzika,mimi nikabaki na mmoja kati ya wale wawili.Alikuwa msichana mrembo sana kwa miaka ile...wakati huo kwa kweli ili umpate msichana atakuzungusha hataiezi sita.Na kwa kweli ile haiba ya Kiislamu na yale malezi ya ndani yule msichana alikuwa na aibu sana lkn pia alikuwa ndio siku anataka kujaribu.Maana alijua ndio nafasi na akiikosa pale akirudi nyumbani ni kufungiwa ndani.

Kila nikiaga naenda kulala anasema tuendelee kuongea,basi tuliongea pale mpaka saa saba usiku...kumbe ni kama walishaongea na mama yake kuwa jibane hapo,utaolewa umri ushafika.Basi nikasema sasa naenda kupumzika,mwanamke kwa ujasiri akasema twaenda wote,nikidhani anaenda kwake chumbani.

Naingia kwangu(Maana nasi tulikuwa tukiishi Rest house kwa wale waliowahi ishi kule wanajua) naona mwanamke mgongoni,basi mie nikaingia nikawasha taa,paja maji,naye nikamwambia akaoge lkn ana aibu sana maana ana haiba za kidini.Baadae tumelala kitanda kimoja,naye kalala ila kageuka hukooo,tena kalala na gagulo.Kuwasha taa naona mtoto mweupe sanaaa...Ujana ule nikashindwa kuvumilia,nikaanza purukushani,kila nikiingia nashindwa,jaribu sanaa...kumbe alikuwa ajaguswa,akawa anaumia sana.Mpaka kunakucha ni bilabila,mpira haujapenya wavuni.

Majira ya saa moja nikabadiri mbinu,huku na kule mara tayari.Kazi ikaenda pale mpaka saa tatu muda wa chai.Japo alilalamika sana maumivu.Ule mchezo Bi mkubwa wale kila kitu.Kwa hiyo toka hapo akawa anafanya mbinu nikienda Mwadui anakuja mgodini nafanya mambo.Najaribu kuweka codes sababu mwisho wa siku nilizaa naye,japo dini ilileta utata kuoana,nikachukua mtoto na yeye akaja kuolewa na mwarabu mmoja wa Kahama.

Nadhani kwa enzi zetu za ugumu wa kutongoza na kupewa tunda,hii ilikuwa ni moja kati ya tukio la kupewa tunda kimasihara,maana ilikuwa ngumu kupewa tendo na mwanamke kwa just usiku mmoja kama ilivyo leo.Ninaposoma visa vya vijana wa leo,naona kama wanapewa tunda kirahisi sana mpaka wanapoteza uwezo na ujasiri wa kutongoza.
True tunda la enzi izi easy
 
punguza uvulana mwamba, be a MAN, aya mambo achia watoto wa kike si kila k2 ni cha kujibu na kupandishia kifua mtandaoni, ukivuliwa nguo chutama kama muungwana.
unajua muda mwingine mtu unaeza usimjue kwa sura au kitabia lkn kutokana na jins anavyojibu unaeza ukamsoma ni mtu wa aina gn kuwa ni mwerevu au mpumbav...kwa haraka haraka huyo inaonekana ni ka boy bado akili iko na utoto mwingi haijakomaa
 
unajua muda mwingine mtu unaeza usimjue kwa sura au kitabia lkn kutokana na jins anavyojibu unaeza ukamsoma ni mtu wa aina gn kuwa ni mwerevu au mpumbav...kwa haraka haraka huyo inaonekana ni ka boy bado akili iko na utoto mwingi haijakomaa

ndio maana sikutaka ligi nae, mwanaume mwenye maneno mengi ni wa kutemana nae tu.
 
Wakuu mko sawa [emoji848]
Moja kwa moja kwenye uzi.

Mi nimeoa mtoto mzuri sana kutoka singida mnyaturu. Kuna mdogo wake akasema anataka kuja kwa dada ake japo ajiendeleze na ufundi wa kushona. Nikasema haina shida sa kale ka shemeji sjui kalipewa namba na dada mtu si kakaanza kunitumia visms kakiwa bado kapo huko.

Mi nikaamua kukatongoza kakagomagoma kakadai kenyewe eti ni katoto wakati kamemaliza form 4 miaka mitatu nyuma. Mara kaseme hakajawai kabisa kusex yaani hakayajui kabisa mambo hayo.

Nikakaza kakalegea ila kakasema niwe nakafundisha sasa mdogo mdogo. Nikasema sawa.

Sasa kamekuja yaani ni muoga sjapata ona mpaka nashindwa nimuingieje sasa maana si kwa uwoga huu na ana aibu hatari sjawai ona. Ila akiwa uko kwao tulishakubaliana nimtie.

Wakuu nipeni mbinu nifanyaje sasa kwa mtu wa namna hii. [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom