Kuna selfika kule
 
Kama kuna mtu anamuda wa kutosha aanzishe uzi kwa ajiri ya kuwafundisha watu namna ya kutongongoza hususani vijana wa kiume.

Kifupi vijana wa kiume wamegeuka vituko huko kwa wanawake yaani hawajui kabisa kutongoza.

Yaani hawa vijana wanaenda kuomba kazi Pepsi ila wanaongelea mambo ya coca cola [emoji23][emoji23][emoji23] yaani ni vituko.

Yaani unaenda kwa mwanamke badala ya kujiongelea wewe na shida zako unaanza kumuongelea vibaya mwanaume aliopo kwa sasa ...kwa taarifa yenu mwanamke anapenda na kuvutiwa na vitu vibaya vibaya kwa mwanaume yaani asikie yule mwanaume malaya ...yaani vitu vya kijinga jinga


Unavyo mkandia mwanaume mwenzio ndio unampandisha thamani kwa huyo mwanamke kama hamjui.

Vujana hamjui hata kuteka attention ya mwanamke kwa taarifa zenu hata mwanamke malaya ili umgonge nae anataka uwe na skills za kuteka attention yake.....yaani da ni huzuni mnatia buruma.

Nimeandika haya baada ya vijana kuendelea kumsumbua dada wa watu nilie vuja nae mawasiliano humu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwa taarifa yenu hamuwezi mkamla yule anajielewa sana sio malaya kama mnavyo dhani.

Kwa utongazi mlio nao humu nauhakika yule manzi hamumuwezi hivyo endeleeni kupiga puri maana ndio demu mnaye muweza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
 
Bado unaendelea kuchamba?
 
Bado unaendelea kuchamba?
Kutongoza hakupo hivyo kama mnavyo fanya nyie no wonder mpo desperate sana na mbunye na ndio maana mnakua malofa wa mademu.


Kuambiwa ukweli kuwa hamjui kutongoza ni kuwachamba.......?

Basi nitawachamba hadi mjue kutongoza kwa faida yenu na sabuni zipumnzike
 
Wewe ni unahasila demu itakuwa kashakutoalea njee kakuachia 😂😂 jikaze ww mwanaume
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hiyo huyo manzi wako kwamba hamna watu wanaweza kum..to.mba?

Wewe endelea kukumbushia....dont trust women.
 
Kweli kabisa. Mimi malaya ila demu anajua kabisa sifa yangu ila wanajipanga tu.
 
Wewe ni unahasila demu itakuwa kashakutoalea njee kakuachia [emoji23][emoji23] jikaze ww mwanaume
We kweli kibwengo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio ningekua najua ushamba wenu unao endelea
 
Kweli kabisa. Mimi malaya ila demu anajua kabisa sifa yangu ila wanajipanga tu.
Sasa hawa nawapa mbinu wao wanasema nawachamba.

Huwezi Amini wengine wanafika kwa gia ya kuanza kunikandia mm weeee alafu badae wanaanza kuchombeza by the time wanaanza kujieleza yao manzi ashawakinai na kuona machoko tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…