Simkomeshi mkuu ni vile tu zamu yangu imefika
 
Kumla demu wa mshkaji aliefanikiwa "mwenye V8" huwa ni fantasy za vijana wengi kwa kuwa huwapa sense of superiority flani akilini. Ila uhalisia utabaki palepale, hata umle mkewe, bado haitoondoa gap lenu la kiuchumi na mbaya zaidi, hizo 3 minutes of pleasure zikiisha au mkifumwa, huyo manzi atajiona mjinga kwa kutema big G kwa karanga za kuonjeshwa,

Saa hii upwiru unaongea, ukishaisha, akili itawarudisha kwenye uhalisia wenu
 
Mkuu umeongea kwa hisia kali hadi nimesinyaa hapa nafikiri namtorokaje huyu japo kuwa sio mke wa mtu ni demu tu
 
Nimekuelewa Sana ,mpaka Leo hii Mimi natumia ,barua au kakaratasi kuwasikiana Kwa maenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…