si ndiyo siku ile alikutokea Licud tanga asubuhi akikwambia amekupenda na utoke hotel fulani hapo Dom na usipofanya hivyo ataenda chukua bibi wa wili alale nao usiku huo. wewe ukashadadia kuwa huo ni mtongozo wa nguvu kumbe ukaenda.....ukaona na ujinga wenyewe na uishe. lakini hukuliwa kimasihara bali mlilana kimasihara maana na ninyi mna haki ya kupata mkitakacho na mtakapo.
 
Mkuu nafeli wapi ? Au nitumie maujuzi ya humu na mm nilete ushuhuda wa kula kimasihara ?
 
Dar uliliwa kimasihara na 7800 juu, bado tena na dom ukaenda kuliwa kimasihara...duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…