Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Wakuu Habari!

Juzi nikiwa nimekaa stand kwa jamaa angu mwenye kibanda Cha Mpesa tunabishana kuhusu vita ya Israel na Hamas.

Alitoka Binti mmoja age kati ya 18-23 akiomba Msaada kuwa mwenyeji wake hapatikani kwenye sim! Na Hana sehem ya kulala huku akiwa anaendelea kutafta namna ya kumpata mwenyeji wake.

Basi huruma iliniingia nikaenda kumlipia guest nikamtaftia na chakula then nikaridi zangu geto kwendelea na harakati zangu. Nilimwachia namba yangu kuwa akipata shida yoyote anitafte.

Kesho yake nikaona namba Inani beep kuipgia nikagundua kuwa ni yule Binti akinipa taarifa kuwa Hadi mida hio hajafanikiwa kumpata mwenyeji wake na guest wanamtaka aondoke, Huruma iliniingia nikamtumia Hela ya kulipia na ya chakula! Sio kubwa guest ya 5000 na chakula 4000 kwa siku nzima.

Aisee mwenyeji wake hakufanikiwa kumpata! Hadi leo Nikamsaidia kumtaftia kazi mgahawani Ili angalau apate nauli ya kumrdisha kwao Songea!

Juzi kanipgia sim akasema ana zawadi yangu Niko wapi aniletee! Nikamwelekeza akaja Geto! Zawadi yenyewe nikuwa amekuja kunipa tam kwa niliyomfanyia!!! Kwa roho yangu ya kifisi nisingekataa nimeifumua! Aisee watu wa Songea ni Mafundi.

Nimeamua nijenge kibanda kwa mambo nayoyapata! Ashukuriwe mwenyeji ambaye hapatikani kwenye sim.

Vp wakuu Kuna ambaye ashaokota Dodo stand kama Mimi? Share Experiance yako.

Nawasilisha.
 
Mtoto mali safi, ananyea mbali, anapiga na miguu yote anataka now, ahaha alafu nigame mjin kweli ? Vijana mkikamata malizen yoote
 

Attachments

  • 360BDF9D-0962-44C7-A81A-1A8D05CEA2AF.jpeg
    360BDF9D-0962-44C7-A81A-1A8D05CEA2AF.jpeg
    380.1 KB · Views: 73
Nimekoswa koswa kuliwa kimasihara na jirani yangu….Mimi ni me, shemeji yenu amesafiri sasa hizi apartment zetu za kupanga kuna kabint jirani ambako mara kwa mara kanakujaga shemeji yake akiwepo(shemeji yenu ana urafiki na dadaake) ……naona baada ya kufahamu shemeji yake amesafiri kakaanza kunitembelea mara hoo Concoo umesahau kufunga mlango…..nkakazuga nkakapotezea …mara ya pili kamenikuta nachek movie seblen kakanishika mabega na kuniangalia kwa macho kamelegeza…….nkazuga nmemaliza kuchek movie nasepa……mara ya tatu kamekuja ndan tuu nkatoka nje nkaanua nguo na kukaambia kuwa me nasepa kakimaliza kalichofuata kafunge mlango nkatoka nje kuwasha gari na kutokomea……nahitaji kujipongeza kwa hili maana kameshika adabu saiz hakana shobo tena …..wana masihara nakaribisha matusi yenu!!!
Hii match si wezi ishinda labda nife alafu nifufuke
 
Mwenzio aliokota hivohivo, Akapeleka Geto.

Week ya kwanza, ya pili, ya tatu mara mwezi

Mwezi wa kwanza, wa pili, wa tatu akamuamini yule mlupo akawa anamwacha geto anakuta demu kapika,kafua, kadeki.

Mwezi wa nne jamaa yuko zake mishe demu akakodi kirikuu akasomba mazaga yote geto akatokomea kusiko julikana.

Jamaa kufika geto alikutana na mwangwi.
 
Back
Top Bottom