Kwamba mwangwi...akasema hiiiii mwangwi ukajibu tena hiii
 
Aa asee mwangwi maana yake hakuna hata kijiko
 
Mara nyingi ukimpa mtu msaada zaidi ya asante usipokee chochote kutoka kwake, yamkini akawa si mtu mzuri, ila akaamua kuwa mzuri kwako sababu umemsaidia. With time yanaweza tokea mabaya. Japo pia anaweza kuwa ni mtu mzuri tu genuine.

Please wadogo zetu wa kiume ili kupunguza malalamiko na kataa ndoa humu Jitahidini kuwachunguza vizuri mnaoingia nao katika mahusiano, hili laweza kuwa si kwaajili yako tu hata kwa ajili ya wanao, Yamkini huyo binti leo akapata mimba, atafaa kuwa mama wa wanao?

Sisi tupo hapa mkihitaji washauri siku za usoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…