Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Nisije comment nifungiwe accountNi mwendo wa “hatuuzi wala hatutoi bure”😂😂😂😂
Anyway basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisije comment nifungiwe accountNi mwendo wa “hatuuzi wala hatutoi bure”😂😂😂😂
Hihihiiiii😂😂😂😂Nisije comment nifungiwe account
Anyway basi
Mkuu unasema alipiga salute ya mkono wakati hakuwa amevaa gwanda au mimi ndio nimesahau jeshi? Ninachojua askari asipokuwa na sare zake, akikutana na mkubwa wake anasalimia kwa kubana miguu na mikono
Tumeongea kwa uchungu mno😂Ukiskia kula hasara ndio huku Wanawake sometime muwe mnajiongeza mwanaume kakutumia nauli tena ya gari VIP,umetoka Mwanza unakuja hadi Dar na kashakupanga kabisa unaelewa ulichokifuata ni nini unafika Dar unasema upo period matumizi yote hadi kurudi mwanza 500k no mzigo
Wanawake sometime msipende kutupa hasara wanaume, mwanamke alikuwa ananisumbua mwaka mmoja full usumbufu yupo mwanza, nikamwanbia nimekumiss njoo dar hata siku 2 na akaelewa kabisa anachokifuata anafika nipo period
Nauli nimelipa Vip kwenda na kurudi tu kaki 2 na nusu inakatika na matumizi mengine laki 5 ila kwa alichokifanya siwezi.mrudisha na VIP atarudi na Zuberi no way tusipeane hasara
Na kuna watu wanasema eti sikumwmabia kuwa nahitaji hilo tendo.. hivi uwasiliane na mwanamke tena aseme nimnunulie shanga kabisa na kachagua kabisa rangi ya shanga na kakubali kabisa ntamvalisha wakati wa Tendo bado mnasema alikuwa hajui kafuata nini
DadekiMdomo haublidi, huyo ningemtumisha salamu mpaka taya zake zingejam, tena hizo shanga ningemvalisha shingoni.
Ni la dharula jomba vinginevyo tubaki njia kuuHiyo Dodoma na Gomorrah haifai,mtakuja kulia siku mirija imeziba ni urafi tuu!
Kaka, tunaomba muendelezoSoon brotha
Nenda hospital kapime, jf hawapimi wagonjwaKwema wakuu
Kuna demu nimemtongoza mtaani akakubali. Kama wiki imepita nikapewa mzigo ila nilivaa kondomu na haikupasuka. Cha kushangaza kama baada ya siku mbili nikaanza kuumwa na homa kali. Sasa najiuliza ni ngoma au uti maana demu simwelewi ni mwembamba sana
Inaonekana mpira hukuvaa huyo ni "mfalanyaki" aka ngwengweKwema wakuu
Kuna demu nimemtongoza mtaani akakubali. Kama wiki imepita nikapewa mzigo ila nilivaa kondomu na haikupasuka. Cha kushangaza kama baada ya siku mbili nikaanza kuumwa na homa kali. Sasa najiuliza ni ngoma au uti maana demu simwelewi ni mwembamba sana
Hakuna ngwengwe ya siku mbili mkuu wacha kumtisha mtoa madaInaonekana mpira hukuvaa huyo ni "mfalanyaki" aka ngwengwe
Watu kama hawa nikuwafungulia jarida mahakaniDaaah kwahiyo sisi wembamba sana unakuwa unahisi tuna ngoma sio?
Mawazo yako na hofu yako ndio itakuua,ninavyojua mimi baada ya wiki mbili reaction ya virus ndio huonekana,hayo ni mambo mengineKwema wakuu
Kuna demu nimemtongoza mtaani akakubali. Kama wiki imepita nikapewa mzigo ila nilivaa kondomu na haikupasuka. Cha kushangaza kama baada ya siku mbili nikaanza kuumwa na homa kali. Sasa najiuliza ni ngoma au uti maana demu simwelewi ni mwembamba sana
Nakazia mkuuKaka, tunaomba muendelezo
HahahahahahHakuna ngwengwe ya siku mbili mkuu wacha kumtisha mtoa mada