Nakumbuka enzi za ujana wangu niliwahi piga katoto fulani nikiwa nimetoka kupigwa Malaria na homa ndio inaishia lakini baada ya hapo homa ilirudi kwa kiwango cha juu mara mia.

Kwa mwanaume usijaribu kupiga game ukiwa na homa hasa kama una Malaria unaweza lala kwa amani.
 
Ulitakiwa kumpeleka stand ucku ageuze na basi chap ...mimi siendekezi huo ujinga kupeana hasara za kitoto
 
Mkuu unasema alipiga salute ya mkono wakati hakuwa amevaa gwanda au mimi ndio nimesahau jeshi? Ninachojua askari asipokuwa na sare zake, akikutana na mkubwa wake anasalimia kwa kubana miguu na mikono
Mkuu story za humu usizingatie sana huwa tunapangwa sana. Si unakumbuka zamani tulivyokuwa tunaitia tukiambiwa hadithi, hadithi (Hadithi njoo, UONGO NJOO, utamu kolea)
 
Hata mim hii iliwah nitokea,enz hzo ndo naanza anza haya mambo,kuna demu siku ya kwanza ndo nakutana nae niligonga haswa na kesho yake niliamka nina homa kali sana
 
Yani we fara wa mwisho,na Kwa taarifa yako demu hajakupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…