Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
Hili jambo limeniumiza na kunifurahisha at the same time nina mshkaji wangu nasoma nae chuo 3rd year yeye ni mzaliwa wa dar hivyo alikuwa anakaa kwa wazazi wake tu basi bana ikatokea kwenye pita pita zake sister wa mshkaji alikua na rafiki wake wa kike age ni 40+ maji ya kunde, baby face na slim waist thick thighs in short hilo limama linalipa
Jamaa kama kidume akaanza kumtongoza since 2022 pindi tupo first year kaja kukubaliwa 2024 juzi hapo ila msemo ule unasema kuwa mvumilivu hula mbivu nimeuamini asee maana jamaa kapangishiwa apartment kali sinza pesa anapewa na kwa wazazi kasepa hilo limama lina pesa chafu sio poa vitega uchumi kama vyote sema elimu sio kiviile maana kaishia masters tu
Mimi hii valentines nipo kivyangu as usual ila jamaa anakojolea pazuri asee daah hadi basi
Anyway hii valentines jaribuni kulambana kwa hisia wakuu sio tamaa
N.b usikate tamaa kwenye kutongoza 😄