Mi namshukuru Mungu nimejua hili ingali mi bado kijana mbichi sana namshukuru mwenyezi Mungu kwa kunipa haya maarifa maana yatanisaidia niwe na msimamo thabiti wa kukaa mbali na ndoa

Acha wadau waendelee kushusha visa
Usije ukajaribu,kwa umri wangu na niliyoyaona usijaribu kabisa ndoa,kesho naenda Morogoro kikazi ila kuna mke wa mtu naenda kumchapa pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…