hii imenoga hatarii
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baharia alifaudu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza, unaandika kama unatapika!
Pili, huwezi kuwa muongo hivi mtoto wa kiume kwa kutuongopea mabaharia kuwa demu alisaura kila kitu mbele yako ilihali hamkuwa na mahusiano yoyote kabla..

#Hivi kwa nini kadri siku zinavyosonga ndivyo tunavyozidi kupoteza wanaume na kubakisha masalia ya watoto wa kiume..hii chai aaaagh too much!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ww3 hiyooo coming soon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…