Mwaka 2010 31-December natoka zangu Vikindu shambani naelekea zangu kujumuika na Wana pale Banana UEFA Bar kuaga na kuukaribisha mwaka mpya 2011. Mida ya Saa kumi jioni nimefika zangu Mbagala Rangi Tatu napanda UDA la Mbagala kwenda Ubungo Simu2000 ili nishukie Tazara then nichukue gari nyingine mpaka Banana. Kuingia kwenye gari kukaa kwenye siti namkuta Dada mmoja white mwenye umbo la kuvutia matata,nikampa Hi akaitikia.
Baada ya pale kikapita kimya kirefu sana kila mtu na hamsini, washkaji wakawa bize kunipigia simu mbona sifiki,nikawaambia nipo njiani nakuja.
Tulipofika Uhasibu nikaanzisha maongezi,Demu akawa anajibu vizuri sana,akaniambia ametoka Chamazi kusalimia ndugu yake na anaelekea Ubungo Simu 2000 kupanda Gari la Mbezi maana anaishi Kimara Suka. Nikamuuliza Mwaka mpya anaukaribishia wapi akajibu kuwa anaenda home tuu sababu hajapata mwaliko wowote ule, nikamwambia vipi nikupe kampani akasema wewe tuu. Mara papp Tazara hiyo hapo,akili za fasta zikanijia kuwa nisishuke pale ngoma ikaenda mpaka simu2000,kufika pale mida ya saa1 kasoro usiku.
Tulipofika tukatoka nje ya kituo tukakaa kwenye vile vibanda vya wakina Mangi wanavyouza bia,kufika nikamwambia agiza unachokunywa,mara paap kaagiza Serengeti Lager Kubwa nikasema hapa ndio nilipokuwa napasubiri,na Mimi nikachukua Kilimanjaro Kubwa,tukanywa pale mpaka saa5 usiku demu akasema nitafute usafiri nimpeleke kwao. Nikatafuta Bajaji fasta tukaondoka zetu,huko kwenye Bajaji full kumnawa tuu,tukafika anapoishi,bonge la hekalu ndani mbwa wa kutosha akaja beki tatu kufungua,Mimi nikamuaga naondoka demu akasema hakuna kuondoka ingia ndani. Nikaingia akanipeleka kwenye Kota Moja ya uani nikaingia mpaka ndani, akaniambia subiri niende kule nyumba Kubwa nakuja akaniacha nimeenda kuoga,akarudi na msosi nyama choma na whiskey black lebel. Nilikula mzigo hadi asubuhi,demu asubuhi saa1 akaenda church akaniacha nimelala,aliporudi tuu nikaendelea kupiga mzigo,akaenda kuniandalia chai nikanywa nikapiga tena mzigo,akaenda kupika msosi wa mchana huku Mimi nipo ndani napiga whiskey nyingine.
Nilikula mzigo mpaka jioni yake nikaondoka saa2 nipo hoi. Nilipokuwa pale nilimuuliza hapa ni kwa nani na mbona jumba lote hili mpo wawili tuu wewe na beki tatu, akajibu hapa ni kwa Kaka yangu Mimi nimekuja kwa muda sababu nina mgogoro na Mume wangu wa ndoa nilikuwa naishi Arusha,Kaka yangu na familia yake wote wameenda Arusha Kula sikukuu. Kuanzia pale nikawa najilia vyangu tuu kila ninapohitaji.