Mkasa unaanza hivi kuna kituo kimoja cha daladala dsm ni kikubwa siku moja nipo apo kituoni maana ni karibu na maeneo nayo ishi af iyo siku nilienda kuangalia UEFA night pemben ya kituo kuna bar sasa kipindi cha mapumziko nikatoka nikaenda kituoni na earphone zangu maskioni nikaenda kukaa kwny vimbweta vya abiria nikisubir mda wa second half uanze nikaendelee na mpira ilikuwa mida kama ya saa 5 na nusu usiku sas alikuwepo dada mmoja kwa pemben inaonekana wakuja kavaa ushungi kama mtu wa kanda ya kati ya singida au dodoma mrefu mweupe naona hatulii anamawenge mara ananiangalia mara anaacha mimi sina mawazo yoyote mda huo ikabidi nikamuuliza mdogo wng vp mbona km haupo sawa. Akaniambia nimefika apa tokea saa2 mimi ni mgeni wa dsm ninaewasiliana nae kwenda kwake aliniambia anakuja yupo njiani kunifuata ila mpaka sahivi hajafika na simu hajanipigia nijue kafika wapi..kwa sas salio la kupiga limeniishia nina sms tuu na nikituma hajibu kwahyo naomba nimpigie kupitia sim yko. Me nikampa kampigia kama mara 3 hajapokea. Demu anazidi kuchanganyikiwa me nkamwambia skia me naenda kuangalia mpira apo dk 45 nipe namba yako akinipigia ntakwambia atachosema asiponipigia me nkitoka ntakuja tujue nakusaidiaje yan nilimkataa kiivyo. Akasema saw akachkua no yng akatuma sms me nikaendelea na mpira. Dk km ya 80 na ya mpira jamaa hola hajapiga apo ni kama majira saa6 na 2 dk iv usk. Demu kaaanza kunitumia sms kibao plz kaka yng naomba uje unisaidie maana apa kidogo niibiwe na boda boda na ninaekuamini kwa sas ni ww tuu. Nikamfuata sina mawazo yoyote apo ya kibaaria nkamuuliza sas ww mdg wng me nakusaidiaje mm nataka kuondoka nikapumzike kesho niwahi kazn me nimepanga single room unaweza kulala kwny sofa sababu kuwagongea wapangaj wenzangu wakusaidie me skujui nkikudhamini utanichia msala..demu kasema we nisaidie tuu ata kwny kochi mimi nitalala. Nikamchukua mtot yule mpaka getto ila nafsi yng inahofu kikitokea kitu apa sjui itakuwaje. Kufika geto me nkamwambia mimi nalala sofa ilo apo. Nimelala km dk40 kushtuka namwona yeye bado yupo macho kwenye sofa nkamwambia skia mdg wng we kulia haikusaidii chochote maana alikuwa anafuta machoz niliingiwa na kahuruma nkamwambia wewe njoo lala kitandani mm nitalala kwny sofa. Baada km dk 5 taa kuzimwa mm na yule manz yalitokea mazungumzo km ya nusu saa ivi kujuana na kilichomsibu. Ni hivi Yule manz alimfuata bwana ake kituoni alitokea singida kuja dsm kufikia kwa ndugu kwahyo alidangany kwa ndugu atakuja siku mbili baada ya ile siku ili tuu afkie kwa mshkj auchezee siku mbili then aondoke. Baada ya stori mbili tatu tukajikuta tumezoeana mnoo. Nakumbuka kauli moja ya demu aliitoa ya kishujaa alisema ivi "piereeliquid sahiv ni usiku unaongea taratibu skuskii njoo uku karibu yng uko mbali" baaria nkasogea uwanjan ya kitandani demu akaniambia nilihofia labda we si mwm ungenibaka labda ila nimegundua wew ni mwanaume wa utofauti huendeshwi na tamaa unamoyo wa kusaidia na sitojuta kufanya iki kitendo na ww. Kilichofuata mnakijua. Huyu manz alikaa kwangu siku tatu na kuondoka na alikuwa anakuja mara kwa mara baadae na mpaka leo hii anakazi ila ameolewa na mtu mwingine sio mm ila nilibahatika kupata nae mtot mmoja mcute mno kama mama yake. Nadhan wadau mnajua product za singida. Aliolewa ndoa ya kiislamu na dini ndio sababu kubwa ya utengano wa mm na yey. Ila leo hii nikipiga simu naweza kula tena mzigo 80% . Ila nazingatia mke wa mtu apewe heshima na ndoa iheshimiwe mda mwingine ananitafuta ila huwa nampotezeaga. Nawasilisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa umewakilisha stori nzuri sana....ila uandish umefeli....but big up lwako ma mtoto wa sgd...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kupoteza muda nakumbuka ilikuwa ni juzi maeneo ya sanawari apa napita zangu na mishe zangu gafla nakutana na mdada ni mgeni apajui chuo cha uhasibu. Bas kwa sababu na mimi nilikuwa nashuka uko njiro kilipo chuo nikaona isiwe kesi nishuke naye mdgo mdgo, basi tukakatiza ile rod ya east Africa tukashuka mdo mdo nikaanzisha story za apa na pale ..mwishowe nikamsifia kidgo akacheka. Nikataka nizuie namba nikaona itakuwa long process bora niend mzima mzima...ilikuwa mchana mida ya saa saba, mtot akasema ana nja (japo nlimuliza) bas tukapita pale kaloleni tukala wakati tunakula nikampanga tupitie kwang one time kuna vitu nikachukue ..mtoto kakubali, tulipofika geto jua lilikuwa kali ..nikamuliza kama atapumzika then jua likipungua nmepleke apo chuo (me nakaa njiro) akatiki. Bas katika mbili tatu nikaanza mtomasa maeneo ya shingoni ..nikamshawishi avue shat akakubali ..kilichofata apo dah! ..yule demu alilala pale adi kesho yake ndo nikampeleka chuo ..uwezi amini niliua ratiba zang za iyo Siku(juzi)[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingine kabla ya krismass nilikuwa kweny shereh moja ubarikio kule sakina, sasa mida msosi niko zangu kwa foleni naend chukua msosi, wakaja madem wawili mmoja kafungasha zigo sio la kitoto, mwingine yupo kawaida tu ..wakaniomba samahani kaka nomba tuingie kwa hapa ..yan wakae mbele yang ..dah me kiroo safi nikakubali japo uku nyuma raia zilintolea jicho kinoma. Yule mweny kalio kama kistuli alisimama mbele yang then yule mwingine akasimam mbele yake ..daah nilishindwa vumilia nikachomoa kitochi Chang nikampa yule dem bila kumwambia chochote uku nmekaza macho. Alivyoona ivyo akapokea na kuandika namba zake ..
Nikamuuliza jina akanimbia Winnie. Bas tukachukua msosi me nilikaa nyum wao kumbe walikuwa pemben kidgo ..baadae kabisa muda wa kusepa nikamchek uyo dem akanambia yuko anasubir aice apand and home. Ilikuwa mida saa tano ndo sherehe iliisha, nikamfata na alikuwa mwnyewe yule mwnzake alishasepa ..katika kupiga story uku tunasubir aice ..nikagundua anapenda club ivyo nikampanga twend kokoriko ..mtoto katiki, nikachukua bajaji tukiwa wawili had kokoriko, fika pale tukazama ndan nilikuwa na amsha amsha kinoma ..nikamuliza kama akichelewa om itakuwa noma akasema alishaaga. Dah nikaona zali hill ..na mzigo wote ule nikampigisha bia mbili tu kumbe kichwa panzi akaanza kuzima bas bila kupoteza muda nikachukua tena bajaji adi geto ..ilikuwa mida saa saba ..fika geto mtoto wamoto amelewa kimtindo kaniambia nimvue viatu na baadhi ya nguo ..kaniuliza tuko wapi ..nikamwambia kwangu! Afu kumbe ni dgo tu ila mwili ndo mkubwa ..daaah uo mzigo kwa kwel Sachoka akasome ...kilichofata apo ninkuvunja tu ile amri,

NB: usijaribu hiz mambo za one night stand kama ujawahi ..uku ndo mavirusi yanapatikanaga ...

Uo mzigo nilishindwa vumilia mazee ..mpka sasa mtoto nishazuia mazima hahaha..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera mzeee dah.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
duuuuh
Sent using Jamii Forums mobile app
 
haaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
bablai umetisha kinyama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe nu falaa kinoma sasa beti ndo unaitegemea kuishi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlikuwa zile shamba za zinazosimamiwa na Afande maganga.
Ulikuwa op gani mkuu. Kuna vempa,sele ,kakira ,Mlomo na masanja Nina imani unawajua. Wazii??
 
Nimewahi mkuu.Dem hana hisia ila anataka dyudyu.Nimkavu ata uzamishe upamp wapi.Hapo ni mate tu ndio yanasaidia.Ila alikua na shimo la kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulisha piga waliokatwa antena?
Wengi huwa wakavu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna stori hapa zinafurahisha wakati mwingine inabidi tu ucheke, nina ombi kwa wana masiahala ili iwe motisha kwa wasimliaji wetu na waongezeke maana hatuwezi wapa pesa basi like ziwe nyingi kwa kila msimuliaji haijalishi kaandika poda au sembe ili nyuzi lisonge mbele,

Basi nyuzi limeanza niko zangu mwanza pale nyege asubuhiiiii nianze safari kurudi zangu dar hivo lazima nipitie moro nilale kwenye banda langu .

Nimeingia kwenye basi kampuni ya nyehunge siti ya kwanza kabisa kwa dereva maana siti ya kwanza nayo siku hizi ni michongo kuipata nilikuwa na maana yangu kuitaka iyo seat, nimekaaa kama nusu saa niliwahi kidogo . Ghafla kaja dada mmoja na mshikaji wote wakazama ndani mtu wa kwanza kuingia ni jamaa nashangaa tu kaishiwa pozi kuniona ile siti kumbe demu wake naye kakata seat ile ile.Ilikuwa wanakuja kuagana kwa kukaa pale sasa ndo kakuta nishaingia mapema nimepiga miwani myeusi tii na pensi fulani hivi inshort nilivaa kiblzamen kichizi alafu nimependeza balaa nazingatia kuvaa vizuri nikiwa nasafiri au kitaa maana ndo utajiri nilio nao wa kubebea totozi kali.

Ile nawachora tu kwenye kioo cha miwani jamaa alivoishiwa pozi nikasikia karudi nyuma kamwambia demu wake siti yako iyo hapo then kaweka kibegi chake akaomba waagane nje uko,muda wa kuondoka ukawadia nikaona jamaa kaingia tena kupunga mkono wakaagana safari ikaanza nami sina habar kabisa na yule sistaa duu mwenye kalio kubwaaa alafu (shortchasis)fulani mzigooo umeeendaaaa weeeeeeh vile gari zinatoka nduki pale kila mtu ana habari zake sikutaka kumshobokea maana nisije kuta kituko badae au demu akalet nyodo sisizo.katikati ya safari bwana wake anampiga tu simu kumwambia awe makini na asinizoee kabisaaa hizo aliniambia demu baada ya mazoea na kuna muda nilisikia demu anamwambia kuwa na Amani bhana yeye mwenyewe hana hata ilo unafikiria,kipindi wanaongea mie nimekaza tu nazuga nimesinzia huku nachora maeneo yote yaliyo karibu yangu inshort namwangalia demu kuanzia juu nashuka naye ila kiwizi wizi maana kushapambazuka nikaona pisi kali kindwazi.

Akili ikasema hapana nitakula naye tu yule mpuuzi safari imeendelea weeeh baridi linapuliza hatari mara pyuuuu kapitiwa usingizi wote tukasinzia badae kidogo nashituka tuko mbele uko vijijini sipajui foleni na trafiki wanafanya yao, pale ndo tukaanza kuongeleshana sasa nikaanza mbona unajifunika sana vipi baridi? Kanijibu eeeh c unajua hii ni asubuh tena ananiangalia kwa kuibia hivi.nikamwambia naomba basi tujifunike wote nami nasikia baridi kweli samahani lakini dada.kakaza fulani hivi sitaki nataka nikakausha then nikaendelea na stor za hapa na pale kudadisi yule nani na anaenda wapi .

Pale pale nikatoa miwani yangu sasa kumekucha demu kaniambia yule ni rafiki yangu ni bodaboda alinisindikiza,nikakaza rafiki yako mpka anakutafutia seat vile kuwa tu mkweli bana siyo poa kumkataa baharia.Demu alicheka kidogo kisha akasema achana naye ila moyoni kichwa kinajua ni basha ake yule maana nilimkazia maswali ili nimuone ni mwanamke gani ikitokea nipate pa kuwekea akiba badae usiku nitashuka naye tu ilo lazima nishaliweka kichwani.

Safari iyo ngona inapuliza sasa badae nikaachana naye nikatoa miwani yangu nikapiga usingizi heavy sana ila siyo wa kukoloma maana nilitoka kukesha na nesi mmoja hapo Mwanza hospital moja kubwa tu private. Kumbe nimelala yeye ndo kapata muda wa kuniangalia na kunisaminisha yawezekana naye kunila kimasihara kulianza kumwijia kichwani nami nikimuwazia mbeleni uko mpka kufika moro analiwa lazima mwisho wa safari,badae nimeshtuka nikakuta ananicheki kichizi katoa jicho chap stori zikaendelea weeeeh nikahakikisha namfahamu vizuri wenyeji wake moro na yeye...kumbe alikuwa kamaliza chuo cha ualimu seco mkoani moro hivo alienda mwanza kutalii kwa maelezo yake ila si kwa bwana.......sasa njiani zikawa ni stori tu kumbe wale makondakta wanamuonaga sana mchizi anamsindikiza mara kibao anaendaga mwanza kwa kupitia huo usafiri jamaa nikaona kama wanaona wivu fulank nilivomuweka mtoto kitanzi ananiingelesha kama tunafahamiana muda.

Tumefika sehem sijui shinganya nikashuka kuchimba dawa yeye kabaki kumbe ananichora nilivokuwa smart dadeq na nilivokuwa tu mwonekano demu kuchomoa siyo rahisi nahisi hata jamaa ake aliliona lile ndo maana kajamba,nimerudi kwenye gari mtoto ananichangamkia ti safar ikaanza stor zinaisha tunalala tunaamka muda wa msosi nikanunua plate mbli za nyama kuku,naingia nakuta kanunua matunda sahani mbili naye na bite bite hivi nilivofika nikamkaribisha maana tushazoeana sana akaniambia anaumwa jino hivo kula nyama itakuwa shida kwa kuwa na nishanunua basi atajitahidi kidogo tumekula stori zinaendelea hatari huku na huku jamaa yake anapiga simu mida wote waongeee mara amuulize huyo jamaa vp mnaongea naye ,mara vp mko wapi,kashuka demu kamwambia ameshuka singidani uko ndo jamaa kuelewa akamuuliza vp ulimpa namba demu akakataa....muda huo mie nina habari na simu yangi nakula mziki badae kwnye stori ndo demu kuniambia aseeeh yule mchizi anaulizia kila muda...nikamwambia wewee siyo ulisema yule ni boda kumbe jamaa yako? Kakubali kishingo upande ila nikajiongeza huyu kawaka kwangu na yule jamaaa alikuwa na hela sana trip zote yeye ndo anashika na pesa za ziada kampa mpaka kadi ya bank kampa cuz mshikaji alikuwa kampuni fulani ya watu weupe yeye kama mhasibu hivo alikiwa anamake sana pesa ila ndo hivo tunatofautiana mwonekano na kujiweka.

Stori zote hizo alikuja kufunguka mwanadada stori ni ndefu mpka kufika nitamalizia ngoja nitoe huduma kwanza.





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…