PierreLiquid
JF-Expert Member
- Oct 16, 2019
- 596
- 2,298
Mkasa unaanza hivi kuna kituo kimoja cha daladala dsm ni kikubwa siku moja nipo apo kituoni maana ni karibu na maeneo nayo ishi af iyo siku nilienda kuangalia UEFA night pemben ya kituo kuna bar sasa kipindi cha mapumziko nikatoka nikaenda kituoni na earphone zangu maskioni nikaenda kukaa kwny vimbweta vya abiria nikisubir mda wa second half uanze nikaendelee na mpira ilikuwa mida kama ya saa 5 na nusu usiku sas alikuwepo dada mmoja kwa pemben inaonekana wakuja kavaa ushungi kama mtu wa kanda ya kati ya singida au dodoma mrefu mweupe naona hatulii anamawenge mara ananiangalia mara anaacha mimi sina mawazo yoyote mda huo ikabidi nikamuuliza mdogo wng vp mbona km haupo sawa. Akaniambia nimefika apa tokea saa2 mimi ni mgeni wa dsm ninaewasiliana nae kwenda kwake aliniambia anakuja yupo njiani kunifuata ila mpaka sahivi hajafika na simu hajanipigia nijue kafika wapi..kwa sas salio la kupiga limeniishia nina sms tuu na nikituma hajibu kwahyo naomba nimpigie kupitia sim yko. Me nikampa kampigia kama mara 3 hajapokea. Demu anazidi kuchanganyikiwa me nkamwambia skia me naenda kuangalia mpira apo dk 45 nipe namba yako akinipigia ntakwambia atachosema asiponipigia me nkitoka ntakuja tujue nakusaidiaje yan nilimkataa kiivyo. Akasema saw akachkua no yng akatuma sms me nikaendelea na mpira. Dk km ya 80 na ya mpira jamaa hola hajapiga apo ni kama majira saa6 na 2 dk iv usk. Demu kaaanza kunitumia sms kibao plz kaka yng naomba uje unisaidie maana apa kidogo niibiwe na boda boda na ninaekuamini kwa sas ni ww tuu. Nikamfuata sina mawazo yoyote apo ya kibaaria nkamuuliza sas ww mdg wng me nakusaidiaje mm nataka kuondoka nikapumzike kesho niwahi kazn me nimepanga single room unaweza kulala kwny sofa sababu kuwagongea wapangaj wenzangu wakusaidie me skujui nkikudhamini utanichia msala..demu kasema we nisaidie tuu ata kwny kochi mimi nitalala. Nikamchukua mtot yule mpaka getto ila nafsi yng inahofu kikitokea kitu apa sjui itakuwaje. Kufika geto me nkamwambia mimi nalala sofa ilo apo. Nimelala km dk40 kushtuka namwona yeye bado yupo macho kwenye sofa nkamwambia skia mdg wng we kulia haikusaidii chochote maana alikuwa anafuta machoz niliingiwa na kahuruma nkamwambia wewe njoo lala kitandani mm nitalala kwny sofa. Baada km dk 5 taa kuzimwa mm na yule manz yalitokea mazungumzo km ya nusu saa ivi kujuana na kilichomsibu. Ni hivi Yule manz alimfuata bwana ake kituoni alitokea singida kuja dsm kufikia kwa ndugu kwahyo alidangany kwa ndugu atakuja siku mbili baada ya ile siku ili tuu afkie kwa mshkj auchezee siku mbili then aondoke. Baada ya stori mbili tatu tukajikuta tumezoeana mnoo. Nakumbuka kauli moja ya demu aliitoa ya kishujaa alisema ivi "piereeliquid sahiv ni usiku unaongea taratibu skuskii njoo uku karibu yng uko mbali" baaria nkasogea uwanjan ya kitandani demu akaniambia nilihofia labda we si mwm ungenibaka labda ila nimegundua wew ni mwanaume wa utofauti huendeshwi na tamaa unamoyo wa kusaidia na sitojuta kufanya iki kitendo na ww. Kilichofuata mnakijua. Huyu manz alikaa kwangu siku tatu na kuondoka na alikuwa anakuja mara kwa mara baadae na mpaka leo hii anakazi ila ameolewa na mtu mwingine sio mm ila nilibahatika kupata nae mtot mmoja mcute mno kama mama yake. Nadhan wadau mnajua product za singida. Aliolewa ndoa ya kiislamu na dini ndio sababu kubwa ya utengano wa mm na yey. Ila leo hii nikipiga simu naweza kula tena mzigo 80% . Ila nazingatia mke wa mtu apewe heshima na ndoa iheshimiwe mda mwingine ananitafuta ila huwa nampotezeaga. Nawasilisha!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app