Nikome kwanini?Ukome
Hapana hela sijaipata na hata dawa bado sijazifanyia kama alivyonielekeza
Siwezi kumuacha hasiraniMkuu Kula Zigo Kama Nitamu Achana Na Washakunaku Maana Hata Ufanye Nini Watapinga...
😂😂😂 si kweli mimi nitamla tu kisha nikiishamkinai naingia mitiniDaah man we jasiri kinoma asee... Sasa apo ujiandae na wewe kuwa mganga msaidizi!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
kwisha habari yake asubir kupiga ramliYani mganga anakuuliza umelalaje wakati alitakiwa ajue? Tena mmeshaunganisha spirits alitakiwa kama mganga kweli awe anaona kila kinachoendelea kwako.
Alafu huyo mganga huenda ni mbibi ama jini ila kajigeuza mmama mzuuuri ili akupate tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unforgetable
Kivipi mkuu au shida kwakua yeye ni mganga? Halafu mi sina haja ya kumuoa mi nampitia tu nalala mbeleKichwa cha chini sometimes kinatuponza kama usemayo ni kweli imekula kwako mazima
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mijitu ina akili mingi sanaYani mganga anakuuliza umelalaje wakati alitakiwa ajue? Tena mmeshaunganisha spirits alitakiwa kama mganga kweli awe anaona kila kinachoendelea kwako.
Alafu huyo mganga huenda ni mbibi ama jini ila kajigeuza mmama mzuuuri ili akupate tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unforgetable
Ndo icho ninachomaanisha ukifanya hit and run imekula kwakoKivipi mkuu au shida kwakua yeye ni mganga? Halafu mi sina haja ya kumuoa mi nampitia tu nalala mbele
Anaangalia kama mke wake alishawai kuliwa kimasihara kabla ajamuoa au baada ya kumuoNimepanda mwendo kasi leo asubuhi, kucheki jirani yangu kwenye kioo cha simu yuko busy na huu uzi.
Halafu ni mdingi hasa, kama 55 hivi.
Anaangalia kama mke wake alishawai kuliwa kimasihara kabla ajamuoa au baada ya kumuo
Sent using Jamii Forums mobile app