Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Yani mganga anakuuliza umelalaje wakati alitakiwa ajue? Tena mmeshaunganisha spirits alitakiwa kama mganga kweli awe anaona kila kinachoendelea kwako.

Alafu huyo mganga huenda ni mbibi ama jini ila kajigeuza mmama mzuuuri ili akupate tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unforgetable
kwisha habari yake asubir kupiga ramli

cc Kingsmann

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii mimi naona kama togwa kabisa...
Anyway pesa uliipata...?
 
Back
Top Bottom