We jamaa ni mgalatia. Mazingira ya story yako bila shaka unazngumzia galaxy.
 
Huu uzi shikamoo
Watu wanajilipua tu

Ngoja na mm nilete yangu nilivyoliwa kimasihara
Mama bahati kaa mbali na comment yangu[emoji23][emoji1430] Au bado anatumikia ban


Mwaka jana mwezi wa 7 tar9 nimemaliza zangu chuo nipo tu nyumbani idol idol, basi tukapanga na rafiki zangu wawili tuliomaliza chuo wote tutoke (jumla watatu) tukaenda TIPS
Kufika tukala tukanywa pale kuchangamsha akili bwana bwana kucheki getini namuona mkaka mmoja mdhuriii kiasi chake mrefu mweupe kiasi nikasema yes[emoji23][emoji23] bahati nzuri tulipokaa pembeni yetu kulikua na mkaka mmoja kumbe ndio aliemfata
Basi tukawa tumekaa wote jirani mara wakaomba tukae nao Mungu sio athumani na yule wangu akakaa na mm story pale zikanoga

Tukahama tukaenda bascar lavida kufika mida ya saa8 tukawa tunaondoka ikabidi watupeleke home wale wenzangu wawili wanakaa mtaa mmoja na mm mbali nao kiasi
Mm nikaondoka na huyu wangu

Basi tukiwa njiani plus vile vinywaji makiss matachi kma yote tukajikuta tupo lodge🤭 kwanza tulianzia kwenye parking za bascar pale uwanjani kigiza kile tulikifaidi

Aisee nilienjoy balaa hata sikuwaza kma naliwa kimasihara ila tulitumia kinga

Basi from there tukawa wapenzi na leo tumefikisha miezi6

ila tulivyoanza a serious relationship nikawekewa conditions za kutokutoka na kuwacrop wale marafiki zangu

Nikitoka tupo wote, sijui ndio anaogopa nisiliwe kimahisara


Nampenda ananipenda hopeful tutatimiza malengo yetu japokua tulikutana na kulana kimasihara sana

Happy 6months to us
 
Ujumbe wa mwisho ndio nimekuelewa zaidi ya tambala lako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tupe uzoefu
 
Huyo wala sio mganga ni mpigaji tu. Hela sahau kuzipata. Wewe endelea kujipigia mzigo wa mganga. Wote wanaoenda hapo kwa ajili ya kazi kama yako wote wanaishia kumgonga. Ndio maana anakutega na kanga moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh![emoji848]

Kwahyo ukamchakata mchawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa hadi maandishi unakandamiza!Kweli we msukuma haya kalaleko!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…