Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Wakati tunasoma A level shule flani ya wavulana mkoa wa wala leo waondoka leo sasa tulikuwa na mazoea na uhusiano wa karibu zaidi na shule ya wasichana maaarufu saana katika mkoa huo.

Ilikuwa kipindi cha graduations lazima tualikwe kwenda kucheza mziki na wao kuja kwetu kucheza mziki. Enzi zile kuwa na mtoto kutoka k.o sec ilikuwa title saana. Washkaji waliokuwa wanamilik warembo from that school walikuwa wana enjoy saana hususani siku za graduu na event nyingine full kuletewa mizawadi cards na barua.

Unaweza kuta mwamba anamiliki madem hata sita wote wanamshobokea yeye sisi wengine wanyonge hata hatuna hata wale wa kuzugia. Rafiki yangu ambae tulikuwa tunakaa nae cube moja alikuwa ni miongoni mwa wana ambao watoto wa k.o walikuwa wanampenda saana alikuwa na dem kule sasa walikuwa wanachart nae.

Yule binti kule school kwao alikuwa anajisifu saaana kuhus mshkaji ikatokea dem mwenzake akamwibia namba akaanza kumtafuta mshikaji.

Kipindi kile hizi wasap kulikuwa hamna so alikuwa anachart lakini jamaa alikuwa hamjui huyo bint alafu pia binti alikuwa hamjui mshikaji ila alivutiwa na stori tuu from her friend.

Mwezi kama huu wa january tarehe za 20'ilikuwa ndio graduuu yetu. Sasa mshikaji alikuwa ashampanga dem wake kuwa atakuja na pia huyo dem mwingine pia atakuja

Basi mtoto wa watu alijipanga akaja na mizawad kibao kumletea mshikaji wangu paka wanafika saa nne nne shulen na coaster yao wameshuka wamekaa bado tulikuwa hatuja mtambua.

Mi nilikuwa nafaham picha nzima kwa sababu tulikuwa tunashea nae simu yetu ya kitochi na mwana. Tukamuelekeza bint aende sehem fulan tukaonane nae.

Tukawa tumetega sehem flan kumcheki ile anatokea binti alikuwa sio mzuri wakawaida saana kwa mabaharia wanaweza sema alikuwa mbovu jamaa alivyo ona vile akamkataaa kata kata akakataa kwenda kuonana nae.

Sijui nilipata wapi ujasiri nikaenda na kile kisimu nkampokea nkam hug nkamisifia. Yani nilijifanya ndio mshikaji. Hata jina yan alikuwa ananiita la mshikaji. Alifurahi saana. Then after there tukawa tumeweka miadi kuwa february akimaliza pepa ya six aje tanga mjini chap alale ndio aanze safari ya kwenda kwao.

Nakumbuka sisi tuliwah kumaliza pepa yeye kwa vile alikuwa science comb walichelewa wenzangu walisha sepa m nlibak school na wasayansi kusubiri zali.

Kama utani vile akamaliza pepa kanichek. Nkabeba mizgo paka town tukaonana alikuwa sio mzuri but kwa ule ukame wa uboizini sikuona shida. Kwa vile bint alinikubali nilikula siku mbili mfululizo. Mbaya kwa sura ila kwenye majamboz alikuwa goood. Goood saana. Kwa wakati huo sura nilikuwa siangaliii bali ninachohitaji

Yani binti alikuwa anampenda msela wangu kinyama yani ananiambia b nakupenda kumbe mie hata sio b ni sumbai. Akasepa kwao.

Tukaenda chuo alichaguliwa mhimbili mie chuo kingine but thesame city nkaja nikaonana nae ilipofika ikabidi nimwambie ukweli nakumuelezea kila kitu maana ilikuwa vigumu kudanganya ukizingatia tulikuwa tushaanza kufatiliana kwenye social netwok alisikitika saana.

Tamaa mbaya na uongo ni mbaya wakuu.


Ukawa mwisho wetu.



Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa ni mgalatia. Mazingira ya story yako bila shaka unazngumzia galaxy.
 
Huu uzi shikamoo
Watu wanajilipua tu

Ngoja na mm nilete yangu nilivyoliwa kimasihara
Mama bahati kaa mbali na comment yangu[emoji23][emoji1430] Au bado anatumikia ban


Mwaka jana mwezi wa 7 tar9 nimemaliza zangu chuo nipo tu nyumbani idol idol, basi tukapanga na rafiki zangu wawili tuliomaliza chuo wote tutoke (jumla watatu) tukaenda TIPS
Kufika tukala tukanywa pale kuchangamsha akili bwana bwana kucheki getini namuona mkaka mmoja mdhuriii kiasi chake mrefu mweupe kiasi nikasema yes[emoji23][emoji23] bahati nzuri tulipokaa pembeni yetu kulikua na mkaka mmoja kumbe ndio aliemfata
Basi tukawa tumekaa wote jirani mara wakaomba tukae nao Mungu sio athumani na yule wangu akakaa na mm story pale zikanoga

Tukahama tukaenda bascar lavida kufika mida ya saa8 tukawa tunaondoka ikabidi watupeleke home wale wenzangu wawili wanakaa mtaa mmoja na mm mbali nao kiasi
Mm nikaondoka na huyu wangu

Basi tukiwa njiani plus vile vinywaji makiss matachi kma yote tukajikuta tupo lodge🤭 kwanza tulianzia kwenye parking za bascar pale uwanjani kigiza kile tulikifaidi

Aisee nilienjoy balaa hata sikuwaza kma naliwa kimasihara ila tulitumia kinga

Basi from there tukawa wapenzi na leo tumefikisha miezi6

ila tulivyoanza a serious relationship nikawekewa conditions za kutokutoka na kuwacrop wale marafiki zangu

Nikitoka tupo wote, sijui ndio anaogopa nisiliwe kimahisara


Nampenda ananipenda hopeful tutatimiza malengo yetu japokua tulikutana na kulana kimasihara sana

Happy 6months to us
 
Acha na mm nisogeze kahawa yangu kunogesha uzi

Ilikua mwaka 2014 baada ya kumaliza kidato cha sita shule moja huko Mkoani Kilimanjaro (Moshi Technical), nilichaguliwa kwenda JKT kwa mujibu wa sheria kambi flani ambayo siitaji jina huko mkoani Kigoma. Siku imefika safari ikaanza, safari ilianzia nyumbani Mwanza asubui saa 12 na basi kampuni ya Adventure.
Picha linaanza nikiwa ndani ya gari, siti ya mbele yangu kulikua na binti mmoja hivi maji ya kunde kanyoa dongo. Kwa harakaharaka nikajiongeza kuwa huyu nae ni mwenzangu (kutokana na alivonyoa). Sikumtilia maanani sana nikawa kama nimempotezea na safari ikaendelea.

Baada ya safari ndefu tukafika seheme flani (mkoani kigoma) ghafla basi letu likasimamishwa. Tukaona askari jeshi mmoja mweusi tii na mwenye sura ya kuogofya akapanda ndani ya basi, nanukuu alichokisema “kama kuna kiumbe yeyote aliyetumwa na serikali kuja katika kambi ya ......, hapa ndipo mwisho wa safari yake na tunamuomba ashuke”, hapo ndipo nikagundua nimeshafika, nikawa nimeshuka, na yule binti pia nikamuona anashuka. Tulipofika chini tukapigwa mikwara mingi sana yaani kama ni muoga unakojoa palepale. Mikwara ya wale askari ikamfanya biti awe ananisoglea na hatimae nikashangaa ananishika mkono utadhani nina msaada wowote ninaoweza kuutoa wakati mi mwenyewe roho inataka kuchomoka kwa ile mikwara [emoji23][emoji23][emoji23]. Walituchukua mpaka kambini, na mambo mengine yakaendelea.

Nilianza mazoea na yule binti hasa baada ya kuwa tumepangwa Kombania moja (Bravo Coy). Tukawa tukipata mda tunapiga story mbili tatu, wakati wa chakula tunakula pamoja but wakati huo tupo kwenye zile suti zetu (vipensi), so umbo la yule dada lilikua linajichora vzr alikua kajaaliwa tako kubwa na hips zilizojaa na kiuono kidogo kama nyigu. Kiufupi tayari nilikua nishavutiwa nae sana lakini sikuwahi kuongea nae kabisa kuhusu mahusiano.

Siku moja usiku tukiwa kombania tushapigwa doso la kutosha (waliopita kule wameelewa) ghafla ikapulizwa filimbi na tukataarifiwa kuna moto umewaka katika eneo ambalo lipo kwenye himaya ya Kambi hivyo inatakiwa kombania zote twende tukazime. Kama unavojua kule ni amri, tukajikongoja na uchovu wetu saa sita usiku tukatembea kama km 8 kufika eneo la tukio, wakati huo nipo na yule mdada na amechoka nusu ya kufa. Zima zima zima na wewe moto hauishi. Nikaingiwa na roho ya ujasiri nikamwambia yule binti twende tukajifiche kichakani mpaka moto utakapozimwa ndo turudi kambinni. Binti akakubali tukachomoka kama hatukuepo mpaka kichakani. Tumefika mi nikawa wa kwanza nikajilaza kwenye nyasi na yy akalala palepale lkn pembeni yangu huku mguu wake kauweka juu ya mguu wangu.
Palepale mashetani yakaanza kunipanda, ukizingatia nimekaa mda mrefu cjamwaga oil. Nikajaribu kupeleka mkono kifuani kwake kama nipo usingizini nikaona katulia tu, nikabinya matiti yake (yalikua size ndogo) nikaona kaanza kujikunja bila kusema kitu. Nikasema nisikawize mambo hapa, nikazamisha mkono kutafuta kitumbua, nikakuta dem kalowana chepechepe. Nikatoa kipensi chake, nikaanza kuchezea sana K kwa vidole mpaka nikaona binti anapata degedege flani hiv analalamika tu “mbona huchomeki”... nikasema eheee tayari kalewa ulanzi. Ilipigwa kifo cha mende pale moja kari ilichukua karibu dak 40 maana mzuka niliokua nao sio wa nchi hii. Piga sana shoo mpaka tukasahau kama tulienda kuzima moto.

Akili imekuja kurudi tunawatafuta wenzetu walipo kumbe walishamaliza kuzima moto mda mrefu na wamerudi kambini. Walifika kambini wakahesabiwa na wakawa hawajatimia, then tukaanza kutafutwa [emoji23][emoji23]. Baada ya kupatikana kilichotukuta nadhani waliopita huko wanajua.

Baada ya jeshi tulienda chuo na bahati nzuri tulienda chuo kimoja na tukaendeleza uhusiano. Hakika nilimpenda sana yule binti na mda wote niliokua nae sikuwahi kumcheat. Muda wote tuliokaa chuoni tulikua pamoja na nilimuona kama mke wangu.
Shetani akaingia kati baada ya kumaliza chuo, mwenzangu akapata kazi kabla mm cjapata. Akaanza kushika pesa mm bado kapuku. Mpaka leo sielewi niliachwa vipi, niliumia sana kwa jinsi nilivokua nampenda ila ndo hvo bna inabidi nikubaliane na matokeo, lkn mpaka leo huwa nikimkumbuka naumiaaaa.
WANAUME WENZANGU TUTAFUTENI PESAAA


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ujumbe wa mwisho ndio nimekuelewa zaidi ya tambala lako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo wala sio mganga ni mpigaji tu. Hela sahau kuzipata. Wewe endelea kujipigia mzigo wa mganga. Wote wanaoenda hapo kwa ajili ya kazi kama yako wote wanaishia kumgonga. Ndio maana anakutega na kanga moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aaah!we umekula mganga brother??mwenzio nliwahi kula mchawi yule dada sijui mwanga[emoji3][emoji3]nlimbamba pande flan hv night hee nkamtishia kumwitia wadau hahaa nkaanza kumshikashika pale hee kilichofuata X³ ilikua kwenye jumba flan hv bovu maskini daaah

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh![emoji848]

Kwahyo ukamchakata mchawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa hadi maandishi unakandamiza!Kweli we msukuma haya kalaleko!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom