TheOnlySurvivor
Senior Member
- Oct 7, 2019
- 109
- 277
Aisee pole sana mkuu.Na mm sio ya kimasihara lakin kuna kisa kinachofanana na hichi kwa mbali kilinipata.Sikupenda kuandika hii story ila nahisi kuna mtu inaweza ikaja kumuokoa na janga lililowahi kunikumba.
Mnamo mwaka 2009 nikiwa nipo zangu mkoa nikiwa almaharufu kama Ahmada au garimoshi sababu ya unywaji pombe uliotukuka na uvutaji sigara grade 1
Nilibahatika kuwa na marafiki wengi wa kufa na kuzikana katika ulevi.Basi bhana siku moja nikakutana na besti yangu wa kitambo bar, basi nakumbuka tulikunywa sana siku hiyo
Basi imefika saa 6 usiku jamaa akasema kalewa anataka asepe ila kuna muhudumu kamuelewa anataka kuondoka nae,
Basi kama kawaida ya mpambe kuwa shapu nikamfata yule manzi nikamueleza akaelewa ila akasema hawezikuondoka muda ule tusubiri mpaka wafunge au nikaongee na meneja
Faster nikamfata meneja nikamueleza akasema tumuachie 10 then tusepe na binti
Jamaa akalipa pale watu tukang'oa mrembo basi nikasema ngoja niwasindikize kimtindo aise ile kufika kwa jamaa nawaaga niondoke demu si akagoma kubaki akasema yeye hamtaki jamaa ananitaka mimi
Duh! Nikajisemea dodo hili ila kuzuga nikazuga kumsihi demu abaki pale ila akakataa katakata
Basi jamaa kiroho safi akasema dogo kapige tu sio kesi
Basi na pombe tena +mihemko demu nikamsogeza chocho nikachapa then nikamwambia sepa mi sina pakukupeleka bado naishi kwa wazazi
Basi bhana baada siku nne mashine ikaanza kuwasha muwasho mkali kiasi inapidi nikune kwa mtindo wa kuipekecha
Siku mbili mbele yakatoka mapele hatare afu yanawasha nikikuna yanapasuka aise acha tu
Basi mashine ikawa imejaa madonda yakikauka inaanza kuwasha tena muwasho mkali hauvumiliki nikikuna magamba yanabanduka inabaki mashine nyekuundu
Kiufupi nilikoma nilikunywa dawa za kuunga unga mpaka jasho likanukia dawa
Mwisho nikamfata mshua nikamueleza naumwa sana naweza kufa naulizwa nini shida namwambia huku chini kunauma kweli
Basi akaitwa rafiki yake ambae ni dokta alivyoicheki tu mashine akasema dah! Ungechelewa mwezi tu mashine ingelika yote huu ugonjwa mbaya sana unaitwa PANGUSA
But nashukuru Mungu mzee hakuwa na hiyana akagharamikia matibabu yote japo kwa masimango
N.b chunga sana hayo yanayoitwa masikhara kuna siku ita kucost dear
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu manzi nilikutanaga nae tu kwenye usafir na kwa uzoefu wangu, nilipomuona for the first time ,kuna some qualities nikaziona kwake, the very first time.Nikafanya makeke nikapata namba.Baada ya weeke kama 3 nika meet nae hotel moja tandika temeke,kumbe alikua anamalizia siku zake, kigumu gum hivyo hivyo , ikasafishwa fresh akaoga nikagonga kidogo lakin.
Game nzur ilikua mwaka mpya huu, nikapiga sana.Ila nikaanza kuhis kila nikikojoa mkojo unauma sanaa.Mmh..nikavunga but nilishtuka cz when it comes to health issues2 aisee huwa sitaki masihara.Basi katika maongezi ya hapa na pale na yule mtoto siku na yy akanmbia anaumwa kama nilivyoluaa najiskia mm.Aisee nilishtuka sana moyon ghafla bila kupoteza muda nilipomaliza kaz nika2rud home.nje kidogo ya mji nikachukua kadi yangu ya matibabu nikageuka ten mjini yapata saa 5 usiku.niliapa silali bila kujua tatizo.Nikafika hospital nikmueleza yule mtaalam mwanamama kila kitu akanishauri nipime mkojo na malaria.dikuridhika niksema naomba unipime na STIs pia.
Nikapima syphilis kipimo cha damu.
Majibu yaka2onyesha nina UTI nikapewa dawa.
Dogo nae kesho kapimwa, kaambiwa ana UTI akaandikiwa sindano 5 ( nahis ilikua kali). Lakin doctor alimuulixa swali "ushawah ku sex ukiwa period?"
Akasema hapana ingawa first time nilimgonga akiwa P.sasa cjui hii inaweza kua na maana gan ?
Daah mazee tuwe makini kwenye kula kimasihara