Ulishawahi kula tunda kimasihara?
Sikupenda kuandika hii story ila nahisi kuna mtu inaweza ikaja kumuokoa na janga lililowahi kunikumba.
Mnamo mwaka 2009 nikiwa nipo zangu mkoa nikiwa almaharufu kama Ahmada au garimoshi sababu ya unywaji pombe uliotukuka na uvutaji sigara grade 1
Nilibahatika kuwa na marafiki wengi wa kufa na kuzikana katika ulevi.Basi bhana siku moja nikakutana na besti yangu wa kitambo bar, basi nakumbuka tulikunywa sana siku hiyo
Basi imefika saa 6 usiku jamaa akasema kalewa anataka asepe ila kuna muhudumu kamuelewa anataka kuondoka nae,
Basi kama kawaida ya mpambe kuwa shapu nikamfata yule manzi nikamueleza akaelewa ila akasema hawezikuondoka muda ule tusubiri mpaka wafunge au nikaongee na meneja
Faster nikamfata meneja nikamueleza akasema tumuachie 10 then tusepe na binti
Jamaa akalipa pale watu tukang'oa mrembo basi nikasema ngoja niwasindikize kimtindo aise ile kufika kwa jamaa nawaaga niondoke demu si akagoma kubaki akasema yeye hamtaki jamaa ananitaka mimi
Duh! Nikajisemea dodo hili ila kuzuga nikazuga kumsihi demu abaki pale ila akakataa katakata
Basi jamaa kiroho safi akasema dogo kapige tu sio kesi
Basi na pombe tena +mihemko demu nikamsogeza chocho nikachapa then nikamwambia sepa mi sina pakukupeleka bado naishi kwa wazazi
Basi bhana baada siku nne mashine ikaanza kuwasha muwasho mkali kiasi inapidi nikune kwa mtindo wa kuipekecha
Siku mbili mbele yakatoka mapele hatare afu yanawasha nikikuna yanapasuka aise acha tu
Basi mashine ikawa imejaa madonda yakikauka inaanza kuwasha tena muwasho mkali hauvumiliki nikikuna magamba yanabanduka inabaki mashine nyekuundu
Kiufupi nilikoma nilikunywa dawa za kuunga unga mpaka jasho likanukia dawa
Mwisho nikamfata mshua nikamueleza naumwa sana naweza kufa naulizwa nini shida namwambia huku chini kunauma kweli
Basi akaitwa rafiki yake ambae ni dokta alivyoicheki tu mashine akasema dah! Ungechelewa mwezi tu mashine ingelika yote huu ugonjwa mbaya sana unaitwa PANGUSA
But nashukuru Mungu mzee hakuwa na hiyana akagharamikia matibabu yote japo kwa masimango
N.b chunga sana hayo yanayoitwa masikhara kuna siku ita kucost dear

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee pole sana mkuu.Na mm sio ya kimasihara lakin kuna kisa kinachofanana na hichi kwa mbali kilinipata.

Huyu manzi nilikutanaga nae tu kwenye usafir na kwa uzoefu wangu, nilipomuona for the first time ,kuna some qualities nikaziona kwake, the very first time.Nikafanya makeke nikapata namba.Baada ya weeke kama 3 nika meet nae hotel moja tandika temeke,kumbe alikua anamalizia siku zake, kigumu gum hivyo hivyo , ikasafishwa fresh akaoga nikagonga kidogo lakin.

Game nzur ilikua mwaka mpya huu, nikapiga sana.Ila nikaanza kuhis kila nikikojoa mkojo unauma sanaa.Mmh..nikavunga but nilishtuka cz when it comes to health issues2 aisee huwa sitaki masihara.Basi katika maongezi ya hapa na pale na yule mtoto siku na yy akanmbia anaumwa kama nilivyoluaa najiskia mm.Aisee nilishtuka sana moyon ghafla bila kupoteza muda nilipomaliza kaz nika2rud home.nje kidogo ya mji nikachukua kadi yangu ya matibabu nikageuka ten mjini yapata saa 5 usiku.niliapa silali bila kujua tatizo.Nikafika hospital nikmueleza yule mtaalam mwanamama kila kitu akanishauri nipime mkojo na malaria.dikuridhika niksema naomba unipime na STIs pia.

Nikapima syphilis kipimo cha damu.

Majibu yaka2onyesha nina UTI nikapewa dawa.
Dogo nae kesho kapimwa, kaambiwa ana UTI akaandikiwa sindano 5 ( nahis ilikua kali). Lakin doctor alimuulixa swali "ushawah ku sex ukiwa period?"
Akasema hapana ingawa first time nilimgonga akiwa P.sasa cjui hii inaweza kua na maana gan ?
Daah mazee tuwe makini kwenye kula kimasihara
 
Hukutumia kinga mkuu?
 
Ila uti siyo STD... wansema labda kama mtu anapiga nyuma ndio anaweza kuwa na chance kubwa ya kuambukizwa UTI sababu njia ya haja kubwa ina bacteria wengi sana. Anyway sijajua, labda pia ukisex na mtu ambaye yuko p inaweza pelekea ukapata huo ugonjwa...
Aisee pole sana mkuu.Na mm sio ya kimasihara lakin kuna kisa kinachofanana na hichi kwa mbali kilinipata.

Huyu manzi nilikutanaga nae tu kwenye usafir na kwa uzoefu wangu, nilipomuona for the first time ,kuna some qualities nikaziona kwake, the very first time.Nikafanya makeke nikapata namba.Baada ya weeke kama 3 nika meet nae hotel moja tandika temeke,kumbe alikua anamalizia siku zake, kigumu gum hivyo hivyo , ikasafishwa fresh akaoga nikagonga kidogo lakin.

Game nzur ilikua mwaka mpya huu, nikapiga sana.Ila nikaanza kuhis kila nikikojoa mkojo unauma sanaa.Mmh..nikavunga but nilishtuka cz when it comes to health issues2 aisee huwa sitaki masihara.Basi katika maongezi ya hapa na pale na yule mtoto siku na yy akanmbia anaumwa kama nilivyoluaa najiskia mm.Aisee nilishtuka sana moyon ghafla bila kupoteza muda nilipomaliza kaz nika2rud home.nje kidogo ya mji nikachukua kadi yangu ya matibabu nikageuka ten mjini yapata saa 5 usiku.niliapa silali bila kujua tatizo.Nikafika hospital nikmueleza yule mtaalam mwanamama kila kitu akanishauri nipime mkojo na malaria.dikuridhika niksema naomba unipime na STIs pia.

Nikapima syphilis kipimo cha damu.

Majibu yaka2onyesha nina UTI nikapewa dawa.
Dogo nae kesho kapimwa, kaambiwa ana UTI akaandikiwa sindano 5 ( nahis ilikua kali). Lakin doctor alimuulixa swali "ushawah ku sex ukiwa period?"
Akasema hapana ingawa first time nilimgonga akiwa P.sasa cjui hii inaweza kua na maana gan ?
Daah mazee tuwe makini kwenye kula kimasihara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila uti siyo STD... wansema labda kama mtu anapiga nyuma...

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaha.
Mkuu namaanisha kwamba bada ya daktar kunishauri nipime uti, mm sikuridhika nikaomba anipime na std/sti maana nilikua nahofu sana.
So wakanikuta sina std bali UTI.

Halaf licha ya kwamba u.t.i sio s.t.d lakin kama unafanya ngono unprotected na mwanamke mwenye nayo kuna kuambukizwa pia.maana yale ni maambuki ya bactrial kwenye njia ya mkojo ambapo unapo sex ni obvious kabisa kugusa maeneo hayo ya mwanamke.
So sio lazima tu kupiga nyuma, hata usipopiga unaweza ambukizwa.
 
TUNDA LA MLOKOLE KIMASIHARA, MBOVU SAANA ILA PAPUCHI MNATO BALAAA

Ilikuwa siku moja nipo ofisini, akaja dada mmoja kuniuliza namna anavyoweza kutuma maombi ya kazi katika Manispaa ninayofanya kazi. Nimeajiriwa Manispaa fulani hapa mjini. Alielekezwa kwangu na dada yake mama mtu mzima kabisa. Nilimwelekeza sana then akaomba namba ya simu akaondoka!

Zilipita kama weeke mbili ndo akaja kunitafuta kwa sms. Tukichat saana na anapenda saana kuchat. Akawa ananiuliza kama nasali, nikamjibu ni siku mingi sijatimba kanisani! Akaanza kunihuburi saana mara uko kabisa Katoliki uhame uje kwetu (kwa walokole) maana huku tunamsali Mungu wa kweli. Akasema atakuja kunihuburi gheto ukizingatia aliniuliza naishi na nani nikamjibu nipo mwenyewe!

Ilikuwa tar 31 mwezi jana katika harakati za kuuaga mwaka, nikajua rafiki yangu anaweza kuja kunichukua so nikabeba ndom nikaenda kitaa! Muda kidogo simu yangu ikaita kuna rafiki yangu mwingine wa kike aliniita tunafanya kazi moja Ila mikoa tofauti na alikuwa hapa, so nikaenda kumuona huko Banana!!

Wakati nipo kwa gari, mlokole anatuma sms kwamba leo niende kwenye mkesha wao, so nikamjibu nitakuja Ila ntamsuprise! Hakuamini Kama ntaenda! Nilipoonana na huyu rafiki yangu tulipiga story halafu nikamuuga Kama saa 4 usiku nikajielekeza huko maeneo ya mkesha, so nikamwambia aje anichukue kituoni. Hakuamini mpaka nilipompigia simu kabisa!!

Alinielekeza nikamfata tukaonana, tukaa sehemu nikaagiza chips yeye soda nikala na muda huo yeye anaongelea Mambo ya kanisani maana alitoka wakati ibada inaendelea na aliwaaga rafiki zake anakuja kuchukua kondoo mpya!!

IlipotimiA saa saa 6 usiku watu wanashangilia mwaka mpya, nikamuaga narudi Ubungo, ila nikamtega nikamuuliza; kulala huku na kwenda Ubungo muda huu kipi Bora?? Akanijibu bora ulale huku sababu ya usalama wako, so tukatafuta lodge tukaingia.

Ile nakaa kitandani na yeye anakaa na story za kanisani zinaendelea Kama kawaida huku akisema wenzake watakuwa wanamsubiri lakini haoneshi dalili za kutoka. Nikajifanya namkumbatia kumuwishi Happy New year na kumkiss na yeye akarespond positively! Tulijikuta tupo kwenye denda la nguvu ila akawa mgumu kuachia papuchi.

Hapo mi mzuka ushapanda, nikawa namchezea kuamsha hisia Ila demu ananiambia nipo vibaya Sana na natamani tufanye Ila leo sipo sawa natakiwa niwe kanisani[emoji23][emoji23]. Nikachomoa mkuyenge nikashikisha aone ilivyosimama balaa, akasema hata mi nipo vibaya, akweka vidole nakunionyesha jinsi vilivyolowa!

Nilipata nguvu mpya ya kumchezea saana mpaka akalainika saana na kondom nilikuwa nazo nikazisahau kabisaaaa[emoji23][emoji23][emoji23] nikapiga bao zangu tatu za fasta maana papuchi yake bado ni mnato hivyo wazungu walikuwa hawachelewi wakati mi bao la pili huwa nahangaika saana kulipata lakini siku hiyo hata dakika kumi hazikufika wakati zamani hata saa inapita sijapata bao la pili na mechi nyingine nimewahi kuahirisha sababu bao la pili limegoma [emoji23][emoji23][emoji23] Alisema amewahi kuwa na mwanaume mmoja tu nae waliachana muda mrefu

Daaah, Ila demu mwenyewe ni mbovu mno kiasi kwamba siwezi kuwaonesha washikaji ila ana papuchi tamu na mnato kishezi!! Nataka niirudie kuichakata. Na usiku huo tulilala nae mpak asubuhi nikampa buku mbili ya nauli akasepa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika hali halisi kwenye vyoo bya ndege huwezifanya ujinga huo, kwanza huwa vipo jirani sana na abiria maana hakuna nafasi kubwa ilobakia kati ya choo na watu. Pili alikosa nn business akaja kajamba nani labda vyoo vya business sijawahi safiri na hilo daraja yawezekana mlifanyia huko. Ila economy boss naijua kuliko mke wangu tafuta uongo mwingine. Halafu watu weupe sio wazembe kama unavyofikiri. And wanajua wafrica wote ss ni wagonjwa hawezikupa papuchi kizembe hivyo Chumchang Changchum,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom