story zote za kimasihara zenye mwisho wa ndoa ndio zina likes nyingi zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa zangu 2 walimla mke wa mtu usiku. Stori ilikuwa huvi.
Jamaa walikuwa wanafanya kazi na kuishi tabora. Usiku wakati wanatoka kula bata mida ya saa saba kasoro hivi wakakutana na mwanamke ana kanga tu kifuani anatembea huku akitweta akionyesha alikuwa anakimbia. Wakamsimamisha na kumuuliza kulikoni usiku wote huu na kanga kifuani. hana hata pichu, dada akajibu nyie acheni tu mitihani ya dunia. Kumbe alikuwa kagombana na mmewe kala mabanzi ya kutosha akashindwa kuhimili akatoka nduki. Akawa kama anawapita wakamzuia na kumwambia usiku huu ni hatari utabakwa na wahuni. Kama hutojali twende ukalale kwetu then asubuhi utajua ustaarabu mwingine. Basi bwana dem akatiki.
Wameenda ss jamaa wana vyumba viwili na sebule choo na bafu public na jiko la ndani. Wakamwambia akaoge kwanza, wakati dem kaenda kuoga wakaanza kubishana nani alale naye, mshkaji wangu ikabidi amwachie rafiki yake sababu ndiye aliyekuwa ameonyesha ukaribu toka wamekutana na ndiye alomkaribisha dem, basi jamaa ikabidi atoke kwenda kutafuta condom. Ile kutoka tu jamaa akamfuata hukohuko bafuni akamwambia uzalendo umemshinda ampe tu kidogo, ikatokea mabishano kidogo ila baadae dem akatoa mzigo jamaa akapiga.
Baada ya kumaliza kuoga dema akazama room kwa mshikaji kumsubiri, huyu mwingine naye akaja akala mzigo hadi alfajiri wakamtoa dem arudi kwake maana hakuwa na nguo zaidi ya kanga moja. Hivo jamaa wakawa wamekula tunda kimasikhara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu ananyota yake, uli- force kutemebelea nyota ya mshikaji..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuja shamba huku, nimepanga chumba na sebule kwa miezi hii ntakayokuwa nafanya yangu, nimelipia miezi mi4 lakin sikai naweza kuja nikakaa siku nikaondoka nikaja baada ya wiki kadhaa kutokana na mfumo wa utaftaj wangu uko hivyo, sasa juzi nimerudi nimekuta nimepata majiran kama wawili hivi wanawake, wana maumbo ya kike hasa, wote ni wachangamfu sana na napiga nao stori kidogo sana, sasa hiyo juzi nimerudi misele nikawasha subwoofer nikaunga na simu nikawa nachek movie ktk simu nimekaa zangu sebuleni kidogo kapita jamaa na mmoja wa wale wapangaji wamezama katika chumba cha yule mpangaji mi mlango ulikuwa wazi na milango inaangaliana di vyumba vya ndani vyumba huru kabisa. nikasema yees mwana anaenda kula keki ya Taifa ila yule jamaa kidogo anaonekana alikuwa kitungi ila manz yupo fres, nikarudisha mlango wangu nikaendelea na movie yangu..kama nusu saa yule dem katoka kaenda chota maji tukakutana bombani akaniuliza kaka unaangalia movie gan inaonekana nzur nikamwambia ya kawaida tu na ipo ktk sim tu akasema okey ntakuja kuangalia, sa nikajiuliza huyu si aliingia na jamaa ama ndugu yake ama jamaa alisepa zake ah nikaachana nae maana mm sina hata mazoea nae, kila mtu akaenda na zake, mida ya saa tano hv naskia mlango unagongwa nikafungua yeye tena ana khanga tu akasema movie yako inaitwaje unayoiangalia nikamwambia ANNA akaomba aione kwa mara ya kwanza kazama ndani basi mi nikawa namuangalia simuelewi kaka ktk sofa mipaja inavutia ukizingatia sikuwa taa kulikuwa na mwanga wa woofer tu wa bluu, nikamwambia sister kama una flash lete nikuwekee usepe kwangu sihitaj wagen bila taarifa akasema poa sasa wakat wa kutoka akaenda kwanza dirishani anachungulia nje kainama kidogo, mm nikaona huu ukenge maji sasa nikaingia chumban nikachukua ndom, namuuliza sasa wewe unachungulia nn si uende kwako? anasema kuna mtu kamuacha kalala, nikamuuliza yule umepita nae? eeh kalewa sana yaan kafika tu chumbani kafikia kitandani anakoroma nikamuuliza ni jamaa yako? akasema ni mzaz mwenzangu dah nikaona huyu akuja kwangu kwa ajili ya movie kafuata lingine nikamfuata pale dirishani wakat yeye anachungulia mm nikava ndom kabisa alaf nikamshika kiunon ah hamnakitu yaan huyu manzi ndio nikaukumbuka huu uzi wa kula kitu kimasikhara, alivyohis mkuyenge unamtomasa ktk mahaga yake eti kastuka ile anageuka kakutana nao live alaf nikaonahuyu ashauona mkuyenge wangu na kaja kwangu bila chupi nikamwambia tu sister mm sinaga mazoea ya hivyo kama jamaa kalala bilakukupiga mashine mm nakupiga mashine kwa niaba ya mshikaj haha manz akawa kama kastuka hv aamini kinachotaka kutokea sasa mm sikulemba vile vile bado anakodoa kodoa macho nikampindisha nikamtia ududuanataka kuleta wenge nikamuuliza unaingiaje chumba cha msela bila chupi? watu watakushangaa we nitengee vizur kweli kachomoa akaenda kuutenga vizur sasa..jamaa linakoroma mi napiga pum*u mpaka sa tisa yule manzi akatoka zake na mm nikamwambiamazoea ya kisenge sitaki tusizoeane, asubui namuona jamaa anaenda kuoga , dah kisha akasepa na mm nikasepa zangu jion nimerudi nakutana na yule dada mlangon kwake kasimama anauliza ushakula? nikamwambia tayar kwan vipi eti ooh jana umenifanyia vitu sijategea nikamuuliza kwa hiyo? eti naomba tena alaf usiniache...yaan nilijisikia hasira, nikamwambie mm sitak mazoea jana nimefanya vile sababu ningekuacha sijui ungenichukuliaje ila mimi sipo unavyofikiri na mimi ni pasua kichwa we komaa na jamaa yako..asubui sasa yaan leo akaniambia we mkaka mi naomba tena eeh nikaona hapa sasa huyu anataka kuniletea msala mi mapema tu sa nne nne nikasepa zangu nategemea kurudi huko baada ya mwezi...so juzi pia nimepiga show kimasikhara japo sitaki mazoea nayo.
 
Masihara sio haya, tunataka masihara kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajiona mjanja kwa majibu hayo..kumbe Boya
 
Bwahahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…